Tujifunze Kutoka Libya

Tujifunze Kutoka Libya

Tanzania tunaingiziwa pesa kwenye account zetu?
Hatujui kulipa bill za maji na umeme?
Nini nchi hii inatoa kwa ukamilifu bila makandokando na kitu kidogo?
Je huduma za afya ni bora?
Usafiri?
Dawa zinapatikana?
Miundombinu?
Je kuna usalama wa kutosha ama kuna utulivu ama aman?
 
Bwana Kalamu,

Hilo liko wazi juu ya mtazamo wako kwangu mimi,binafsi halinipishida

Sisi hapa tunapigania amani ambayo kama wananchi tunaweza kuendelea na maisha yetu ya kila siku,tukalima,tukafanya biashara,tukasoma,na kushiriki katika shughuli mbali mbali za uchumi

Hayo mambo ya haki nyingine nyingi ni mambo mtambuka,ni process,sasa wakati inatafutwa namna ya kukaa mezani na kutatua changamoto ambazo nyingine ni za kikatiba,basi mwananchi huyu wa kawaida aendelee na maisha ya kila siku
Unaongea huu upuuzi kwa vile haujawa mhanga wa madhila ya uhalifu uliofanywa na hii serikali haramu na bado unaendelea kufanyika dhidi ya RAIA , ukipatwa na madhila ya huu udhalimu wa serikali haramu hutakuja hapa kuandika huu upumbavu wako
 
Amani kwanza,kama maji tangu uhuru bado ni shida kwanini liwe tukio la kustaajabisha sàsa hivi?

Amani Amani Amani
Nakukumbusha tu Humphrey Pole pole ,Job ndugai , magufuri , Jenister Mhagama walikuwa ni machawa wa mfumo dhalimu kuliko wewe na walipata benefits mara milioni kuliko nyinyi wapumbavu makapuku msio na akili mnaosambaza propaganda mfu humu za serikali haramu ya kigaidi ya com Ila Leo hawapo hai na wamemalizwa na mfumo dhalimu huo ,sasa we ngoja Muda si mrefu litakukuta jambo
 
Hawa vijana safari hii wakiingia road kupinga serikali wakishikwa wawekwe nondo za moto makalioni.
Amani gharama yake kubwa kuliko haki.
Haki unaweza kuijenga kwa siku moja but amani hujengwa kwa miaka ming

Ni heri mchague aidha nyie wapumbavu muhame nchi au mkubali kuwa Rais Samia ndiye Rais wenu.
Kinyume na hapo pressure itawaua maana matarajio yenu hayatafanikiwa hata kwa 05% .
Never
Nakukumbusha tu Humphrey Pole pole ,Job ndugai , magufuri , Jenister Mhagama walikuwa ni machawa wa mfumo dhalimu kuliko wewe na walipata benefits mara milioni kuliko nyinyi wapumbavu makapuku msio na akili mnaosambaza propaganda mfu humu za serikali haramu ya kigaidi ya com Ila Leo hawapo hai na wamemalizwa na mfumo dhalimu huo ,sasa we ngoja Muda si mrefu litakukuta jambo
 
Hyo libya wamefeli sawa shda kubwa ilikuwa kwa gadafi huwenz kufuga watu km kuku wa kisasa.mabadiliko yanakipndi chake yakija hayazuiliki ukizuia matokeo yake unaleta machafuko.tunisia misri walipitia haya mbona hawana vita.vp kenya ghana wamekubali kuleta mabadiliko kwa wananchi na kuongoza cyo kutawala km ccm.
Iko hivi mara nyingi mtu hawezi ona neema ya kitu au mtu mpaka amputee au hicho kitu kipotee

Libya ilikuwa na neema nyingi sana kwa wananchi wake,lakini siku zote ukitaka kuharibu heshima ya mtu basi ichafue kwanza ili upate uhalali wa kummaliza

Wananchi wèngi wa Libya hawakuwa hata na shida ya kubadilisha utawala wao,kwasababu maisha kwao yalikuwa mazuri

Wakatokea wapuuzi wachache kama hawa Wanaharakati wenu kwa kushirikiana na mataifa ya nje kuanzisha movement za kudhoofisha utawala wa Libya ili wapate kula mema ya Libya,wasichojua wananchi ni kwamba hayo yote hayakuwa kwa ajili ya maslahi yao bali ni kwa maslahi ya watu wachache wenye malengo yao

Huu upuuzi na nyie Watanzania msiojielewa mnataka kucheza ngoma ile ile waliyocheza walibya

Mnajazwa ujinga kwa taarifa nyingi za uzushi kisha mnajaa upepo na kutaka kuichoma nchi yenu kwa kiberiti

Mjitafakari before it's too late
 
..umeeleza vizuri sana kwamba ukivunja HAKI unahatarisha AMANI.

