Kwa muundo wa CCM na serikali yake ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura.
Je, tuendelee ku-push kuandikwa kwa katiba mpya kwa njia za amani hadi tuipate?
Je, tu-push Maridhiano ya kitaifa?
Je, tuendeleze maandamano ya MO29 yalipoishia au tuyaboreshe. How.
Je, tu-push foreign intervention?
Je, tuviache vyama vya upinzani vilivyopo viendelee kupambana na CCM au tuvishauri viungane.
Je, tuendelee kusubiri ICC ije na resolution yake.
Je, na sisi wananchi tutafute PR itakayokwenda UN, US, EU kufanya lobbying ili ku-push malalamiko yetu.
Au tutumie teknolojia ya kiafrika,
Mshana Jr.
Yote tutakayojadli yalenge kuiondoa CCM madarakani iwe kwa heri au kwa shari, Sababu kuu ni taifa kukosa mwelekeo wa KIJAMII na KIUCHUMI kwa miaka zaidi ya 60 chini ya utawala wa CCM.
Kama tukishauri tutegemee sanduku la kura tuwe tayari kuiona CCM ikiongoza kwa miaka 100 ijayo.
So, nini kifanyike ili lengo litimie.
Tujadili seriously, ignore wote watakaoleta utani.