Tujifunze kupenda tunapopendwa

Tujifunze kupenda tunapopendwa

Ishantokea kwa huyu kaka, tangu fom1 hadi fom6 ananipenda balaa lakini ajabu ckuwai kumpenda hata kiduchu na niliwai kujaribu kumpenda lakini nilishindwa kabisa na ilibidi tu nimpotezee cjawai kumwambia tuachane au vp
Mwanaume ni rahisi sana kumshawishi mwanamke ambaye hampendi na akajikuta anampenda ila mwanamke ni vigumu sana kumshawishi mwanaume ambaye hampendi ili ampende
 
Mwanaume ni rahisi sana kumshawishi mwanamke ambaye hampendi na akajikuta anampenda ila mwanamke ni vigumu sana kumshawishi mwanaume ambaye hampendi ili ampende
Faraja nilishashindwa kabisa kwa huyu kaka lakini nakiri alinipenda sana
 
Some people claim they love you but dont wanna show it. .
All they do is making you feel insecure, inferior and not trustworthy so that you can spend alot of time proving your love to them, while they do nothing
 
Hellow dears
Ni ushauri tu,tujifunze kupenda tunapopendwa because hakuna kitu kinachoumiza kama kuona mtu ambae alikuwa akionesha upendo kwako yupo na mwingine na wewe umebaki complicated ulikoenda umeangukia pua,kipindi hicho alionesha upendo kwako nawe ukampuuza,alikua tayari kwa lolote kwako hukumjali alijaribu kufanya chochote uridhike lakini ukampuuza,alikujali kwa kila kitu haikupita siku asijue hali yako hata akiwa busy kiasi gani alijitahidi kuhakikisha anajua umeamkaje,umeshindaje and u hali gani lakini hukumjali ukampuuza ukaenda kwingine ambako unapenda wewe then huko ulikoenda umeangukia pua upo dillema huelewi direction yaan upo complicated then kurudi its too late hakuna kitu kibaya katika maisha kama neno ningelijua..just advice tu.
Huu ujumbe uende kwa x wangu popote alipo sjui bado yuko mkoa flani ? Ila kila la heri kwa hatua uliyochukua ila malipo ni hapa hapa duniani...
namuomba Mungu asinikutanishe na wewe asilani
popote pale duniani...na nna uhakika upo humu mana kama nligundua umetoa post ya kuomba mchumba sjui na nlijua ni wewe kwa kugundua details ulzoweka kwenye profile , halaaf cha kushangaza nimeona replies zako baadhi humu umekua na mdomo mchafu kweli sjui ndo umeshaoneshwa mji na wajanja ..kila la heri..ila ipo SIKU
 
wanaume tukiwapenda wenzetu huwa hawatuamini asilimia zote, hata kama ni kweli, kumbe bora kupenda nusu nusu unaangalia mengine
 
I pretend that I'm glad you went away but suddenly these four walls are closing to me every day!

And I'm dying inside,
And nobody knows it but me,
Like a clown I put on a show,
The pain is real even if nobody knows,

And I'm crying inside
And nobody knows it but me!
Nipe jina la nyimbo mkuu
 
Moja ni bora zaidi ila akichoka utajuta
Yaani inatia huruma inabidi kushikilia kwa mikono yote tukipendwa wadada. Jamani wanaume wenye upendo wa dhati wapo. Ukiona anakuliza kila muda ujue bado hajakupenda endelea kuomba Mungu akusaidie.
 
Tatizo mijanaume mingine hajui kupendwa wala kudekewa sijui inaishije ktk dunia ya mapenzi. Mimi mjamaa wangu hata nimdekee vipi hajui yani mpk ananiboa mpk nammisi x wangu alikua ananihendo mpk raha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom