hiko cha kwanza ninayo softcopy yake...ni balaaa
Simu ya kifo mtunzi nimemsahau jina
Vimejaa tele online kwenye format za ebup. Tena buuureee. Kiingereza chako tu.Nimetafuta Sana Kitabu Hiki Lakini Sijakipata. Mwenye Kujua Namna Ya Kukipata Tafadhali Tuwasiliane 0767320599
1.oparesheni vipusa
2.Nteko vano mapato
3.Titi la mkwe
4.Yai jeupe
5.Watanitambua
6.Amekufa anacheka
7 . pili pilipili
8 . Dunia hadaa,ulimwengu shujaa
9.Unyama wa mafia
10.Sikunyongwa
11.Johari ndogo
Mambo ya ajabu yaliyompata Allan Quterman na wenzake,,kuiendea nchi ya watu weupe.Bonge la kitabu japo kwa kiwango fulani kinamdhalilisha mwafrika
Duh wewe mkali, "HERI MIMI SIJASEMA "
Pia yalikuwepo majarida yenye hadithi tamu sana kama sani na ambha sijui kama yapo duniani. Nakumbuka love story tanganyika and zanzibar ilivyonivutia naa baadae nikaona video yake. Akina vuai. Pia kulikuwa na msako wa mr x. Kwenye ambha nakumbuka hadithi iliyokuwa inatoka kwa mtindo wa tenzi ilikuwa inaitwa ushauri wa mwendawazimu. Jamaa kamfumania mkewe akaua. akiwa jela kaja mwehu akamshauri ushauri uliomnusuru na kifo asema mwenye:
Mwehu huyo mashuhuri
Aitwa kindorindori
Akaja kanishauri
.......
hawafu mwenye nguvu
sikulamba sukari
mkutano wa wanyama
la la laaaa
Utanikumbuka
Safari ya kigoma
hawafu mwenye nguvu
sikulamba sukari
mkutano wa wanyama
la la laaaa
Utanikumbuka
Safari ya kigoma
Kaburi bila msalaba!
Amekufa anacheka siyo kitabu bali ni chapter ya kwanza kwenye hadithi ya Simu ya Kifo
Simu ya kifo mtunzi nimemsahau jina
dah nakumbuka darasa la la nne kitabu cha kiswahili enzi zile kuna stori moja tamu ya MANGASINI na MFALME, darasa la 3 kuna MUWA ULIOZAMISHA MELI, SAFARI YA MINJINGU, dah tumetoka mbali, la pili kulikua na PAMELA NA KIPINI, TOLA ALIA GIZANI
hahahah!Mfalme Juha.
Hakina tofauti na wafalme wetu wa ccm!
WEZI WA MIFUGO, SADIKI NA CHITEMO, daah! Sizitaki mbichi hizi