David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,559
- 8,412
We acha tu ndugu yangu ,mapenzi yanatesa sana maumivu yake ni hatari yaani yasikie kwa mwenzako omba yasikupate.Pole mwaya. Utapata tuu akupendae.
Namshukuru Mungu nipo salama maana nilipitia kipindi kigumu sana