Tujadili sababu za kuchuja kwa Video 2 za Diamond

Mkuu unatuzuga tu hapa alaf ukifika jome hulali bila kucheki Nana! Wanasema diamond ni kama azam kwa sasa usipomla utamnywa, usipomnywa utamuangalia!!!
 
Wakuu kwakwel mpaka sasa sielewi nini kimetokea kwa hiz siku 3 tu, Jirani yetu katoa Video 2 mfululizo kwa mbwembwe nyingi ikiwemo ile ya "Nana" alofanya na Mr.Flavour, pia na ile aliyofanya na Iyanya.

Swali, hivi ni kwanini watz wameamua kuzipuuza hizo video zote 2 ambazo zimetumia mamilion ya shilingi? Je tumlahum nani wakuu au ndio kusema siku ya kuanguka nyani miti yote huteleza?

Karibuni kwa mjadala.
Nana.jpg

As at June 05, 2015 at 06:30 AM

Video Uploaded almost 158 hours ago!
Number of Viewers 655, 228
Average views per hour = 4, 147
Average views per day (24 hours) = 99, 528
Number of Likes = 7070
Number of Dislikes = 924
Proportional of Dislike to Like = 0.13:1
= 13:100
Simple definition of Above proportionality: To every 100 Views, Only 13 Views Dislike the Video!

Your analysis please!
 
View attachment 257280

Hakuna alliyekataa mkuu but kwanini imewahi kuchuja mapema justly within siku 2 tu!
 
Good mkuu...inabidi watu wawe wanakuja na facts n evidence km ivi sio unakuja kutoa mada/hoja kibubusa tu.
Halafu huyu jamaa nahc atakuwa mhadzabe huyu uko kwao huwaga hawajui kinachoendleaga ulimwengu kwa mada hii c bure nna mashaka nae!
 
Wakuu kwakwel mpaka sasa sielewi nini kimetokea kwa hiz siku 3 tu, Jirani yetu katoa Video 2 mfululizo kwa mbwembwe nyingi ikiwemo ile ya "Nana" alofanya na Mr.Flavour, pia na ile aliyofanya na Iyanya.

Swali, hivi ni kwanini watz wameamua kuzipuuza hizo video zote 2 ambazo zimetumia mamilion ya shilingi? Je tumlahum nani wakuu au ndio kusema siku ya kuanguka nyani miti yote huteleza?

Karibuni kwa mjadala.

Kwan ile video n na diamond hata mziki ujui wimbo n wa inyanya ft diamond zimechuja eeh ngoja Leo nikakununulie dstv uwe ungalia MTV, trace, sound city, n afro pop tuwe tuna heasabu n mara ngapi Nana Inapigwa
 
Hakuna alliyekataa mkuu but kwanini imewahi kuchuja mapema justly within siku 2 tu!

Ivi uko kuchuja unakozungumzia ni kwa aina gani kwa sababu nnavojua karibia vituo vyote vya tv apa bongo video inachezwa c chini ya mara tano kwa cku na ictoshe ndo kwanza ngoma inatambulishwa kweny vituo vyengine nchi nyengine....ebu njoo utushawishi na takwimu basi..nijiuvyo mm ngoma imeanza kuhit ata kabla ya kumalizika kwa masaa 24 baada ya masaa machache tu kuwa released.
 
Hakuna alliyekataa mkuu but kwanini imewahi kuchuja mapema justly within siku 2 tu!
Ndugu yangu Shardcole, unafikiri nakubishia basi... kama umenisoma vizuri wala sijapinga hoja yako lakini nimkuomba just simple analysis itakayohitimisha hoja yako! Kwa mfano, hiyo screenshot ya juu nimeichukua saa 12 unusu, ilipofika saa 2 nikachukua nyingine; hii hapa:
Nana2.jpg

Ukilinganisha na ile ya awali, Views zimeongezeka from 655,228 to 656,523 ikiwa ni ongezeko la Viewers 1,295 within 90 minutes! Kuna hilo ongezeko wakati bado ni asubuhi sana kwa East Africa ambako Diamond ana mashabiki wengi! Wakati Viewers wameongezeka, Likes nazo zimeongezeka from 7070 to 7092 ikiwa ni ongezeko la 22 Likes wakati Dislikes zimepanda from 924 to 929, ikiwa ni ongezeko la 5 Dislikes! Yote hayo ikiwa bado ni mapema sana and probably, majority of viewers sio from East Africa! Now, the very same question; unatumia vigezo gani?

Tukija kwenye logic, ikiwa hakuna vigezo unavyotumia na wewe unahoji:
hivi ni kwanini watz wameamua kuzipuuza hizo video zote 2 ambazo zimetumia mamilion ya shilingi?
basi pia unatakiwa kumkubalia mtu atakayehoji:
hivi ni kwanini watz wameamua kuziunga mkono hizo video zote 2 kuliko video yoyote ile ambayo imepata kutengenezwa duniani
 
Halafu ndugu yangu Shardcole nikusaidie jambo moja... ngoma ya Nakupenda sio ya Diamond ni ya Iyanya... Diamond ameshirikishwa tu!
 
Last edited by a moderator:
jamaa atakuw shoga.kw taarifa yako huyo shoga mwenzako kiba amebugi tena chekecha kaenda kutolea jangwani badala ya kariakoo
 
View attachment 257280

As at June 05, 2015 at 06:30 AM

Video Uploaded almost 158 hours ago!
Number of Viewers 655, 228
Average views per hour = 4, 147
Average views per day (24 hours) = 99, 528
Number of Likes = 7070
Number of Dislikes = 924
Proportional of Dislike to Like = 0.13:1
= 13:100
Simple definition of Above proportionality: To every 100 Views, Only 13 Views Dislike the Video!

Your analysis please!

cc Shardcole

Wewe jamaa ni kamanda wa chadema

Lakini huu wivu wa kike unakufanya sifa ya ukamanda ikutoke

Kuwa makini mkuu...makamanda hawako hivi...unatuaibisha
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu Shardcole, unafikiri nakubishia basi... kama umenisoma vizuri wala sijapinga hoja yako lakini nimkuomba just simple analysis itakayohitimisha hoja yako! Kwa mfano, hiyo screenshot ya juu nimeichukua saa 12 unusu, ilipofika saa 2 nikachukua nyingine; hii hapa:
View attachment 257289

Ukilinganisha na ile ya awali, Views zimeongezeka from 655,228 to 656,523 ikiwa ni ongezeko la Viewers 1,295 within 90 minutes! Kuna hilo ongezeko wakati bado ni asubuhi sana kwa East Africa ambako Diamond ana mashabiki wengi! Wakati Viewers wameongezeka, Likes nazo zimeongezeka from 7070 to 7092 ikiwa ni ongezeko la 22 Likes wakati Dislikes zimepanda from 924 to 929, ikiwa ni ongezeko la 5 Dislikes! Yote hayo ikiwa bado ni mapema sana and probably, majority of viewers sio from East Africa! Now, the very same question; unatumia vigezo gani?

Tukija kwenye logic, ikiwa hakuna vigezo unavyotumia na wewe unahoji: basi pia unatakiwa kumkubalia mtu atakayehoji:

chige huwa unarusha mawe mazito sana kwa mashabiki wa kiba ambao wote ni mashabiki mabumunda

Wenye wivu na maendeleo ya kijana Dimond....Dimond ni mfano wa kuigwa na vijana wote wa kitanzania

He is the true example of "HARD WORK PAYS"
 
Last edited by a moderator:
Mkuu chige umeharibu uzi wa watu, wenyewe walifungua uzi huu kujifajiri dah wanatia huruma!
 
Last edited by a moderator:
chige huwa unarusha mawe mazito sana kwa mashabiki wa kiba ambao wote ni mashabiki mabumunda

Wenye wivu na maendeleo ya kijana Dimond....Dimond ni mfano wa kuigwa na vijana wote wa kitanzania

He is the true example of "HARD WORK PAYS"
Tena umeongea jambo moja la msingi sana kwamba ni mfano wa kuigwa na vijana wote wa Tanzania... upo sahihi kwa 100% yaani sio kwa wasanii wenzake tu bali hata wale wa kwenye kada zingine! Unakuta mtu ana shahada yake basi anajiona yeye ndo kila kitu na kumdharau mtu kama Diamond kwamba hajasoma wakati mwenyewe anaishia kupata laki 6 kwa mwezi... anasahau kwamba, pamoja na elimu yake hiyo na eneo analofanyia bado angeweza kutoka kimaisha endapo angekuwa na same spirit aliyonayo mtu kama Diamond! Ukiwa serious kwa ufanyacho hata kama ni kuuza mchicha, lazima utapiga hatua tu!
 
Wakuu kwakwel mpaka sasa sielewi nini kimetokea kwa hiz siku 3 tu, Jirani yetu katoa Video 2 mfululizo kwa mbwembwe nyingi ikiwemo ile ya "Nana" alofanya na Mr.Flavour, pia na ile aliyofanya na Iyanya.

Swali, hivi ni kwanini watz wameamua kuzipuuza hizo video zote 2 ambazo zimetumia mamilion ya shilingi? Je tumlahum nani wakuu au ndio kusema siku ya kuanguka nyani miti yote huteleza?

Karibuni kwa mjadala.

"if u wish me BAD i wish u GOOD,if u wish me GOOD i wish u GOOD"

that is how team wapenda maendeleo do!

kazi ni kwako.....!!
 
Na mimi ndo napapenda sana hapo na sauti yake. Sasa huko kwa Dai sijui shida nini? Video inafanana na ya nyuma.

Hakuna jipya katika video nilishasema tokea mwanzo.....
Mr. Flavour ndio kaupendezesha wimbo.
Over
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom