Magomeni one
JF-Expert Member
- Jul 4, 2025
- 1,124
- 2,609
Bila mnyakuo kama wa Maduro kule venezuela kwakweli kuitoa CCM madarakani ni kuota ndoto za mchana, bora tuendelee kutandika bia na papuchi tufaidi maisha tungali hai.
Watu wenye IQ dizaini ya Moi Arap ndani ya CCM hakuna utasubiri sana na akitokea watambadilishaInaweza kuchukua muda mfupi pia, inawezekana tukapata Moi wetu ndani ya CCM atakayesema enough is enough kama inabidi chama kufa ili kuokoa nchi basi na iwe hivyo.
Tunaweza kupata Boris Yeltsin ndani ya CCM akakubali system ya de facto monoparty ianguke.
Nani alitegemea kuzukua Arab spring iliyowazoa Gaddafi, Hosni Mubarak na Zine al-Abidine Ben Ali?
CCM itaanguka yenyewe kwa sababu ya incompetence ya watawala wake, demographic shift(genZ na generation Alpha) na maendeleo ya Teknolojia ya habari hasa soci acha kuandika ujinga. CCM wataondoka kwa kuchoma moto nyumba zao🔥🔥🚶
Eti licha ya hatari ya ukame unaotishia kulikumba taifa bado vyombo vya serikali vinazuia wananchi kupanda miti! Aibu kubwa sana hii kwa kilichotokea kule Rukwa baada ya polisi kuwazuia Chadema kupanda miti kwa lengo la kumhifadhi mazingira.Kwa muundo wa CCM na serikali yake ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura.
Je, tuendelee ku-push kuandikwa kwa katiba mpya kwa njia za amani hadi tuipate.
Je, tu-push Maridhiano ya kitaifa?
Je, tuendeleze maandamano ya MO29 yalipoishia au tuyaboreshe. How.
Je, tu-push foreign intervention?
Je, tuviache vyama vya upinzani vilivyopo viendelee kupambana na CCM au tuvishauri viungane.
Je, tuendelee kusubiri ICC ije na resolution yake.
Je, na sisi wananchi tutafute PR itakayokwenda UN, US, EU kufanya lobbying ili ku-push malalamiko yetu.
Yote tutakayojadli yalenge kuiondoa CCM madarakani iwe kwa heri au kwa shari, Sababu kuu ni taifa kukosa mwelekeo wa KIJAMII na KIUCHUMI kwa miaka zaidi ya 60 chini ya utawala wa CCM.
Kama tukishauri tutegemee sanduku la kura tuwe tayari kuiona CCM ikiongoza kwa miaka 100 ijayo.
So, nini kifanyike ili lengo litimie.
Tujadili seriously, ignore wote watakaoleta utani.
Gadafi aliondolewa na Obama, US ikishirikiana na NATO baada ya wa Libya kulalamika kwa muda mrefu.Tuiondoe kama ghadafi na mubaraka walivong'olewa na NA TO, hapo ndo unyama, mataifa ya nje yatusaidie
Sawa, unadhani ni nchi gani ya Afrika inaweza kutusaidia, au unalenga mataifa ya ulaya na Marekani.Tuombe USAIDIZI wa Nchi zingine ata Tanzania Ilisaidia Ukombozi wa Nchi fulan fulani Afrika..Ko USAIDIZI WA NJE ni Muhimu sana kwa apa tulipo..Kuna mataifa inabidi yatusaidie Kumuondosha mkoloni CCM na kuifanya Tanznaia Iwe Huru kutoka utawla wa KITUMWA utawala wa Kidikteta wa Chama kimoja tokea UHURU.. Chama ambacho kinajali maslai ya MATAJIRI wanaokifadhili na sio SHIDA za RAIA wake, Utawala ambao unaendeshwa na Propaganda za Kulipa MAINFLUENCERS...
Bila nguvu ya gnz ccm bado tu watabaki siku 100 zinaisha izo😂Kwa muundo wa CCM na serikali yake ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura.
Je, tuendelee ku-push kuandikwa kwa katiba mpya kwa njia za amani hadi tuipate?
Je, tu-push Maridhiano ya kitaifa?
Je, tuendeleze maandamano ya MO29 yalipoishia au tuyaboreshe. How.
Je, tu-push foreign intervention?
Je, tuviache vyama vya upinzani vilivyopo viendelee kupambana na CCM au tuvishauri viungane.
Je, tuendelee kusubiri ICC ije na resolution yake.
Je, na sisi wananchi tutafute PR itakayokwenda UN, US, EU kufanya lobbying ili ku-push malalamiko yetu.
Yote tutakayojadli yalenge kuiondoa CCM madarakani iwe kwa heri au kwa shari, Sababu kuu ni taifa kukosa mwelekeo wa KIJAMII na KIUCHUMI kwa miaka zaidi ya 60 chini ya utawala wa CCM.
Kama tukishauri tutegemee sanduku la kura tuwe tayari kuiona CCM ikiongoza kwa miaka 100 ijayo.
So, nini kifanyike ili lengo litimie.
Tujadili seriously, ignore wote watakaoleta utani.
CCM hutumia polisi kukandamiza upinzani na pia kuiba kura nyakati za uchaguzi hivyo dawa ni kudeal na hawa polisi wao, kuwaua kwa njia mbali mbali hata ikibidi kwa uchawi hadi wakatae kutumika na CCM. Bila mitutu ya bunduki za polisi CCM ni wepesi kama unyoya.Kwa muundo wa CCM na serikali yake ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura.
Je, tuendelee ku-push kuandikwa kwa katiba mpya kwa njia za amani hadi tuipate?
Je, tu-push Maridhiano ya kitaifa?
Je, tuendeleze maandamano ya MO29 yalipoishia au tuyaboreshe. How.
Je, tu-push foreign intervention?
Je, tuviache vyama vya upinzani vilivyopo viendelee kupambana na CCM au tuvishauri viungane.
Je, tuendelee kusubiri ICC ije na resolution yake.
Je, na sisi wananchi tutafute PR itakayokwenda UN, US, EU kufanya lobbying ili ku-push malalamiko yetu.
Yote tutakayojadli yalenge kuiondoa CCM madarakani iwe kwa heri au kwa shari, Sababu kuu ni taifa kukosa mwelekeo wa KIJAMII na KIUCHUMI kwa miaka zaidi ya 60 chini ya utawala wa CCM.
Kama tukishauri tutegemee sanduku la kura tuwe tayari kuiona CCM ikiongoza kwa miaka 100 ijayo.
So, nini kifanyike ili lengo litimie.
Tujadili seriously, ignore wote watakaoleta utani.
Watu wanapendekeza tunaweza kutumia hata ile teknolojia yetu.Ila com haipo tena madarakani ujue limebaki kina tuu
Hii...Bila nguvu ya gnz ccm bado tu watabaki siku 100 zinaisha izo😂