TUJADILI: Mbinu gani sahihi itumike kuiondoa CCM madarakani?

Kuna njia moja tu tena rahisi mno ya kuwaondoa hawa wadhalimu madarakani nayo ni kwa ICC kung'oka na Samia, Osman, Mombo, Abdul na Wambura.

Kisha wazuiliwe huko The Hague wakati wa "Trial Chamber Summons" huku maandamano ya kudai serikali ya mpito yakifanyika nchini kote.

Wakati wa maandamano ya kudai serikali ya mpito lazima kutakuwa na shinikizo kali la kimataifa kutoka kwa akina Trump na hakuna askari atakaye fyatua hata risasi moja na ndio utakuwa mwisho wa ccm, vikaragosi na machawa wao kuwa madarakani.
Unashauri tuendelee kusubiri hatima ya ICC, ila huwa ina mchakato mrefu lkn ya uhakika.
 
Kwa muundo wa CCM na serikali yake ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura.

Je, tuendelee ku-push kuandikwa kwa katiba mpya kwa njia za amani hadi tuipate?

Je, tu-push Maridhiano ya kitaifa?

Je, tuendeleze maandamano ya MO29 yalipoishia au tuyaboreshe. How.

Je, tu-push foreign intervention?

Je, tuviache vyama vya upinzani vilivyopo viendelee kupambana na CCM au tuvishauri viungane.

Je, tuendelee kusubiri ICC ije na resolution yake.

Je, na sisi wananchi tutafute PR itakayokwenda UN, US, EU kufanya lobbying ili ku-push malalamiko yetu.

Au tutumie teknolojia ya kiafrika, Mshana Jr.

Yote tutakayojadli yalenge kuiondoa CCM madarakani iwe kwa heri au kwa shari, Sababu kuu ni taifa kukosa mwelekeo wa KIJAMII na KIUCHUMI kwa miaka zaidi ya 60 chini ya utawala wa CCM.

Kama tukishauri tutegemee sanduku la kura tuwe tayari kuiona CCM ikiongoza kwa miaka 100 ijayo.

So, nini kifanyike ili lengo litimie.

Tujadili seriously, ignore wote watakaoleta utani.
Watanzania, CCM haiwezi kwa njia yoyote ile mbadala kutoka madarakani. Hata ukiwatendea wema kiasi gani. Ni kuwa kila njia imetumika kutafuta kuridhiana lakini wao hugeuka baada ya kuona kuwa wametimiza lengo lao. Ni kua CCM ni wahuni, wanakuonyesha njia ya kuridhiana ukikubali baadaye wao wenyewe wanaruka. Ni ujanja ujanja mtupu, na hii tabia lazima wamejifunza kwenye siasa za kikomunisti-hasa China na Russia.

Angalia jana kule Nkasi, Chadema wanapanda miti wao wakatuma Polisi kufanya fujo, na hapo wanaonyesha kuwa anayeweza kufanya kitu awe CCM, mwingine hawezi kujichukulia ujiko huo.
Kila njia upinzani utakachofanya hawawezi kukubaliana, na polisi wapo nyuma yao. Wanashikilia Media, Polisi na Jeshi, Bank Kuu ni kama yao kwa hiyo atakayebisha anaondolewa kwenye payroll. Wote hawa wanaotekeleza shughuli za CCM kunyanyasa watu, kuteka na kuua wapo kwenye payroll, huwezi kuwaondolea huu ugali. Mbadala ni kwa wapinzani kuja na njia kama hizo hizo, wawe na pesa, media, polisi na jeshi. Kwa hiyo hapo nchi haiwezi kutawalika.

Hamna solution moja kama wengi mnavyofikiri. Kumtoa Kaburu kulikuwa na vikundi vingi kule Africa Kusini kama ANC, PAC, AZANIA, na hata Angola na Mozambique. Kuna wale walioamini vita, na kuna wale walioamini mazungumzo, na wale walioamini uchawa kama Bhutelezi. Lengo linakua kumtoa CCM, lakini lazima kukubaliana consequences, je mkimtoa CCM amani itakuwapo kuunganisha itikadi tofauti, kwa mfano watu kama ISIS wakiwamo. Kwa wale wenye moyo na roho ngumu huu ndiyo mbadala. Wanasemaje, hata shujaa ni mwoga, lakini anakua mthubutu. Waliokufa kwenye maandamano walithubutu. CCM ni waoga sana lakini wanatisha na tunatishika, wanatuteka na kutuua.

CCM ni Cancer
 
This is the one and only way ila siasa ni Sayansi, hata tukipata katiba mpya nzuri, ili CCM iondoshwe ni lazima kwanza kipatikane chama mbadala wa kuipumzisha CCM, kitu ambacho Tanzania bado hatuna any serious and credible opposition to check out CCM.

This is true , kwa Katiba cii ambayo ni ya CCM, CCM sio tu ni chama tawala, ni chama Dola! na hili tumelisema sana humu!,

P
 
This is true na tumesema sana humu

P
Pascal
CCM ipo halafu kipatikane chama imara? Vyama imara vilikuwepo na vingekuwepo lakini CCM ndiyo wavurugaji wa kwanza. CCM wana kila nyenzo, na kubwa ni CONTROL ya kila kitu, Media na Pesa. Na wanajua kabisa bila ya pesa hakuna kitakachofanyika. Miradi yote ipo chini ya CCM, iwepo kwenye zile kampuni zao au iwepo serikalini, hata fedha za wafandhili, ndiyo maana wanafanya kila wakati Bunge liwe la CCM. Kila sehemu wameziba. Sasa hicho chama imara kitatoka wapi?

Eti unaongelea credible opposition kama vile kuna credible CCM, no, CCM are thugs, rules of the Jungle, Judiaciry ni CCM. Kwa ufupi Tanzania imekua pariah state, haina status. Zama za Mwalimu mambo vile vile kama haya kidogo yalikuwepo, lakini utamuelewa kwa kua tu ililazima aiunganishe nchi, na wakati ule international community ilikuwa bado kuwa organized, wananchi wengi walimuelewa lakini siyo sasa. Sasa hivi nchi imegawanyika, CCM inalazimishwa kupendwa, na ni only Top 01% percent ndiyo wameshika hatamu.

Maslahi yote ya baada ya kustaafu ni Rais (na familia yake), Makamu (na familia yke), Waziri Mkuu (na Familia yake), Spika (na familia yake); kundi lingine ni lile la Matajiri Uchwara (siamini kuna biashara ya ukweli unaweza kuwa tajiri Tanzania), labda na IGP na CDF. Hiyo ndiyo cream inayokula pesa ya Tanzania. the rest 99% wako hoi na wanatii amri, na baadhi ndiyo wanatumwa kuteka, kuiba kura, kuua etc etc

Huwezi ku-apply Scientific Laws kwenye mambo yasiyokuwa na mpangilio, ndiyo maana wenzio wanakuambia kwamba- Haki - inaleta Amani; na hapo science unaweza kuitumia. Now no Law of The Jungle. Who has money and a gun can survive.
 
Watanzania, CCM haiwezi kwa njia yoyote ile mbadala kutoka madarakani. Hata ukiwatendea wema kiasi gani. Ni kuwa kila njia imetumika kutafuta kuridhiana lakini wao hugeuka baada ya kuona kuwa wametimiza lengo lao. Ni kua CCM ni wahuni, wanakuonyesha njia ya kuridhiana ukikubali baadaye wao wenyewe wanaruka. Ni ujanja ujanja mtupu, na hii tabia lazima wamejifunza kwenye siasa za kikomunisti-hasa China na Russia.

Angalia jana kule Nkasi, Chadema wanapanda miti wao wakatuma Polisi kufanya fujo, na hapo wanaonyesha kuwa anayeweza kufanya kitu awe CCM, mwingine hawezi kujichukulia ujiko huo.
Kila njia upinzani utakachofanya hawawezi kukubaliana, na polisi wapo nyuma yao. Wanashikilia Media, Polisi na Jeshi, Bank Kuu ni kama yao kwa hiyo atakayebisha anaondolewa kwenye payroll. Wote hawa wanaotekeleza shughuli za CCM kunyanyasa watu, kuteka na kuua wapo kwenye payroll, huwezi kuwaondolea huu ugali. Mbadala ni kwa wapinzani kuja na njia kama hizo hizo, wawe na pesa, media, polisi na jeshi. Kwa hiyo hapo nchi haiwezi kutawalika.

Hamna solution moja kama wengi mnavyofikiri. Kumtoa Kaburu kulikuwa na vikundi vingi kule Africa Kusini kama ANC, PAC, AZANIA, na hata Angola na Mozambique. Kuna wale walioamini vita, na kuna wale walioamini mazungumzo, na wale walioamini uchawa kama Bhutelezi. Lengo linakua kumtoa CCM, lakini lazima kukubaliana consequences, je mkimtoa CCM amani itakuwapo kuunganisha itikadi tofauti, kwa mfano watu kama ISIS wakiwamo. Kwa wale wenye moyo na roho ngumu huu ndiyo mbadala. Wanasemaje, hata shujaa ni mwoga, lakini anakua mthubutu. Waliokufa kwenye maandamano walithubutu. CCM ni waoga sana lakini wanatisha na tunatishika, wanatuteka na kutuua.

