Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,748
- 5,116
Kauli za kihunihuni bungeni zimekuwa nyingi sana utafikiria bungeni magetoni kwao bunge linatakiwa kuheshimiwa sana
Bunge la awamu hii ni la ajabuajabu limejaa wahuni wahuni tu kazi kicheka hovyo hovyo
Kauli hii ya Esther bulaya" nimekoshwa na bajeti ya trillion 2.3 " hii ni kauli ya kihuni huwezi kuizungumza bungeni
Mumeo hakukoshi ila bajeti imekukosha
😂 😂 😂
Baadhi ya kauli zipige marufuku kutumika bungeni