..amani ya Libya ilitoweka baada ya Gadaffi kuanza kukanyaga HAKI za wenzake.
Ukifuatilia vizur historia ya Libya chini ya Colonel Muammar Gaddafi, nchi ilikuwa inaweka maslahi ya walibya mbele

Na makapuni ya nje hayakuruhusiwa kuchimba mafuta na hata yalichimba basi yalikuwa kwa maslahi ya Libya zaidi,mwa maana Serikalli ilikuwa makini kuhakikisha Libya inanufaika na uchumi wake

Kama unavyojua,mabwana wakubwa hiki hawakulipenda hivvyo wakaanzisha fitina kupitìa wazawa ili Utawala wa Gaddafi uonekane una matatizo,ili mwisho wa siku wapate uhalali wa regime change

Haya ndio yanayotokea sasa hapa Tanzania, inasemekana baadhi ya wanaharakati wanafadhiliwa na makampuni ya nje kama Ford

Cha kujiuliza ni wangapi wapo nyuma ya Ford??

Je, dhumuni lao ni nini hasa?

Watanzania tutulize vichwa vyetu na kutafakari kwa kina sana,tusiingie kwenye anga za adui yetu
 
Kuitoa CCM sio jambo jepesi Kama unavyofikiria .

Nadhani ile 29/10 umejionea mwenyewe .

Lazima uwe na mikakati na haya maneno yenu mnayokuwa mnaandika kufarijiana.

Ile 29/10 inakupa picha kamili kuwa kelele , maandamano n.k bado ni njia dhaifu na duni.

Sisi tutatumia mazungumzo na nyie tumieni maandamano.
fact
 
Swali zuri kabisa.

Lakini yeye mwenyewe anafikiri mada yake inakidhi mahitaji ya propaganda potofu anayoieneza.

Hata hana mfano mmoja wa upande wa pili wa mada yake?

Ni nchi ngapi zimekombolewa toka kwa viongozi dhalimu, waovu kama Samia na kuendelea kuwa nchi za kutolewa mfano?
MAZUNGUMZO, ndiyo yaliyoondoa utawala wa Hitler na waovu wengine duniani?
Sasa ebu wakati mwingine muwe mnayaangalia mambo kwa uhalisia wake basi

Hii serikali ya Mama Samia mnajidanganya kwamba mnaweza kuiondoa kwa maandamano au kwa kutumia nguvu zenu bila back up ya Majeshi ya ulinzi na Usalama?

Walibya wenyewe mpaka wameangusha utawala ni kwa back up ya majeshi ya NATO

Tuache kuota ndoto za mchana,pangeni maandamano yenu tena muone mtakacho kipata

Kama hamjajifunza tukio la 29 Oct basi hamtajifunnza tena
 
Ukifuatilia vizur historia ya Libya chini ya Colonel Muammar Gaddafi, nchi ilikuwa inaweka maslahi ya walibya mbele

Na makapuni ya nje hayakuruhusiwa kuchimba mafuta na hata yalichimba basi yalikuwa kwa maslahi ya Libya zaidi,mwa maana Serikalli ilikuwa makini kuhakikisha Libya inanufaika na uchumi wake

Kama unavyojua,mabwana wakubwa hiki hawakulipenda hivvyo wakaanzisha fitina kupitìa wazawa ili Utawala wa Gaddafi uonekane una matatizo,ili mwisho wa siku wapate uhalali wa regime change

Haya ndio yanayotokea sasa hapa Tanzania, inasemekana baadhi ya wanaharakati wanafadhiliwa na makampuni ya nje kama Ford

Cha kujiuliza ni wangapi wapo nyuma ya Ford??

Je, dhumuni lao ni nini hasa?

Watanzania tutulize vichwa vyetu na kutafakari kwa kina sana,tusiingie kwenye anga za adui yetu

Wazungu hawapo kumsaidia Mwafrika wao ni opportunity seeker

Mimi nina Shanganzi yangu kaajiriwa UN kituo cha Kazi SUDAN.

Wakati Ana re new contract yake Aliwahi kutuambia kuwa wale wasudani wakigombana wao wanapata hela

Anasema kwa sasa kipato kimeshuka kwakuwa hawagombani

Kwahiyo USA n.k huenda kuiba Mafuta kule

Kwahiyo ukisikia VITA zinakuwa zinadhaminiwa na hao Mabeberu na ndo UN na ndo huiba Mafuta , madini n.k

kwahiyo ninapokuwa nawaona hawa Chadema wanawasifu wazungu najua kabisa washalipwa

ni vile sisi hatuna Mali nyingi Kama Mafuta Ila tungekuwa nazo tungewapa wazungu na Kama tungewanyima basi wangeingiza nchi yetu katika machafuko

Utajiri wa USA ukiufatilia Unatokana na wizi
 
Swali zuri kabisa.

Lakini yeye mwenyewe anafikiri mada yake inakidhi mahitaji ya propaganda potofu anayoieneza.

Hata hana mfano mmoja wa upande wa pili wa mada yake?

Ni nchi ngapi zimekombolewa toka kwa viongozi dhalimu, waovu kama Samia na kuendelea kuwa nchi za kutolewa mfano?
MAZUNGUMZO, ndiyo yaliyoondoa utawala wa Hitler na waovu wengine duniani?
Sasa ebu wakati mwingine muwe mnayaangalia mambo kwa uhalisia wake basi

Hii serikali ya Mama Samia mnajidanganya kwamba mnaweza kuiondoa kwa maandamano au kwa kutumia nguvu zenu bila back up ya Majeshi ya ulinzi na Usalama?

Walibya wenyewe mpaka wameangusha utawala ni kwa back up ya majeshi ya NATO

Tuache kuota ndoto za mchana,pangeni maandamano yenu tena muone mtakacho kipata

Kama hamjajifunza tukio la 29 Oct basi hamtajifunnza
Nyie mnaandika Ila hamuingii Field kupambana .

Mnafikiri CCM itatoka madarakani kwa maneno matupu ?

Sikia acheni hizi mambo za kuamini kuna MTU atakupambania .

Mnataka vijana warudi barabarani wauliwe tena au Mnataka nini

Nyie watoto wenu mnawalinda Ila mnataka watoto wengine wakaandamane .

Big NO tuta -push agenda hakuna maandamano nyie key body ni watu selfish
Hakuna kurudi nyuma ni hakuna maandamano yasiyo kuwa na dira wala mwelekeo

Kibaya zaidi wao wanakaa kwenye mitandao ya kijamii kuwajaza watoto wa watu upepo kisha wakapate madhara huko,wao watoto wapo salama kabisa

Hapana hutuwezi kukubali huu ujinga ,hatuta kaa kimya hata kidogo aluta continua
 
Wazungu hawapo kumsaidia Mwafrika wao ni opportunity seeker

Mimi nina Shanganzi yangu kaajiriwa UN kituo cha Kazi SUDAN.

Wakati Ana re new contract yake Aliwahi kutuambia kuwa wale wasudani wakigombana wao wanapata hela

Anasema kwa sasa kipato kimeshuka kwakuwa hawagombani

Kwahiyo USA n.k huenda kuiba Mafuta kule

Kwahiyo ukisikia VITA zinakuwa zinadhaminiwa na hao Mabeberu na ndo UN na ndo huiba Mafuta , madini n.k

kwahiyo ninapokuwa nawaona hawa Chadema wanawasifu wazungu najua kabisa washalipwa

ni vile sisi hatuna Mali nyingi Kama Mafuta Ila tungekuwa nazo tungewapa wazungu na Kama tungewanyima basi wangeingiza nchi yetu katika machafuko

Utajiri wa USA ukiufatilia Unatokana na wizi
Halafu wanakuja watanzania wasio jitambua maskini ya mungu wanaongea upuuzi mtupu
 
Halafu wanakuja watanzania wasio jitambua maskini ya mungu wanaongea upuuzi mtup
Kwanza upotofu wako ni kudhani kuna CCM, kama chama. Huo ni udanganyifu ulio wazi.

Pangekuwa na CCM, Samia asingekuwa alipo sasa hivi. Kwa hiyo huo ni upotoshaji mnaoufanya kwa maksudi kabisa.

Kilichopo sasa hivi ni kundi la watu waovu kabisa, wachache sana wanaotumia jina la hicho chama; kundi lililoteka vyombo vya usalama kutumia mitutu ya bunduki kulinda maslahi yao.

Sasa wewe unajuawaje kuwa waTanzania hawana mikakati; na badala yake mnataka wakubali matakwa ya hao wanaowatuma kuja humu kueneza upotofu ili kulinda uovu.
Siwezi kusema chochote kuhusiana na comment yako kwamba sasa hivi hakuna CCM, maana hizo ni tuhuma tu,sasa huwezi kupoteza muda kuzungumzia porojo

Je hiyo mikakati ndio maandamano ambayo kila kukicha mnayapangia tarehe mpya?
 
Halafu wanakuja watanzania wasio jitambua maskini ya mungu wanaongea upuuzi mtupu
JF IPO na watu wakumezeshwa taarifa Ila hawana uwezo kujua taarifa hii Kaileta nani na kwa lengo. Gani

Western countries hazijawahi kumsaidia Mwafrica .

Huwa nikikaa na hawa Diaspora unaona wapo na akili zile zile za kitumwa za kuamini wazungu wanawasaidia.

Mzungu anafanya biashara , mzungu analeta VITA ili auze silaha , mzungu anaiba Mali

Kama , una MTU ambaye anafanya Kazi UN katika nchi zenye apolitical instability anaweza akakukupa taarifa in details

Tuseme ndio CONGO kuna VITA Ila mbona sehemu madini yanapopatikana hakuna VITA ?

Au pale SUDAN sehemu mafuta yanapochimbwa hakuna VITA

Kwahiyo unaelewa kuwa hawa wazungu wanosifiwa na wanahaharakati hao wanaharakati wanakuwa wamelipwa

SSH kuhusu hilo alikuwa sahihi .
 
Kwanza upotofu wako ni kudhani kuna CCM, kama chama. Huo ni udanganyifu ulio wazi.

Pangekuwa na CCM, Samia asingekuwa alipo sasa hivi. Kwa hiyo huo ni upotoshaji mnaoufanya kwa maksudi kabisa.

Kilichopo sasa hivi ni kundi la watu waovu kabisa, wachache sana wanaotumia jina la hicho chama; kundi lililoteka vyombo vya usalama kutumia mitutu ya bunduki kulinda maslahi yao.

Sasa wewe unajuawaje kuwa waTanzania hawana mikakati; na badala yake mnataka wakubali matakwa ya hao wanaowatuma kuja humu kueneza upotofu ili kulinda uovu.
Siwezi kuzungumzia kama kuna CCM au laa,kwasababu hizo ni tuhuma,maana siwezi poteza muda kujadili porojo

Kwahiyo sehemu yenu ya mikakati ni kubadilisha tarehe za maandamano kila kukicha,na kutaka mpaka kuandamana kwenye sikukuu za dini

Sishangai nikisikia hata Mei Mosi mtaandamana

Acheni ujinga watanzania
 
Acheni ujinga watanz
JF IPO na watu wakumezeshwa taarifa Ila hawana uwezo kujua taarifa hii Kaileta nani na kwa lengo. Gani

Western countries hazijawahi kumsaidia Mwafrica .

Huwa nikikaa na hawa Diaspora unaona wapo na akili zile zile za kitumwa za kuamini wazungu wanawasaidia.

Mzungu anafanya biashara , mzungu analeta VITA ili auze silaha , mzungu anaiba Mali

Kama , una MTU ambaye anafanya Kazi UN katika nchi zenye apolitical instability anaweza akakukupa taarifa in details

Tuseme ndio CONGO kuna VITA Ila mbona sehemu madini yanapopatikana hakuna VITA ?

Au pale SUDAN sehemu mafuta yanapochimbwa hakuna VITA

Kwahiyo unaelewa kuwa hawa wazungu wanosifiwa na wanahaharakati hao wanaharakati wanakuwa wamelipwa

SSH kuhusu hilo alikuwa sahihi .
Huo ndio ukweli haihitaji jambo hili uwe na elimu kubwa sana,kwa kuangalia mifano mingi kama uliyosema hapo yatosha kabisa kujua ukweli wa mambo

Tatizo wabongo wengi tukipata taarifa huwa tunazimeza kama zilivyo bila kuitafakari,na kibaya zaidi tunazisambaza kana kwamba tuna uwakika na ukweli wake

Wanakuja wapuuzi fulani sijui shell za Lake ni za Kikwete,hao wakaenda kuzichoma

Mwenyewe juzi kasema leteni ushahidi,tunasubiri ushahidi upelekwe

Hatukatai kuna ufisadi lakini sio kila tuhuma ni za kwelli,mnawalisha vijana wetu upuuzi mwingi hao road wamepoteza maisha 29 Oct mko hapa jf mnaropoka tu
 
Kum@ LA mamako , ccm na mbwa koko wala makombo Kama wewe lazima mfutwe kwenye USO wa dunia ,worthless creatures ,mbwa takataka.......Ccm ni kikundi cha kigaidi na maharamia wauaji waliojipachika madarakani bila ridhaa ya wananchi
Haya ni matunda ya amani iliyopo nchini ndio maana unapata muda wa kutukana baada ya kushiba ugali wako na maharage

Walipo kwenye nchi ambazo hazina amani sasa wanastress za kuwaza watapata wapi chakula cha familia zao

Watoto na familia za Gaza tumewaona wakigombania maji na chakula,huko hakuna amani

Mshukuru sana Mungu kwa amani iliyopo hapa Tanzania mpaka umesahau hii neema na kutukuna

Sisi wengine ni wastaarabu hatujui kukasirika wala kutukana

Asante
 
Siwezi kuzungumzia kama kuna CCM au laa,kwasababu hizo ni tuhuma,maana siwezi poteza muda kujadili porojo

Kwahiyo sehemu yenu ya mikakati ni kubadilisha tarehe za maandamano kila kukicha,na kutaka mpaka kuandamana kwenye sikukuu za dini

Sishangai nikisikia hata Mei Mosi mtaandamana

Acheni ujinga watanz

Huo ndio ukweli haihitaji jambo hili uwe na elimu kubwa sana,kwa kuangalia mifano mingi kama uliyosema hapo yatosha kabisa kujua ukweli wa mambo

Tatizo wabongo wengi tukipata taarifa huwa tunazimeza kama zilivyo bila kuitafakari,na kibaya zaidi tunazisambaza kana kwamba tuna uwakika na ukweli wake

Wanakuja wapuuzi fulani sijui shell za Lake ni za Kikwete,hao wakaenda kuzichoma

Mwenyewe juzi kasema leteni ushahidi,tunasubiri ushahidi upelekwe

Hatukatai kuna ufisadi lakini sio kila tuhuma ni za kwelli,mnawalisha vijana wetu upuuzi mwingi hao road wamepoteza maisha 29 Oct mko hapa jf mnaropoka tu

Mange kimambi alisema vijana watoke Jeshi kitawalinda na alivyojitokeza Tesha ndo wakaona Jeshi litachukua nchi .

Kweli wakaingia Front

Hii ilikuwa dark psychology ambayo haina utofauti na VITA ya majiji war ya Kinjekitile Ngware

nilitegemea baada ya 29/10 Hawa wanaharakati waombe Msamaha kwa kusababisha mauaji Ila bado wanawaambia vijana waandame

Nilienda kulebTiktok nikawasilikiliza wanafanya mjadala nikajua wanaofanya mjadala sio waandanaji Ila wanalitegemea lile kundi dogo la mtaani Kama bodaboda , hustlers n.k

Kwahiyo kundi ndo kwa kiwango kikubwa lilitoka na kuuliwa 29/10 na ndo lilichoma nchi

Hata ukitazama hakuna hata mtoto mmoja wa mwanaharakati au ndugu akiyeuliwa au viongozi wa Chadema .

So hawa keyboard 100% ni watu wabaya ambao wamejaa chuki kwahiyo wanataka kukitumia kundi dhaifu kiufahamu ili waliingize barabarani .

Na hawatoweza hata kidogo
 
ILI AMANI IWE ENDELEVU LAZIMA SERIKALI NAYO IKUBALI KUWA INAMAKOSA NA KUYAFANYIA KAZI.MFANO UTEKAJI LAZIMA IACHE.KAMA MTU ANAKOSA AKAMATWE KWA UWAZI NA SIYO KWA KUMTEKA.PIA IPUNGUZE UPENDELEO WA WAZIWAZI KWENYE NAFASI ZA UTEUZI NA KUKUTUMIA RASILIMALI TULIZONAZO KWA UFANISI ILI KUHAKIKISHA KILA MTANZANIA ANANUFAIKA NA RASILIMALI HIZO.
Maoni yako ni mazuri
 
Sudan kuna wazungu; Mali kuna wazungu; Nigeria kuna wazungu; Yemen, kuna wazungu? n.k., n.k.,

huoni kuwa ajenda yako ipo nje nje kabisa?
Tanzania tuna rasilimali nyingi sana ambazo zInawavutia wazungu, tukifanya kosa moja la kiufundi utawaona hawa hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom