DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,635
- 81,535
Huyo Ana miaka 65 na yupo UN miaka 30 sasa sijui yeye na wewe nani mjinga .Kijana una shangazi mjinga
Ningekupa na jina lake ukamjua ndo ungejua kuwa nani mjinga
Huyo Ana miaka 65 na yupo UN miaka 30 sasa sijui yeye na wewe nani mjinga .Kijana una shangazi mjinga
Ukoloni ulikuwa na mema mengi kuliko mabaya kama tulivyoaminishwa huko primaryJe nchi za Africa unahisi zilikuwa hivi kabla ya ukoloni?
Kufanya kazi UN ndio kipimo cha kutokuwa mjinga? what if namzidi kipato? Anyway mimi nipo zaidi kwenye hiyo kauli uliyosema alikwambia acha tuishambulie kauli zaidiHuyo Ana miaka 65 na yupo UN miaka 30 sasa sijui yeye na wewe nani mjinga .
Ningekupa na jina lake ukamjua ndo ungejua kuwa nani mjinga
Mtatumia mazungumzo au risasi!? Acha upotoshaji .Kuitoa CCM sio jambo jepesi Kama unavyofikiria .
Nadhani ile 29/10 umejionea mwenyewe .
Lazima uwe na mikakati na haya maneno yenu mnayokuwa mnaandika kufarijiana.
Ile 29/10 inakupa picha kamili kuwa kelele , maandamano n.k bado ni njia dhaifu na duni.
Sisi tutatumia mazungumzo na nyie tumieni maandamano.
kwa sasa maji hakuna Dar es saalamBora wao walikuwa wanafaidi keki ya taifa ,tunaweza kuwalaumu ila kwa TZ hakuna kitu ,watu wanatekwa kila kukicha ,keki ya taifa wanakula kina Abdul ,kizhiga na wahuni wachache waliowazunguka.
Huduma za jamii ni Zero ,Majengo makubwa hakuna madaktari wala dawa ,shule kubwa lakini hakuna walimu ,wanajenga majengo maana wanajua kuna UPIGAJI kwenye miradi.
TZ hapa wanaharakati ,wapinzani ,watoa ushauri wanaishi kama wapo vitani na mafichoni.
Kufanya harakati ni kosa kisheria?Ni watu gani huwa wanatekwa? Ni mwananchi au kila anayejifanya Jabari kushindana na dola
Wanaharakati hao wapo nje ya nchi kwa kuhofia uhai wao,wewe unafanya harakati hapa Tanzania unatarajia nini?
Utajiei wa akina samia na jamaa zake JK umetokana na nini!?Wazungu hawapo kumsaidia Mwafrika wao ni opportunity seeker
Mimi nina Shanganzi yangu kaajiriwa UN kituo cha Kazi SUDAN.
Wakati Ana re new contract yake Aliwahi kutuambia kuwa wale wasudani wakigombana wao wanapata hela
Anasema kwa sasa kipato kimeshuka kwakuwa hawagombani
Kwahiyo USA n.k huenda kuiba Mafuta kule
Kwahiyo ukisikia VITA zinakuwa zinadhaminiwa na hao Mabeberu na ndo UN na ndo huiba Mafuta , madini n.k
kwahiyo ninapokuwa nawaona hawa Chadema wanawasifu wazungu najua kabisa washalipwa
ni vile sisi hatuna Mali nyingi Kama Mafuta Ila tungekuwa nazo tungewapa wazungu na Kama tungewanyima basi wangeingiza nchi yetu katika machafuko
Utajiri wa USA ukiufatilia Unatokana na wizi
Tumejaribu kupiga kura wameiba zote,vipi kina mdude, mzee kibao waliouliwa na kina lisu waliokamatwa na kupewa uhaini kwa kuongea tuu,na maandamano na mikutano ya kisiasa si haki ya kikatiba, acha kujitoa ufahamu na kutetea wahuni hao, utekaji na mauaji sio poaTuchukulie kwamba upo sahihi kwa maelezo yako
Je, kuondoa mfumo huu kandamizi ni kupitia maandamano ya fujo na vurugu?
Pure propaganda, hata kama ni kweli ni mali za Libya sio Gaddafi, they can afford ni very rich state kutokana na oilHizo habar potofu ndio propaganda kubwa zIlizo fanywa dhidi ya Utawala wa Gaddafi
Gaddafi alisema sitamjengea mama yangu nyumba mpaka wananchi wangu wapate makazi,je hilo linasemwa?
Wanandoa kupewa nyumba na pesa ya kuanzia maisha je inasemwa?
Nchi haikuwa na deni hata shilingi,je inasemwa?
Gaddafi kaacha nchi ina reserve ya kitu kama dola million 300,je inasemwa?
Toa haki, watu hawaanzishagi vurugu tu bila sababu, sema sababu huwa zinapuuziwa na viongozi wakizani kwamba hawawezi kufikiwa. Kiburi na jeuri za viongozi kote duniani madhara yake ni huwa hivyo.
View attachment 3515158
My people,
15 - February -2011
Benghazi, Libya
Ghasia zilianza rasmi baada ya Utawala wa Muammar Gaddafi kumkamata mwanasheria anayejulikana kwa jina la Fathi Terbil ambaye alikuwa mtetezi wa haki za binadamu
Baada ya wananchi kujua hilo tukio walikasirishwa sana,na hapo ndipo Maandamano rasmi yalianza viunga vyote vya Libya
Baadae Serikali ilitumia nguvu kubwa kwa kuwapiga risasi waandamanaji,baadae wandamanaji nao wakapora silaha na kuunda vikundi wa uasi dhidi ya Serikali
Kutoka maandamano ikaja kuwa vita ya wenyewe kwa wenyewe, nchi yote ikachafuka hatimaye NATO ikaingilia kati na kufunga anga na kuanza kuwapiga au kuwashambulia askari au wanajeshi wa jeshi la libya,mwisho wa siku Utawala wa Gaddafi ukaanguka
Kilichofuatia baadae nchi haikutawalika tena,uasi ukawa mwingi na machafuko ikawa sehemu ya maisha ya kila siku ya Libya
Watu ambao walikuwa hawajui kulipa bill za maji au umeme,watu ambao walikuwa wanaingiziwa gawio kwenye account zao kutoka kwenye uchumi wa mafuta,leo hii hawana amani,wengi wanakufa baharini huko katika jitihada za kueleka Ulaya.
Wananchi jua kwamba nasi ikifikia hatua hiyo ya machafuko,wazungu wataingilia kati ,si kwakuwa wanatupenda ila kwa ajili ya Kuja kuvuna rasilimali za Tanzania
Ndio maana baadhi yetu tunapoamua kuwa mabalozi wa amani tunajua nini maana ya kukosa amani,tunajua si ushujaa kuwa wakimbizi
Kwahiyo tujue kwamba AMANI NI TUNU YETU BASI TUILINDE KWA WIVU MKUBWA
Tunashukuru na kufurahi kuona kwamba kuna members wengi wanatuunga mkono kwenye hii kampeni itakayodumu hadi 31 Dec 2025
Tanzania ni yetu basi tudumishe amani ya nchi yetu
Ni hayo tu!
Wanasiasa wote sio Tz tu duniani hutajirika kupitia siasaUtajiei wa akina samia na jamaa zake JK umetokana na nini!?
Sio kweli,only in shit hole countries like Tanzania sio kwa wanaojielewaWanasiasa wote sio Tz tu duniani hutajirika kupitia siasa
Ukifuatilia vizur historia ya Libya chini ya Colonel Muammar Gaddafi, nchi ilikuwa inaweka maslahi ya walibya mbele
Na makapuni ya nje hayakuruhusiwa kuchimba mafuta na hata yalichimba basi yalikuwa kwa maslahi ya Libya zaidi,mwa maana Serikalli ilikuwa makini kuhakikisha Libya inanufaika na uchumi wake
Kama unavyojua,mabwana wakubwa hiki hawakulipenda hivvyo wakaanzisha fitina kupitìa wazawa ili Utawala wa Gaddafi uonekane una matatizo,ili mwisho wa siku wapate uhalali wa regime change
Haya ndio yanayotokea sasa hapa Tanzania, inasemekana baadhi ya wanaharakati wanafadhiliwa na makampuni ya nje kama Ford
Cha kujiuliza ni wangapi wapo nyuma ya Ford??
Je, dhumuni lao ni nini hasa?
Watanzania tutulize vichwa vyetu na kutafakari kwa kina sana,tusiingie kwenye anga za adui yetu
Sio kweli,only in shit hole countries like Tanzania sio kwa wanaojielewa
HIyo wote umeileta ili kuhalalisha uhalifu wa unaowatetea!?Wanasiasa wote sio Tz tu duniani hutajirika kupitia siasa
Pia kuwa mwanasiasa sio jambo jepesi , kwahiyo usitishwe na mafanikio walionayoHIyo wote umeileta ili kuhalalisha uhalifu wa unaowatetea!?
HIyo wote umeileta ili kuhalalisha uhalifu wa unaowateteaWanasiasa wote sio Tz tu duniani hutajirika kupitia siasa
Kukaa kimya pia kunasaidia nini!?Pia kuwa mwanasiasa sio jambo jepesi , kwahiyo usitishwe na mafanikio walionayo
Kwakuwa ktk siasa kuna kuuliwa pia , kupewa sumu , kupigwa risasi n.k
Ndo maana ukiwa hauwezi siasa usilalamike aliyeichagua hiyo Kazi
Swala la kuiba umeliongea wewe Ila wao wanayonya Kama ambavyo wewe boss anavyokunyonya anakulipa ujira mdogo lakini Kazi unafanya kubwa that's game.
Kulalamika mitandaoni haisadii kitu .
Tatizo lenu; watu wenye nia hasa ya upotoshaji ni kuwa mnapoandika ni kama mmezima akili za kufikiri kuwa watakaosoma maandishi yenu na wao wanazo akili za kuchambua na kuelewa mnacholenga nyinyi.Bwana Kalamu,
Hilo liko wazi juu ya mtazamo wako kwangu mimi,binafsi halinipishida
Sisi hapa tunapigania amani ambayo kama wananchi tunaweza kuendelea na maisha yetu ya kila siku,tukalima,tukafanya biashara,tukasoma,na kushiriki katika shughuli mbali mbali za uchumi
Hayo mambo ya haki nyingine nyingi ni mambo mtambuka,ni process,sasa wakati inatafutwa namna ya kukaa mezani na kutatua changamoto ambazo nyingine ni za kikatiba,basi mwananchi huyu wa kawaida aendelee na maisha ya kila siku
Mtu kama wewe utaanzia wapi kujuwa kuwa CCM ni jina tu linalotumiwa na waovu akina Samia, Kikwete kutimiza malengo ya upande huo unaokuleta hapa na kejeli tele!Halafu wanakuja watanzania wasio jitambua maskini ya mungu wanaongea upuuzi mtup
Siwezi kusema chochote kuhusiana na comment yako kwamba sasa hivi hakuna CCM, maana hizo ni tuhuma tu,sasa huwezi kupoteza muda kuzungumzia porojo
Je hiyo mikakati ndio maandamano ambayo kila kukicha mnayapangia tarehe mpya?