surv james aloyce
Member
- Nov 2, 2014
- 55
- 8
wAnaongezeka maybe unachuki na jamaa tu
we nyimbo zina siku tatu, unasema watanzania wamezichoka, kwa utafiti upi?sample yako uliyotumia ni ipi? Labda kama sample ni wewe na jirani zako
wAnaongezeka maybe unachuki na jamaa tu
Mkuu lengo langu si kukatisha tamaa, kwani nataka tuujenge mziki wetu.
Muziki haujengwi kwa majungu ya kike kama yako muziki unajengwa na watu wenye juhudi kama Diamond na team yake. Tangu muanze majungu yenu ya kike Alikiba wenu amegain nini zaidi ya kumuongezea mikosi tu na gundu.
Mkuu kwa kuchuja ni lazima mwezi uishe? Hebu jiulize kama kuna mtu anajisumbua sahiv na hizo video
Mkuu najua baada ya tuzo za KTMA utatamani kuyatema haya maneno yako
hizo video ndo zinaimbaje hebu niwekeeni link nisikilize
Haisaidii aliyepewa kapewa.
MgonjwaUkimwi,
Hapa ndugu yangu umenizidi kete! Looh sijawahi sikia hii (signature):- Mwendawazimu ni binadamu mwenye Uhuru bila Nidhamu, na Mtumwa ni binadamu mwenye Nidhamu bila Uhuru. Nimesoma mara mbili mbili nakila mara hujikuta nacheka mwenyewe maanake kweli imetanda kwa kila sura ya shilingi hii... inauma tu pale utakapo jaribu kufanya mahesabu kupata hitimisho yaani Mtumwa ni sawa kabisa na mwendawazimu, japokuwa wametofautiana chanzo....Wee mkali!
khaa cjakuelewa kama una link nitumpie hapa mkuu
Nakwambia hivi aliyepewa kapewa. Link ili usikilize kitu usichokuwa na interest ya nini kama sio uchawi.
uuuwi povu litakukaba hilo du