Zipuwawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 3,050
- 656
Hakuna asiyefahamu kuwa kuna Kabila Moja Nchini Tanzania ambalo linajulikana sana kwa mihangaiko ya maisha maana karibu kila sehemu unapokwenda hata vijijini lazima utasikia kwa MANGI kama si kwa jina hilo basi utakuta wanatumia jina jingine kama yanavyojulikana majina ya Kichaga, Mushi,Kessy,Assey,Marando,Tarimo nk.
Lakini hili Kabila inipofika mwezi wa 12 kama sasa huanza mihangaiko ya kwenda kwao kwaajili ya kusherekea sikukuu ya X-Mass. Je tujifunze nini kutoka kwa kwa Kabila hili? Maana kuna baadhi ya watu husema kuwa wengi wa Wachaga huenda kwaajili ya kufanya matambiko Mbalimbali je ni kweli?