Kijuram
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 513
- 374
Mkimbizi by Hussein Tuwa.
Bonge la riwaya hili!
Mkimbizi by Hussein Tuwa.
Hivi inkubu ndo alikua nani vile?
Bonge la riwaya hili!
machimbo ya mfalme suleiman and ALLAN QUATERMAN by H RIDDER HAGGARD ni zaidi ya burudani
Solais bibi wa usiku alikuwa anapendwa sana na Sir Good wakati Henry alimpenda sana Nyleptha,.Unamkumbuka Mtoto Flosie pale mji wa mission?Vipi pale mtumbwi wao ulivyochukuliwa na mto wa chini ya ardhi?Unakumbuka kisa cha wale viboko?
1.Sifi mara mbili.1.oparesheni vipusa
2.Nteko vano mapato
3.Titi la mkwe
4.Yai jeupe
5.Watanitambua
6.Amekufa anacheka
7 . pili pilipili
8 . Dunia hadaa,ulimwengu shujaa
9.Unyama wa mafia
10.Sikunyongwa
11.Johari ndogo
Walivumisha kuwa musiba alitunga kitabu kinaitwa HUJUMA,eti kikapigwa marufuku kuwa ukikisoma unapata maujuzi ya kupindua hata nchi,sidhani kama ilikuwa kweli lakini.Nahisi utakuwa hujasoma riwaya nyingine za Musiba. Sidhani kama HOFU inashinda KIKOSI CHA KISASI!
Umenikumbusha mzee ole,zumo,obi,ilikua balaa.Pia yalikuwepo majarida yenye hadithi tamu sana kama sani na ambha sijui kama yapo duniani. Nakumbuka love story tanganyika and zanzibar ilivyonivutia naa baadae nikaona video yake. Akina vuai. Pia kulikuwa na msako wa mr x. Kwenye ambha nakumbuka hadithi iliyokuwa inatoka kwa mtindo wa tenzi ilikuwa inaitwa ushauri wa mwendawazimu. Jamaa kamfumania mkewe akaua. akiwa jela kaja mwehu akamshauri ushauri uliomnusuru na kifo asema mwenye:
Mwehu huyo mashuhuri
Aitwa kindorindori
Akaja kanishauri
.......
Simu ya kifo mtunzi nimemsahau jina
Mambo ya ajabu yaliyompata Allan Quterman na wenzake,,kuiendea nchi ya watu weupe.Bonge la kitabu japo kwa kiwango fulani kinamdhalilisha mwafrika
dah nakumbuka darasa la la nne kitabu cha kiswahili enzi zile kuna stori moja tamu ya MANGASINI na MFALME, darasa la 3 kuna MUWA ULIOZAMISHA MELI, SAFARI YA MINJINGU, dah tumetoka mbali, la pili kulikua na PAMELA NA KIPINI, TOLA ALIA GIZANI
Najisikia kuua tena
Roho ya paka
Simu ya kifo mtunzi nimemsahau jina
- Simu ya kifo
- mabepari wa venus
Simu ya kifo
huyu jamaa yupo vizuri, kuna nyingine MFADHILI