Tujifunze nini kutoka wa Wachaga?

mchezo mchafu sana pale unachezekaga, ticket zinanunuliwa na mtu mmoja kwa bei ya kawaida then yeye anaanza kuuza kwa bei yake anayoitaka, mie wananiudhi kweli, ukienda oficin gari imeaja, kwenye gari ticket zinauzwa!!!!

Yeah, sasa huu ndo uchaga kwenye practical, ukiangalia wanaofanya hivyo asilimia kubwa ni wachaga wenyewe, akishazikusanya nae anapanda basi anaenda kula ndafu na bia Moshiiiii.
 
mchezo mchafu sana pale unachezekaga, ticket zinanunuliwa na mtu mmoja kwa bei ya kawaida then yeye anaanza kuuza kwa bei yake anayoitaka, mie wananiudhi kweli, ukienda oficin gari imeaja, kwenye gari ticket zinauzwa!!!!

Sindio biashara yenyewe hiyo!Mahitaji yakiongezeka bei nayo inaongezeka!
 
Ni fikra tu; wachaga wangepewa kuongoza nchi pengine ingekuwa mbali sana kwa kuwa sehemu kubwa ya maendeleo yan nchi wamiliki ni hawa jamaa wa kichaga. Anyhow Nyerere kama kweli aliwabania basi alikuwa ni mbaguzi kuliko kaburu. Au siyo.
 
mi naona tujifunze mbinu watumiazo ktk kutafuta mihela na utamaduni wa kwenda nyumbani. Lakini katika suala la kurudi nyumbani si lazima iwe wakati wa x-mas tu ila pale utakapokuwa na nafasi kwa sababu inaweza kufika december mzee ki-pesa tilalila, utaendaje? Hongera akina Mangi, Mushi, Tesha, nk!
 
Unajua sisi tunaenda X Mass zaidi maana ni wakati ambapo watoto wamefunga shule na ni kipindi cha kukutana na wanandugu wote kama wengi wako saldaram basi utakuta tunafanya mzunguko wa kukutana na kuchinja ndafu na kula mbeke msee. Kama fipi njoo kwetu kesho uone mambo yetu. Pamoja na kukutana ni wakati wa kutatua matatizo ya kijamii kama ugomvi, ukosefu wa ela, ada na nani wa kutazama wasee na jamii ya pale mgombani. Kama mambo yanakua magumu basi tuomba wasee wetu waliotutangulia watuongose hifyo tunapochinja ile mbisi tunamwga damu ya kwansa chini ingine inakua kisusio, pia tunamwaka mbeke na masiwa kidoko tukisema wasee wetu mtusamee pale tulipokosea na mtuongose katika maisha.
 
Najua umejifunza mengi kutokana na Wachaga
daah hii thread ilivyoanza nilifikiria tunatafuana maneno, lakini this i very serious busness to learn!! big up it has reminded me alot
 
Jamani mimi ndio nimerudi jana mchana kutoka Moshi yaani kulibamba ile mbaya, kwanza nadhani Tanesco walikuwa waoga hata kukata umeme! Wachaga tuko mbele
 
Wote waliochangia nawaha HI ila hili la kuiba siyo sahii. ukweli ni kwamba huwa wanajumika na wanafamilia haswa walioko vijijini kushiriki vile walivyotafuta mwaka mzima, pia kuwapelekea ndugu zao zawadi na kukutana kama ndugu na kupanga mipango ya maendeleo ya familia zao.
Huko Makanisani wanategemewa sana na ni wakati wa kutoa support kwa shughuli za kanisa. Ili pia uende kwenu lazima uwe na sehemu ya kulala pia nalo hili la kujenga kwao limechangia wao kujisikia kwenda kwao
 
Ikumbukwe pia ni fursa ya kukutana na marafiki mliokuwa pamoja utotoni wanaoishi mikoa mingine na nchi jirani kukumbushiana historia wakati mkiwa mnajumuika kula na kunywa pamoja. Kwa ufupi ni wakati mzuri sana
 
Heri ya mwaka MPYA wa JF wote.

Unajua ifike mahali tukubali kuwa wachaga ni watu wa mendeleo na pia ni watu wanajali sana kwao. Si kwamba wachaga huenda kwao kufanya matambiko tu kama wengine wanavyofikiria! . Na pia si kwamba wachaga hawaendi kwao wakati mwingine noo! huenda sana tena pengine kuliko hata wewe mdau unayesema wachaga huenda kwao kirismass tu!. Kwanza kitendo cha wao kuenda Moshi wakati wa X Mass zaidi ni kwa sababu ni wakati ambapo watoto wao wanakuwa wamefunga shule na ni kipindi ambacho pia baadhi yetu hupenda kuomba likizo hivyo kurahisisha kukutana na wanandugu wote. Hii hupendeza sana ukienda Moshi kipindi hicho utakuta nyumba nyingi wanandugu wanakutana na kuchinja ndafu na kula vyakula mbalimbali kikiwemo chakula cha MACHALARI (Ndizi za kupikwa kwa nyama) wengine wakijinywea mbege wengine bia,soda na vinywaji mbalimbali. Haya niliwahi kuyaona wakati fulani Rafiki yangu Mmoja mchaga tulisoma naye Wa Ukoo wakina LYIMO aliponikaribisha kipindi kama hicho!.Pamoja na kukutana wakati huu kwa WACHAGA ni wakati wa kutatua matatizo ya kifamilia, kijamii kama ugomvi wa ndugu kwa ndugu, ukosefu wa fedha, Kuwezeshana ndugu kwa ndugu,Ada ,na kupeana majukumu kama vile; nani wa kutazama wasee na jamii ya pale mgombani. PIa wengine wanao kuwa wamechukua likizo huenda Moshi mapema na kuanza kukarabati nyumba zao.
TU WA I GE WACHAGA.....Laiti wachaga wangepewa Fursa nchi Ingekuwa mbali. Tazama Mtu Kama R. Mengi anavyosaidia jamii,Tazama Wabunge wa Moshi kama NDESAMBURO na FREEMAN, MZEE WA KIRARACHA, SRILL CHAMI, AGREY NWANRI, THELATHINI N.k
Hongera wachaga wote WAKINA:
1.LYIMO
2. SHAYO
3.MUSHI
4.MOSHI
5.MASSAWE
6.TARIMO
7.MINJA
8.MATEMU
9.MTEI
10. MAREALLE
11. MATEMU
12. TESHA
13.LEMA
14.LYATUU
15.LYARUU
16. MSHANGA
17.MREMA
18.LEMA
19.MONGI
20.KINABO
21.KLERUU
22.NJAU
23.KESSY
24.SALAKANA
25.MARIKI
26.MALISA
27.SHOO
28. MARANDU
29.ASSEY
30.MREMI

N.K:A S crown-1:
 
Hakuna asiyefahamu kuwa kuna Kabila Moja Nchini Tanzania ambalo linajulikana sana kwa mihangaiko ya maisha maana karibu kila sehemu unapokwenda hata vijijini lazima utasikia kwa MANGI kama si kwa jina hilo basi utakuta wanatumia jina jingine kama yanavyojulikana majina ya Kichaga, Mushi,Kessy,Assey,Marando,Tarimo nk.

Lakini hili Kabila inipofika mwezi wa 12 kama sasa huanza mihangaiko ya kwenda kwao kwaajili ya kusherekea sikukuu ya X-Mass. Je tujifunze nini kutoka kwa kwa Kabila hili? Maana kuna baadhi ya watu husema kuwa wengi wa Wachaga huenda kwaajili ya kufanya matambiko Mbalimbali je ni kweli?

kwahiyo wewe kufungua maduka huku na kule ndo umeona mafanikio??yaani wewe mafanikio kwako ni duka tuu, kwamba umesikia maduka ya mangi kila mahali basi ndo umeona mafanikiooo??crap!!
 
Mageuzi1992 rekebisha jina la Aggrey...la mwisho ni Mwanri!Zaidi ya hapo nakupa tano.,umewapa maelezo ya kutosha wale wasiojua kinachofanyikaga migombani!
 
kwahiyo wewe kufungua maduka huku na kule ndo umeona mafanikio??yaani wewe mafanikio kwako ni duka tuu, kwamba umesikia maduka ya mangi kila mahali basi ndo umeona mafanikiooo??crap!!
Sasa hapo tatizo liko wapi?Mafanikio yako ya kila aina na hilo la kua na maduka kila mahali ni moja wapo!Kama kwako sio kwa mwenzio ndio!
 
nimeipenda mada. isee nimefurahi kuona watu wanawakubali wachaga mimi nimchaga n m proud kuwa mchaga.. siogopi thats y unona jina langu ni meku. yaani mzee.. sasa basi inabidi makabila mengine wajifunze kuwa na umoja mshikamano na upendo, wachaga wanaupendo wa dhati kati yao. vitabu vinasema ukishindwa kumpenda alie karibu na wewe unawezaje kumpenda laie mbali na wewe. sasa anza na nafsi yao. pili jamaa zako wakaribu. mi nadhani kila kabila lingekuwa na utamaduni kama wa wachaga hii nchi ingekuwa mbali sana wachaga ni wao wajasiri by nature. wapo tayari ku take risk. na hii ndo ishara nzuri kwa mjasilia mali yeyote yule. more risk more return... tujifunze mengi kutoka kwa wachaga si kweli wachaga huenda kuhesabiwa ila huenda kupanga mikakati ya kujikwamua na kusaidiana kujikwambua kwenye mitihani. hukutana na kujadili jinsi mwaka ulio isha na chalenge zako na ni jinsi gani watajipanga kwa pamoja.. hupeana ramani za biashara na maisha mijini. hii ni desturi nzuri sana imewasaidia sana . hata wazungu hufanya assesment kila baada ya mwaka kutambua ni nini wamekifanya kwa mwaka mzima
 
Mbonyi mmeku, naikia riso
 
Karibuni kwetu. na mjapo kipindi hiki msiteme mate hadharani, usitupe karatasi au kichungi cha sigara. Ukionekanika faini ni shs 50,000. Tunataka kuongeza kiwango cha usafi zaidi maana tunaona usafi huu hautoshi. Jihadharini na muwe makini.

Usijali mjomba! Nikipata nauli nitakuja
 
Ni fikra tu; wachaga wangepewa kuongoza nchi pengine ingekuwa mbali sana kwa kuwa sehemu kubwa ya maendeleo yan nchi wamiliki ni hawa jamaa wa kichaga. Anyhow Nyerere kama kweli aliwabania basi alikuwa ni mbaguzi kuliko kaburu. Au siyo.

Laptop ya kwanza ooooops sorry typewriter ya kwanza pale ikulu kwa Mwalimu iliazimwa toka uchagani. Tena alipewa typewriter na typist Lucy Lameck. Yaani ungekuta mkoa wa Marangu, Mkoa wa Uru, Mkoa wa kibosho, Mkoa wa Machame nk. UN wakaside na Mwalimu bana wakatunyima Uhuru hivi hivi! Yaani kuja Kaskazini Passport lazima!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom