ERTUGRUL BEY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 11,529
- 21,530
- Thread starter
- #101
Mikakati yao imeshafeli big time,hakuna maandamano na hakutakuwa na maandamanoMange kimambi alisema vijana watoke Jeshi kitawalinda na alivyojitokeza Tesha ndo wakaona Jeshi litachukua nchi .
Kweli wakaingia Front
Hii ilikuwa dark psychology ambayo haina utofauti na VITA ya majiji war ya Kinjekitile Ngware
nilitegemea baada ya 29/10 Hawa wanaharakati waombe Msamaha kwa kusababisha mauaji Ila bado wanawaambia vijana waandame
Nilienda kulebTiktok nikawasilikiliza wanafanya mjadala nikajua wanaofanya mjadala sio waandanaji Ila wanalitegemea lile kundi dogo la mtaani Kama bodaboda , hustlers n.k
Kwahiyo kundi ndo kwa kiwango kikubwa lilitoka na kuuliwa 29/10 na ndo lilichoma nchi
Hata ukitazama hakuna hata mtoto mmoja wa mwanaharakati au ndugu akiyeuliwa au viongozi wa Chadema .
So hawa keyboard 100% ni watu wabaya ambao wamejaa chuki kwahiyo wanataka kukitumia kundi dhaifu kiufahamu ili waliingize barabarani .
Na hawatoweza hata kidogo
Jana kuna sehemu nilipita vijana wanafanya mazoezi ya mpira,nje ya uwanja wapo kama wanajeshi 15 au 20
Kwa maana vyombo vya ulinzi na usalama vipo tayar kwa tahadhari
Na kikubwa zaidi wananchi sasa wameshaona madhara ya maandamano