Tujikumbushe

yeah, ni vizuri kusoma muda huu na nadhani kitapanda zaidi maana sitasomea kujibu mtihani

Fixed Point...........I hope you do mean you are a zero-grazer via being a Fixed Point?
 
Last edited by a moderator:
1001-nights.jpg

Kitabu cha [h=1]Alfu Lela U Lela kipo jamani?[/h]
 
Je Kitabu cha hadithi cha huyu Mzee wa Kizulu Umslopogaas (Allan Quatermain )?

hagg-umslopogaas.jpg
H. Rider Haggard's Hero Umslopogaas

Where is he buried?

by Stephen Coan

Is the mighty Umslopogaas, the axe-wielding hero of Sir Henry Rider Haggard's Allan Quatermain and Nada the Lily, buried under the playing fields of Clarendon Primary? Possibly. But what is a fictional hero doing in a grave, known or unknown, in the first place?

Well, Umslopogaas was based on a real person, his name was M'hlopekazi, & the young Haggard met him in Pietermaritzburg in the 1870s. When Haggard accompanied Sir Theophilus Shepstone on his mission to annex the Transvaal in 1877 the sixty-year-old M'hlopekazi was one of the small party.

[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]James Earl Jones as Umslopogaas[/FONT]

Violet Books: Umslopogaas
 
Nalisikitikia taifa langu la Tanzania, taifa lililokosa waandishi. Sijui ni wapi tunakoelekea kwa kweli.
Kitabu changu cha mwisho nilichokipenda na kiliandikwa na Mtanzania Prof. Chachage, MAKUWADI WA SOKO HURIA. Kina Shigongo hawajui wanachiokifanya, wanaandika kurasa nyingi zisizo na mvuto wala zisizoeleweka.
 
Je Kitabu cha hadithi cha huyu Mzee wa Kizulu Umslopogaas (Allan Quatermain )?

hagg-umslopogaas.jpg
H. Rider Haggard's Hero Umslopogaas

Where is he buried?

by Stephen Coan

Is the mighty Umslopogaas, the axe-wielding hero of Sir Henry Rider Haggard's Allan Quatermain and Nada the Lily, buried under the playing fields of Clarendon Primary? Possibly. But what is a fictional hero doing in a grave, known or unknown, in the first place?

Well, Umslopogaas was based on a real person, his name was M'hlopekazi, & the young Haggard met him in Pietermaritzburg in the 1870s. When Haggard accompanied Sir Theophilus Shepstone on his mission to annex the Transvaal in 1877 the sixty-year-old M'hlopekazi was one of the small party.

James Earl Jones as Umslopogaas

Violet Books: Umslopogaas

Kamanda umenigusa!!

Sasa kile cha kiswahili bwana jamaa alietafsiri japo alikifupisha kilikuwa na msisimko mkubwa mno!!!

Nakumbuka kwa mara ya kwanza alitusimilia mwalimu wetu wa kiswahili, alikuwa nasimulia kipande then anaendelea kufundisha mambo mengine.

Nakumbuka kipindi chake hakuna mtu aliekuwa anakosa!! hakuna hata mgonjwa atajikongoja tuuu kwenda shule!!

"Pigo jine moja tu! pigo takatifu! pigo lenye nguvu!!"
 
Nalisikitikia taifa langu la Tanzania, taifa lililokosa waandishi. Sijui ni wapi tunakoelekea kwa kweli.
Kitabu changu cha mwisho nilichokipenda na kiliandikwa na Mtanzania Prof. Chachage, MAKUWADI WA SOKO HURIA. Kina Shigongo hawajui wanachiokifanya, wanaandika kurasa nyingi zisizo na mvuto wala zisizoeleweka.

Kwa wanaojua waandishi bora, Shigongo ni chamtoto saana kwa magwiji kina Katalambula.
 
Viko wapi? I mean link ziko wapi tuvisome? mbona mmeweka maganda tu?

Msinifanye nilie.
 
Mkuu, hivi mbona viko vingi sana?
Wewe unasema kipi?
Nakumbuka vipo kama 11 hivi.
Okada
Ntapenda kujua vinakopatina aise nilipata simulizi kwa binamu yangu wakati huo mi sijajua ABCD.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaaa Excellent umenikumbusha mbali sana aisee....dah
Nakumbuka nilikuwaga ndo msomaji mkuu wa vitabu darasani then wengine wasikilizaji.....Niliwasomea sana kitabu cha Vuta Nkuvute na Hiba ya Wivu plus zawadi ya ushindi....
Dah long time
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom