Tujikumbushe Bungeni Dodoma!

Asante kutukumbusha kwani wengine hatukuiona,
Tayari umeshajua makosa yaliyokuangusha?
Siasa za ccm ni zaidi ya kujieleza, upeo, uwezo na utendaji. Tafakari!!
 
gotta hit the gym fat man

- Huu ni suhauri mzito sana maana unajua tpka nimerudi organic imekuwa supa sana, maana si unajua ughaibuni chakula hakifai sana sio kama hapa bongo, lakini kwa mara ya kwanza hapa umeongea I need to calm down na msosi, will do that bro!

- MUCH RESPECT! NITAANZA TENA KUKIMBIA BAHARINI KAMA ZAMANI!

William.
 
Ni uoga, au uzito umekuzidi? maana naona ungeendelea kwa dakika 15 nyingine tungekuwa hatuna meza.
 
Ni uoga, au uzito umekuzidi? maana naona ungeendelea kwa dakika 15 nyingine tungekuwa hatuna meza.

- No ndio kwanza nilikuwa nimeshika moto, yaani ingeendeela ingekwua fun sana maana ndio kwanza nilikuwa tayari, uoga kidogo ilikuwa mwanzoni lazima nikubali, lakini nsio mmwishoni!

William.
 
Practice makes perfect. Nilibahatika kukuona bungeni ukijibu maswali ya waheshimiwa. Ulihema sana Williama and I almost called the ultimate Security to bring thier ambulance becuase I was convinced something terrible was about to happen! Ni nerves au shida ilikuwa nini ndugu?
 
- Ndio uzuri wa Demokrasia, wewe uliona hayo na wengine waliona mengine mengi mazuri, ha! ha! ha!

William.
 
- Ndio uzuri wa Demokrasia, wewe uliona hayo na wengine waliona mengine mengi mazuri, ha! ha! ha!

William.

Terrified! ha ha ha ha.... but anyway,, life is a journey and you have definately started yours... keep on walking...
 
big up. jiandae kuchukua nafasi ya Lusinde kwa tikceti ya chadema
ukigombea kwa tiketi ya CCM HUTASHIDA
watu wamechoka wanataka mabadiliko sasa
 
Naam huyu ndiye aliyeiwakilisha JF huko Dodoma

sasa sina video za wengine waliokwenda kujieleza

Last edited by a moderator:
Naam huyu ndiye aliyeiwakilisha JF huko Dodoma

sasa sina video za wengine waliokwenda kujieleza

Mkuu,

Huu ni uchokozi, huyu ni yeye kweli mkali FM zauti ya umeme? miaka zaidi ya 20 nje, kingereza cha shule za kata mmmmmmm
 
Last edited by a moderator:
Mh nachelea kuchangia. Lakini niseme kwa ujumla endapo huu ndo mfumo pengine unapaswa kuwa revised. Interview pannel wajipange next time, lakini wamsaidie na candidate kuwaleta mambo yenye mshiko based on personal experience
 
Back
Top Bottom