Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,303
- 4,564
Mpango mkakati wa CHADEMA nadhani umejikita katika kipindi kifupi na ndiyo mkakati ambao umetumiwa na vyama mfu vya upinzani kuindoa CCM Madarakani. Nilishangaa sana CHADEMA kumpokea LOWASA na LAZARO NYALANDU wote hawa hawakua chaguo sahihi kwa chama kikubwa cha upinzani.
Mipango mkakati ya kuiondoa CCM inahitaji akili ndogo tu, nazani hamtashangaa kwanini tembo anadondoshwa na sisimizi kuidondosha CCM kunahitaji mabadiliko makubwa ya kimfumo na mabadiliko haya kwa bahati mbaya sana,nawaona CCM Ndiyo wanayatekeleza baada ya upinzani.
FIKRA ZA CHADEMA ZINATAKIWA KUWAZA MIAKA 100 MBELE
Kuna baadhi watashangaa why? Ninavyoiona CHADEMA imewekeza katika fikra za uvunaji pesa ambao kimsingi huwa na mipango mkakati ya muda mfupi mfano kuvuna wanachama kutoka CCM na wamejisahau kuanzisha basline ya chini kwa vijana,kutoa elimu na scholership za kusoma, kuwashinikiza serikali kutoa hudama za jamii hususani elimu, elimu, elimu. Ikiwa CHADEMA itajitahidi kuacha tamaa za uongozi na utajiri wanaweza kushika madaraka ya nchi hiii. Kwa shinikizo la kuongeza chachu ya elimu kwa vijana.
Kimsingi, CCM haiwezi kubadilisha katiba kwa matamshi ya mbowe au Lissu ila kuna pressure ya vijana watakaopata elimu ndiyo watakaoikomboa nchi hii kutoka kwa walafi wa madaraka.
ELIMU ELIMU ELIMU ELIMU ELIMU.