CCM ni Cancer
Umegusia mengi, Maridhiano yameshindikana CCM ni wajanja, uthubutu kama wa MO29, consequences kama kuwemo ISIS, je wewe unashauri nini sasa kifanyike.
 
Je, tuviache vyama vya upinzani vilivyopo viendelee kupambana na CCM au tuvishauri viungane.
Kuungana vyama vya upinzani ni mzaha maana kwa sasa chama halisi cha upinzani ni kimoja tu, vingine ni vya ccm.

Njia mojawapo ya kutumia ni kwa wazalendo wa kweli kujifanya wana mbogamboga na kujipenyeza ndani ya ccm na majeshi yote na taasisi nyeti zote. Na hii ni rahisi kwa kuwa kwa sasa majority ya GenZ siyo ccm. Itakuwa rahisi zaidi kuangusha genge la wahuni kutokea katikati yao
 
Kwa muundo wa CCM na serikali yake ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura.

Je, tuendelee ku-push kuandikwa kwa katiba mpya kwa njia za amani hadi tuipate?

Je, tu-push Maridhiano ya kitaifa?

Je, tuendeleze maandamano ya MO29 yalipoishia au tuyaboreshe. How.

Je, tu-push foreign intervention?

Je, tuviache vyama vya upinzani vilivyopo viendelee kupambana na CCM au tuvishauri viungane.

Je, tuendelee kusubiri ICC ije na resolution yake.

Je, na sisi wananchi tutafute PR itakayokwenda UN, US, EU kufanya lobbying ili ku-push malalamiko yetu.

Au tutumie teknolojia ya kiafrika, Mshana Jr.

Yote tutakayojadli yalenge kuiondoa CCM madarakani iwe kwa heri au kwa shari, Sababu kuu ni taifa kukosa mwelekeo wa KIJAMII na KIUCHUMI kwa miaka zaidi ya 60 chini ya utawala wa CCM.

Kama tukishauri tutegemee sanduku la kura tuwe tayari kuiona CCM ikiongoza kwa miaka 100 ijayo.

So, nini kifanyike ili lengo litimie.

Tujadili seriously, ignore wote watakaoleta utani.
Kuwaombea njaa!
 
1.Vijana waliotayari wawezeshwe silaha na mafunzo Kwa ajili ya kujibu mapigo ya Polisi wa CCM

2.Tuendelee na mgomo baridi dhiki ya CCM na serikali

3.Tuendelee kuzua taharuki Kila mahara
 
NJIA NYEPESI YA KUIONDOA CCM NI KUFANYA MAANDAMANO YASIYO NA KIKOMO.MFANO YALE MAANDAMANO YA MO29 TUNGEFANYA WIKI TATU LAZIMA TUNGEMNG'OA HUYU MWANA MAMA.KWA SABABU NJIA YA AMANI HAWAIHESHIMU,NI BORA TUKAKIWASHA TENA ILI TUIKOMBOE NCHI YETU KUTOKA MAKUCHA WA WAKOLONI KUTOKA UNGUJA.HATA KIPINDI TUNADAI UHURU WA KUMWONDOA MKOLONI MWEUPE(MZUNGU SIYO SAMIA)TULITUMIA MAANADAMANO YASIYO NA KIKOMO BAADA YA NJIA YA AMANI KUSHINDIKANA NA HATIMAYE TUKAPATA UHURU KWA LAZIMA.
 
Sawa, unadhani ni nchi gani ya Afrika inaweza kutusaidia, au unalenga mataifa ya ulaya na Marekani.
Rwanda inaweza kutusaidia kabisa !!Kumbuka Kagame anamchukia sana Kikwete na anachukia sana JWTZ .

Kagame tukiongea naye vizuri na kuweka mazingira rafiki anakuja mara moja na M23
Unashauri tuendelee kusubiri hatima ya ICC, ila huwa ina mchakato mrefu lkn ya uhakika.
ICC uwezekano ni mdogo mpka sasa ,Serikali na Samia wamejiandaa kwa haya

1.Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta yupo the Hague Kwa sasa kutengeneza mazingira ya ushindi

2.Mashahidi wa serikali ni wale wote waliopewa kesi ya uhaini na kuachiwa.Serikali imewapewa haswa kuitetea serikali Kwa kuwazinzia baadhi ya watu
 
CCM haiwez kutoka madarakan bila maandamano ya umwagaj damu na machakufuko, kama maandamano yaliyotokea MO29, kama yatatokea maandamano na mkadili na familia za viongoz wa ccm pamoja na familia za hao polisi wanaowatumia kupita kwa kila familia mnayojua polisi katoka kwenda kuua waandamanaj mnaiteketeza hiyo familia, familia za ccm mnateketeza, nyumba mnachoma, na wakat wa maandamano polis yeyote anaemaliza risasi mnammalza!

Nchi itakua na vilio vingi sana, polis watalia sana na wananchi watalia pia, utatokea mpasuko mkubwa sana, hamna polis atakubal kutumika tena maana akitazama nyuma polis wenzie wengi tu wamepoteza maisha, familia nying za mapolisi zimeteketea, hamna mtu atapenda hayo mambo yaendelee, mwanasiasa kwa mwananch, lazma CCM iachie madaraka, bila hvyo CCM itatawala miaka 1,000 ijayo!
 
Kwa muundo wa CCM na serikali yake ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura.

Je, tuendelee ku-push kuandikwa kwa katiba mpya kwa njia za amani hadi tuipate?

Je, tu-push Maridhiano ya kitaifa?

Je, tuendeleze maandamano ya MO29 yalipoishia au tuyaboreshe. How.

Je, tu-push foreign intervention?

Je, tuviache vyama vya upinzani vilivyopo viendelee kupambana na CCM au tuvishauri viungane.

Je, tuendelee kusubiri ICC ije na resolution yake.

Je, na sisi wananchi tutafute PR itakayokwenda UN, US, EU kufanya lobbying ili ku-push malalamiko yetu.

Au tutumie teknolojia ya kiafrika, Mshana Jr.

Yote tutakayojadli yalenge kuiondoa CCM madarakani iwe kwa heri au kwa shari, Sababu kuu ni taifa kukosa mwelekeo wa KIJAMII na KIUCHUMI kwa miaka zaidi ya 60 chini ya utawala wa CCM.

Kama tukishauri tutegemee sanduku la kura tuwe tayari kuiona CCM ikiongoza kwa miaka 100 ijayo.

So, nini kifanyike ili lengo litimie.

Tujadili seriously, ignore wote watakaoleta utani.
Uiondoe CCM madarakani halafu uweke chama gani?
 
This is the one and only way ila siasa ni Sayansi, hata tukipata katiba mpya nzuri, ili CCM iondoshwe ni lazima kwanza kipatikane chama mbadala wa kuipumzisha CCM, kitu ambacho Tanzania bado hatuna any serious and credible opposition to check out CCM.

This is true , kwa Katiba cii ambayo ni ya CCM, CCM sio tu ni chama tawala, ni chama Dola! na hili tumelisema sana humu!,

P
Hakuna chama cha kuipokea CCM hatamu za uongozi kwa sasa
CCM inaunganisha nchi bara na visiwani, waislam na wakristo
Hivyo vyama vingine wachungaji, maaskofu na masheikh ni viongozi,chama kipo bara visiwani hakipo,kipo visiwani bara hakipo
Kiundwe chama kipya kitachokua na mchanyato kama wa CCM,kitachoaminiwa na watu wa imani zote na pande zote za muungano,siyo chama kiongozi wake ananadi hadharani alishauriwa na askofu
 
Kwa muundo wa CCM na serikali yake ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura.

Je, tuendelee ku-push kuandikwa kwa katiba mpya kwa njia za amani hadi tuipate?

Je, tu-push Maridhiano ya kitaifa?

Je, tuendeleze maandamano ya MO29 yalipoishia au tuyaboreshe. How.

Je, tu-push foreign intervention?

Je, tuviache vyama vya upinzani vilivyopo viendelee kupambana na CCM au tuvishauri viungane.

Je, tuendelee kusubiri ICC ije na resolution yake.

Je, na sisi wananchi tutafute PR itakayokwenda UN, US, EU kufanya lobbying ili ku-push malalamiko yetu.

Au tutumie teknolojia ya kiafrika, Mshana Jr.

Yote tutakayojadli yalenge kuiondoa CCM madarakani iwe kwa heri au kwa shari, Sababu kuu ni taifa kukosa mwelekeo wa KIJAMII na KIUCHUMI kwa miaka zaidi ya 60 chini ya utawala wa CCM.

Kama tukishauri tutegemee sanduku la kura tuwe tayari kuiona CCM ikiongoza kwa miaka 100 ijayo.

So, nini kifanyike ili lengo litimie.

Tujadili seriously, ignore wote watakaoleta utani.
Machafuko ndio njia pekee. Inatakiwa wakati wa mashindano ya AFCON tuandae tena maandamano makubwa iwapo mchakato wa katiba mpya utakuwa haujaanza.
 
Back
Top Bottom