hazard Don
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,229
- 1,037
Upo sahihi mkuu.Sio lahisi kujilazimisha kupenda kitu/mtu ,
Kupend kunakuja automatic kutoka moyoni,ukijifunza kukipenda kitu utakua unaigiza na ukiigiza lazima kuna vipengere utavisahau tu,
Chamsinngi ni kua mkweli tu.
Ila usiombe ukampenda MTU hana time na wewe.
usipo kubaliana na matokeo utajutia maamuzi.
We have different question papers. kila MTU na Bahati yake.kuna anayependa akapendwa.
Pia kuna anayependa akatoswa (red card)