Tujifunze nini kutoka wa Wachaga?

Hawa watu ni watafutaji hadi raha..ila kinachoniuma mimi nina wifi yangu mchaga kaolewa na kaka angu ana mawe sana cha kushangaza wifi hataki kufanya biashara yoyote kila atakachofunguliwa anakula mtaji..aliletewa nusu kontena la mikoba ya kike anaibeba mwenyewe mingine kaigawa..yani hadi namshangaa kwakweli..hana akili ya maendeleo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom