Matusi ya nini Maalim?
Jerusalem wanaoidai wao si washapewa!?Taratibu shekhe,
Kwani al-Aqsa si ipo ndani ya Jerusalem?!
Au hujui kama kuna Jerusalem mbili!?
Hiyo West Jerusalem ambapo kuna Al aqsa/Baytul maqdis panawahusu waislam kizazi na kizazi.
Ulitaka wapaache!?
Bado nadai majibu ya maswali yangu.
1)Je Gollan heights ni Jerusalem?
2)Je Shebah farms ni Jerusalem?
3)Je Gaza ni Jerusalem?
4)Je Sinai ilikua Jerusalem?
Nipatie majibu ya hayo maswali mkuu.