Tujifunze kupenda tunapopendwa

Tujifunze kupenda tunapopendwa

Hiyo ni Complete Fact, Kuna dada Mmoja alitaka kuwa na Mimi, Nikamwambia kama utakubali kuwa na mwenzio Fresh basi akanambia hataki kushare anataka kuwa na mimi tu...Nikamwambia Huyu Nilienae Nilimwahidi SITOMUACHA KWA NAMNA YEYOTE ILE...Alishangaa sana...Anyway ni Muhimu Kumpenda Mtu Uliyenaye na anaonesha Upendo!
 
Labda nichangie kdgo,,japo naweza nisieleweke sana,upendo hapendwi hata siku moja,kaz yake ni kupenda tu bas,upendo hauna sababu kwa sababu hakuna sababu inayosababisha kupenda zaid ya kupenda kwenyewe. Tunachojisahau wengi wetu ni kwamba tunataka tupende nasi ndo tupende hapo lazima utakwama kwa sababu utakua unaupa upendo kupenda,na kingine tunajisahaulisha makusud kila siku tunasema hakuna binadam aliekamilika,sasa kama unajua hajakamilika kinachokukimbiza ni kipi? Kwa nn tunajisahauliaha kwa makusud kwamba upendo kaz yake ni kufunika madhaifu ya mwenzako ambayo amepugukiwa nayo?tunajitakia matatizo sisi wenyewe baadae tunamlaumu shetan.

NB:heri kuachwa kuliko kuacha
Heri kupenda kuliko kupendwa.
napenda kupenda..ni feeling nzuri sanaaa
 
Kama kuna ka ukweki. Hivi Wakuu hasa Wanawake wenzangu naomba niulize hivi mwanaume yupi bora kwako
1. Anayekupenda yeye na anakuvumilia kwa visa na vituko vyako vyote.
2. Mwanaume unayempenda wewe mdada na uko tayari kulia na kuvumilia visa na vituko vyake.
 
Me tumechuniana wiki nzima ss no sms, no calls kudadadeki....!!! huyu demu wangu ni bonge la jeuri aiseee...cjawahi ona na mimi simtafuti ng'o tuone kidume nan shiiiiit...!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kama kuna ka ukweki. Hivi Wakuu hasa Wanawake wenzangu naomba niulize hivi mwanaume yupi bora kwako
1. Anayekupenda yeye na anakuvumilia kwa visa na vituko vyako vyote.
2. Wanaume unayempenda wewe na uko tayari kulia na kuvumilia visa na vituko vyake.
Ukiona una mwanaume wa namba 1 mshikirie sana.
Ss tukipenda huwa tunavumilia sana.
 
wanadamu hao wa jinsia yenu
Hahahaaaa! Si bora walikupoteza nikakupata, lasivyo nisingekupata na nisingefurahia mapenzi kiasi hiki!! Kila jambo hutokea kwa sababu baby.
 
I pretend that I'm glad you went away but suddenly these four walls are closing to me every day!

And I'm dying inside,
And nobody knows it but me,
Like a clown I put on a show,
The pain is real even if nobody knows,

And I'm crying inside
And nobody knows it but me!
 
Hahahaaaa! Si bora walikupoteza nikakupata, lasivyo nisingekupata na nisingefurahia mapenzi kiasi hiki!! Kila jambo hutokea kwa sababu baby.
ni kweli uyasemayo
yalitokea kwa sababu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom