Tujifunze kupenda tunapopendwa

Tujifunze kupenda tunapopendwa

Me tumechuniana wiki nzima ss no sms, no calls kudadadeki....!!! huyu demu wangu ni bonge la jeuri kinoma yani aiseee...cjawahi ona. nami nimejiapiza simtafuti ng'o tuone kidume nan shiiiiit...!!!!
Kuna kidume kingine kinachompa jeuri hapo mkuu
 
Ishantokea kwa huyu kaka, tangu fom1 hadi fom6 ananipenda balaa lakini ajabu ckuwai kumpenda hata kiduchu na niliwai kujaribu kumpenda lakini nilishindwa kabisa na ilibidi tu nimpotezee cjawai kumwambia tuachane au vp
 
Lakini wewe ulishaamua kujichua, kumbe huwezi kuishi bila kupendwa!!

Hakuna jambo jema kama kuwa na mtu anayekupenda, mnayependana. Dunia hii bila upendo haina furaha aisee, tafuta pesa uwezavyo, fanya ngono kila siku, fanya mitoko kila siku, lakini bila kupendwa/kupenda bado kuna kitu utakuwa unakosa.
 
Hellow dears
Ni ushauri tu,tujifunze kupenda tunapopendwa because hakuna kitu kinachoumiza kama kuona mtu ambae alikuwa akionesha upendo kwako yupo na mwingine na wewe umebaki complicated ulikoenda umeangukia pua,kipindi hicho alionesha upendo kwako nawe ukampuuza,alikua tayari kwa lolote kwako hukumjali alijaribu kufanya chochote uridhike lakini ukampuuza,alikujali kwa kila kitu haikupita siku asijue hali yako hata akiwa busy kiasi gani alijitahidi kuhakikisha anajua umeamkaje,umeshindaje and u hali gani lakini hukumjali ukampuuza ukaenda kwingine ambako unapenda wewe then huko ulikoenda umeangukia pua upo dillema huelewi direction yaan upo complicated then kurudi its too late hakuna kitu kibaya katika maisha kama neno ningelijua..just advice tu.
Upendo wa kweli ni kitu cha kiasili mno na chenye nguvu isiyomithilika na huja na kuondoka chenyewe hakipangiwi... Kamwe upendo haulazimishwi..
 
Kama kuna ka ukweki. Hivi Wakuu hasa Wanawake wenzangu naomba niulize hivi mwanaume yupi bora kwako
1. Anayekupenda yeye na anakuvumilia kwa visa na vituko vyako vyote.
2. Mwanaume unayempenda wewe mdada na uko tayari kulia na kuvumilia visa na vituko vyake.
Mie nampenda anaenipenda na kunivumilia kwa lolote coz najua ntakaa kwenye mstari
 
Ishantokea kwa huyu kaka, tangu fom1 hadi fom6 ananipenda balaa lakini ajabu ckuwai kumpenda hata kiduchu na niliwai kujaribu kumpenda lakini nilishindwa kabisa na ilibidi tu nimpotezee cjawai kumwambia tuachane au vp
Unachokifanya hukijui ili ukijue ni pale kitakapokutokea. Mwambie tu kama haumhitaji ataumia lakini baada ya mda yataisha.kuliko kuendelea kumpa kicheko cha kinafiki anaendelea kufall in love.
Anawakataa wanaompenda kisa yupo anayempenda naye ni wewe unayemuenjoy hauna mpango naye.
Akijua huna muda naye ataumia lakini atafanya chaguo sahihi kwa wanaompenda.
Ni bora kukataliwa kwa matusi milioni kuliko kupendwa na MTU asiye na mpango na wewe.
Huko aliko ashakutambulisha hadi kwa bibi kumbe unamuenjoy.
Go straight
I don't need you 100% just leave me.
Ataumia lakini ni bora kuziba UFA kuliko kujenga Ukuta
 
Hellow dears
Ni ushauri tu,tujifunze kupenda tunapopendwa because hakuna kitu kinachoumiza kama kuona mtu ambae alikuwa akionesha upendo kwako yupo na mwingine na wewe umebaki complicated ulikoenda umeangukia pua,kipindi hicho alionesha upendo kwako nawe ukampuuza,alikua tayari kwa lolote kwako hukumjali alijaribu kufanya chochote uridhike lakini ukampuuza,alikujali kwa kila kitu haikupita siku asijue hali yako hata akiwa busy kiasi gani alijitahidi kuhakikisha anajua umeamkaje,umeshindaje and u hali gani lakini hukumjali ukampuuza ukaenda kwingine ambako unapenda wewe then huko ulikoenda umeangukia pua upo dillema huelewi direction yaan upo complicated then kurudi its too late hakuna kitu kibaya katika maisha kama neno ningelijua..just advice tu.
Pole bana, siku nyingine ujitahidi kuandika story yako kwa paragraph
 
Unachokifanya hukijui ili ukijue ni pale kitakapokutokea. Mwambie tu kama haumhitaji ataumia lakini baada ya mda yataisha.kuliko kuendelea kumpa kicheko cha kinafiki anaendelea kufall in love.
Anawakataa wanaompenda kisa yupo anayempenda naye ni wewe unayemuenjoy hauna mpango naye.
Akijua huna muda naye ataumia lakini atafanya chaguo sahihi kwa wanaompenda.
Ni bora kukataliwa kwa matusi milioni kuliko kupendwa na MTU asiye na mpango na wewe.
Huko aliko ashakutambulisha hadi kwa bibi kumbe unamuenjoy.
Go straight
I don't need you 100% just leave me.
Ataumia lakini ni bora kuziba UFA kuliko kujenga Ukuta
Hazard hata yy pia kashajua hata bila kumwambia maana ckuiz hapigi cm na ikitokea kapiga bac huniambia tu kwamba hatonisahau bac naona kashajifunza kumove on
 
Au ni Mimi,make ishanitokea kama hiyo,na nilikuwa nafanya hivo japo nishaamua kusahau hata simu sipigi tena wala sitaki kujua chochote .
umefanya vizuri kumwambia.
 
Au ni Mimi,make ishanitokea kama hiyo,na nilikuwa nafanya hivo japo nishaamua kusahau hata simu sipigi tena wala sitaki kuja chochote .
umefanya vizuri kumwambia.
Hahahaaa wewe czani kama ni ww bana
 
Jamani mm naomba msaada mbona sjuagi kupenda haswaa,yaani mwanamke kumpenda kwa moyo wangu wote nashindwa jamani .mwanamke akiniletea zakuleta akasema anaondoka wala moyo haunidundi na sijawahi kabisa kupenda mpaka nikasema huyu mwanamke nampenda kweli je naweza kiwa Nina tatzo?
Bado hujapenda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom