Tujifunze Kutoka Libya

Tujifunze Kutoka Libya

Aliyeandika hii, hata uwe vipi. Au mama yako auliwe mbele yako. Huna la kufanya. Huna jeuri yyte. Na hamna maswahibu yyte umewahi PATA. Kaa kimya tafuta hela mpaka tarehe 31, tarhe moja twende ukale bata 1245.
 
Kwamba kumshika wakili ndiyo ghafla pakazuka vikundi vyenye silaha na NATO wakaleta jeshi?

..Gadaffi alianza ukorofi kabla ya hapo.

..kwa mfano, alimpoteza makamu wake wa raisi Major Jalloud.

..pia alikuwa akifadhili machafuko ktk nchi mbalimbali za Afrika kwa mfano Sierra Leone.

..vilevile alihusika na shambulizi la kigaidi na kulipua ndege kule Lockerbie.

..kwa kifupi alijitengenezea maadui wengi ndani na nje ya Libya.
 
Hawa vijana safari hii wakiingia road kupinga serikali wakishikwa wawekwe nondo za moto makalioni.
Amani gharama yake kubwa kuliko haki.
Haki unaweza kuijenga kwa siku moja but amani hujengwa kwa miaka mingi
Amani ya kunenepesha huo mkundv wako at the expense ya maumivu ya RAIA ,kvma LA mama KO wewe .....Huu ushenzi mtaulipia kwa maumivu makali ,ni suala LA muda tu ,watch out assholes
 
..Gadaffi alianza ukorofi kabla ya hapo.

..kwa mfano, alimpoteza makamu wake wa raisi Major Jalloud.

..pia alikuwa akifadhili machafuko ktk nchi mbalimbali za Afrika kwa mfano Sierra Leone.

..vilevile alihusika na shambulizi la kigaidi na kulipua ndege kule Lockerbie.

..kwa kifupi alijitengenezea maadui wengi ndani na nje ya Libya.
Kilichomtoa Gaddafi kinajulikana, yaani NATO iende kutetea waandamanaji afrika!?
 
Kilichomtoa Gaddafi kinajulikana, yaani NATO iende kutetea waandamanaji afrika!?

..kusingekuwa na maandamano NATO wasingepata nafasi ya kumtoa.

..watu wa Siera Leone hawataki kabisa kumsikia Gadaffi kwasababu alichochea vita nchini kwao.

..Gadaffi pia anahusishwa na vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Liberia ambayo imeuwa watu wengi sana.
 
Kwahiyo wananchi wa Libya waliathirika vipi na hayo?
 
..kusingekuwa na maandamano NATO wasingepata nafasi ya kumtoa.

..watu wa Siera Leone hawataki kabisa kumsikia Gadaffi kwasababu alichochea vita nchini kwao.

..Gadaffi pia anahusishwa na vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Liberia ambayo imeuwa watu wengi sana.
Vita ya Sierra Leone na Liberia haiwezi kuwa imeanzishwa na kuchochewa na Gaddafi,vita huko vina mizizi mirefu
 
Vita ya Sierra Leone na Liberia haiwezi kuwa imeanzishwa na kuchochewa na Gaddafi,vita huko vina mizizi mirefu

..Gadaffi alikuwa akiwafadhili silaha magaidi wa Sierra Leone kwa malipo ya almasi.

..Gadaffi pia alikuwa swahiba mkubwa wa Charles Taylor wa Liberia.

..hata Museveni wa Uganda alipokuwa muasi alikuwa akifadhiliwa na Gadaffi.

..kwa kifupi Gadaffi ana damu ya maelfu ya Waafrika mikononi mwake.
 
Hawa vijana safari hii wakiingia road kupinga serikali wakishikwa wawekwe nondo za moto makalioni.
Amani gharama yake kubwa kuliko haki.
Haki unaweza kuijenga kwa siku moja but amani hujengwa kwa miaka ming
Amani ya kunenepesha huo mkundv wako at the expense ya maumivu ya RAIA ,kvma LA mama KO wewe .....Huu ushenzi mtaulipia kwa maumivu makali ,ni suala LA muda tu ,watch out assholes
Ni heri mchague aidha nyie wapumbavu muhame nchi au mkubali kuwa Rais Samia ndiye Rais wenu.
Kinyume na hapo pressure itawaua maana matarajio yenu hayatafanikiwa hata kwa 05% .
Never
 
Hizo VITA zililetwa na WAZUNGU hasa USA ili kuiba MALI Kama mafuta.

Ndo maana nilisema ni kweli CCM imepoteza misingi yake Ila hatuwezi kuitoa kwa kutegemea wazungu .

Zaidi tutaiingiza nchi katika MACHUFUKO ambayo tunaweza kuyaeupuka..

Number don't lie kupitia takwimu mbalimbali tunaona mataifa ya kimagharibi huwa hayatatui migogoro ya kisiasa zaidi ya kuiba Mali na kuuza silaha

Refer CONGO, Sudan kusini , Somalia , Libya n.k

Kwahiyo sisi kwa sisi tukituliza akili tunaweza kuiweka nchi yetu katika mikono salama.

NB.

Sisi ambao hatusapoti maandano haimaniishi tunakubalina na mauaji ya 29/10

Ila tunapendekeza njia ya mazungumzo ndo itumike.
Na siku zote njia ya mazungumzo ndio bora zaidi na huleta suluhisho

Watu wataanza kwenye vita lakini mwisho wa siku watakaa kwenye round table na kuzungumza

Angalia mfano wa Hamas na Israel,na kwengine kote duniani hufanyika hivyo

Hata Urusi na Ukraine ipo siku watamaliza mapigano kwa mazungumzo

Kwahiyo ni sahihi kabisa tutumie mazungumzo kutatua changamoto zetu
 
View attachment 3515158

My people,​

15 - February -2011

Benghazi, Libya

Ghasia zilianza rasmi baada ya Utawala wa Muammar Gaddafi kumkamata mwanasheria anayejulikana kwa jina la Fathi Terbil ambaye alikuwa mtetezi wa haki za binadamu

Baada ya wananchi kujua hilo tukio walikasirishwa sana,na hapo ndipo Maandamano rasmi yalianza viunga vyote vya Libya

Baadae Serikali ilitumia nguvu kubwa kwa kuwapiga risasi waandamanaji,baadae wandamanaji nao wakapora silaha na kuunda vikundi wa uasi dhidi ya Serikali

Kutoka maandamano ikaja kuwa vita ya wenyewe kwa wenyewe, nchi yote ikachafuka hatimaye NATO ikaingilia kati na kufunga anga na kuanza kuwapiga au kuwashambulia askari au wanajeshi wa jeshi la libya,mwisho wa siku Utawala wa Gaddafi ukaanguka

Kilichofuatia baadae nchi haikutawalika tena,uasi ukawa mwingi na machafuko ikawa sehemu ya maisha ya kila siku ya Libya

Watu ambao walikuwa hawajui kulipa bill za maji au umeme,watu ambao walikuwa wanaingiziwa gawio kwenye account zao kutoka kwenye uchumi wa mafuta,leo hii hawana amani,wengi wanakufa baharini huko katika jitihada za kueleka Ulaya.

Wananchi jua kwamba nasi ikifikia hatua hiyo ya machafuko,wazungu wataingilia kati ,si kwakuwa wanatupenda ila kwa ajili ya Kuja kuvuna rasilimali za Tanzania

Ndio maana baadhi yetu tunapoamua kuwa mabalozi wa amani tunajua nini maana ya kukosa amani,tunajua si ushujaa kuwa wakimbizi

Kwahiyo tujue kwamba AMANI NI TUNU YETU BASI TUILINDE KWA WIVU MKUBWA

Tunashukuru na kufurahi kuona kwamba kuna members wengi wanatuunga mkono kwenye hii kampeni itakayodumu hadi 31 Dec 2025

Tanzania ni yetu basi tudumishe amani ya nchi yetu

Ni hayo tu!
Ficha upumbavu wako.
 
Unachowaeleza waTanzania ni kuwa ni bora hii hali ya AMANI anayoilinda Samia Suluhu Hassan; kuliko kuhangaikia haki zao; kama kuwa na haki ya kuamua nani awaongoze. Badala yake Samia na Genge lake ndio wajiamulie kuwa wanafaa kutuongoza.
Hizi ni fikra za kipuuzi kabisa.

Nilitaka kukuonyesha hatua kwa hatua jinsi andiko lako lilivyo potofu toka mwanzo hadi mwisho; lakini huko ni kupoteza muda tu na watu wa aina yenu tunaojuwa ajenda yenu ni nini.
Bwana Kalamu,

Hilo liko wazi juu ya mtazamo wako kwangu mimi,binafsi halinipishida

Sisi hapa tunapigania amani ambayo kama wananchi tunaweza kuendelea na maisha yetu ya kila siku,tukalima,tukafanya biashara,tukasoma,na kushiriki katika shughuli mbali mbali za uchumi

Hayo mambo ya haki nyingine nyingi ni mambo mtambuka,ni process,sasa wakati inatafutwa namna ya kukaa mezani na kutatua changamoto ambazo nyingine ni za kikatiba,basi mwananchi huyu wa kawaida aendelee na maisha ya kila siku
 
Hawa vijana safari hii wakiingia road kupinga serikali wakishikwa wawekwe nondo za moto makalioni.
Amani gharama yake kubwa kuliko haki.
Haki unaweza kuijenga kwa siku moja but amani hujengwa kwa miaka ming

Ni heri mchague aidha nyie wapumbavu muhame nchi au mkubali kuwa Rais Samia ndiye Rais wenu.
Kinyume na hapo pressure itawaua maana matarajio yenu hayatafanikiwa hata kwa 05% .
Never
Mama yako kahaba na baba yako khanithi ndio watahama nchi sio sisi ,choko wee.Msenge kum@nyoko
 
Na siku zote njia ya mazungumzo ndio bora zaidi na huleta suluhisho

Watu wataanza kwenye vita lakini mwisho wa siku watakaa kwenye round table na kuzungumza

Angalia mfano wa Hamas na Israel,na kwengine kote duniani hufanyika hivyo

Hata Urusi na Ukraine ipo siku watamaliza mapigano kwa mazungumzo

Kwahiyo ni sahihi kabisa tutumie mazungumzo kutatua changamoto zetu
Ninyi waseng€ mnaakili kwrnye vichwa vyenu mbwa ninyi ,mazungumzo na serikali haramu ambayo haijachagyliwa na wananchi iliyoua naelfu ya watu na ambayo bado inaendeleza ufedhuli ule ule ? ,mnajifyatua akili sio ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom