Tujadili sababu za kuchuja kwa Video 2 za Diamond

Tujadili sababu za kuchuja kwa Video 2 za Diamond

Acha majungu kjana video ya diamond nana inabamba kila kona........
 
Kiukwel huyu rais wa wasaf anawanyma watu usingiz kwa juhud alizonazo,na bdo atawasumbua sana!
 
Wakuu kwakwel mpaka sasa sielewi nini kimetokea kwa hiz siku 3 tu, Jirani yetu katoa Video 2 mfululizo kwa mbwembwe nyingi ikiwemo ile ya "Nana" alofanya na Mr.Flavour, pia na ile aliyofanya na Iyanya.

Swali, hivi ni kwanini watz wameamua kuzipuuza hizo video zote 2 ambazo zimetumia mamilion ya shilingi? Je tumlahum nani wakuu au ndio kusema siku ya kuanguka nyani miti yote huteleza?

Karibuni kwa mjadala.

Vipi jamani huyu jirani yetu mbona hata video ya wimbo wake aliotoa mwezi 2 had leo hii haijatoka? Na hana mpango hadi mwaka unakaribia kuisha,au ni ukata umemkuta jirani.?
 
+Mmh nina wasi wasi na wewe nahisi hii ni ID nyingine ya lukwelo sakafuni.

+ila kinachonifurahisha inaonekana video zimekubamba!
 
Mkuu rudi kwenye hoja.
nyumba kubwa going by this Shardcole's response to your question, it is obvious Shardcole uwezo wake wa kufikiria ni mdogo. Unasemaje eti waTanzania wamezipuuzia video za Diamond? Nyumba Kubwa kakuuliza ni waTanzania wangapi hao waliopuuzia? Tuambie idadi ya hao waTanzania, wana umri gani, je ni wanaume au wanawake (feel free to provide a combined figure) na wanaishi wapi hapa Tanzania na what is their occupation. In short we need you to tell us the demographic of hao watanzania halafu ndio tujue hao watanzania ni percentage gani ya 40 Mil Tanzanians. Tuanzie hapo tu Shardcole.
 
Last edited by a moderator:
Wewe kweli unajua kutoa promo shukurani mingi zikuendeee wewe unayeumia roho kwa kupaa na kuzidi kupaa kwa Diamond ila haujui kuwa ndio unasaidia apaeeeeeeeeeeeeeeeee

Endelea hivi hivi na mwenzako yule, kumbuka maneno ya kiwivu ni mazuri sana kwa Diamond.

Mpeni promo basi mwingine yeyote, oooh nilisahau hamna cha kuongelea...ooih
 
Baada ya kupitia comment nyingi humu ndani yangu hii-kwanza we itakua huna kitu kichwani yaani bogus,pili we lazima utakua ke na wanakupiga jicho,tatu hukufika hata form two,nne una ashki ya hatari sana,tano wazazi wako wanatamani ufe hata leo kwa unavyowatia aibu,sita.........,.......
 
Naona wengi hawakujui wewe na Sakafu kuwa mnapenda kumwongelea vibaya kama njia ya kumpaisha Kiba

Yaani mnataka Diamond achukiwe, asahaulike, na watu wamwongelee kiba tu.

Kinachoshangaza na wivu wenu wa kiajabu ni mnashinda mnamuwaza na kumuongelea Diamond tu.

Endeleeni jamani kesho rusheni hata uzi 10 kama jana kumuongelea maana nyie ni fans wake wakuu humu
 
Acha uchawi ww" mtt mdogo mwanga ukizeeka je?? Umeona zimechuja wapi? Na kigezo gani ulichonacho useme zimechuja wakat itx current hit in Africa.
 
Hahahaha endelea kuwawakilisha wanaoumia na mikwaju ya Diamond (The king of pop)

Najua unaelewa wimbo wa nakupenda sio wa diamond ni wa iyanya, na iyanya ndio amerelease sasa kutokana na president alivyofanya pouwa naona hadi unaweweseka unaona kama nyimbo yake vile... Ameweka rekodi kwa mara ya kwanza Mnigeria, tena mwanamuziki mkubwa anaupa wimbo wake jina la lugha ya Kiswahili "Nakupenda"

Ukija kwenye nana, ndio unapotea kabisaaaaaa, mapokezi yake ni mazuri mnooooooo....
Kwenye vituo vikubwa vyote unachezwa mnoo,
Ukija youtube umevunja rekodi kwa wanamuziki wote wa Afrika kwa kuangaliwa zaidi mpaka hivi sasa siku tano tu, viewers zaidi ya 600,000+

Get well soon!!!!! Shardcole
 
Last edited by a moderator:
Hiv mleta mada unalipwa kias gan kwa hiz threads za kumkandia diamond kila siku??
...kwan mond ana nin, mbona huongelei wasanii wengine au bongo hakuna mwanamzk mwngne zaid ya mond ??
...kwann it's diamond, diamond each en everyday???
...inaonesha unamfatilia sana, afu hujijui km ndo unazid kupigia promo mzik wake!
...kweli ukikosa akili kichwan ni janga kubwa sana!
 
zimechuja kwako na wenye kijichopembe wenzako....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom