uuuwi povu litakukaba hilo du
Hahah ya Wanjera waliiponda kuwa ni mbovu ila ya dai ndo the best!
Mi hii hajanigusa kabisa, hiyo nyingine alotoa na Iyanya bado sijaiona!
Hahahahaa, povu lililomwagika huku ni balaa.
Watu hawataki kuukubali ukweli.
hahaaaa wameikataa ladha ya tende sasa haaaluwaaa inawahusu
Hakuna kitu mama.Wanatokwa na povu tu ilhali moyoni wanakubali kua jamaa kachemsha.
Kwanza kama sio huu uzi wa Shardcole kuzungumzia hili watu tulishasahau kama dai katoa videos mbili featuring Iyanya pia sijaiona.
Labda hizo nyimbo zimechuja huko nyumbani kwenu,ila huku kwetu bado zinakimbiza mbaya na ndio kwanza zinaanza kudownloadiwa na kupigwa sehemu mbalimbali.
Dah hamna kitu!
Kwenye audio ndio basi kabisa
Muziki haujengwi kwa majungu ya kike kama yako muziki unajengwa na watu wenye juhudi kama Diamond na team yake. Tangu muanze majungu yenu ya kike Alikiba wenu amegain nini zaidi ya kumuongezea mikosi tu na gundu.
Kama sio Mr. Flavour sijui ingekuwaje!
Mkuu lengo langu si kukatisha tamaa, kwani nataka tuujenge mziki wetu.
Kama sio Mr. Flavour sijui ingekuwaje!