TUJADILI: Mbinu gani sahihi itumike kuiondoa CCM madarakani?

TUJADILI: Mbinu gani sahihi itumike kuiondoa CCM madarakani?

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
24,144
Reaction score
56,411
Kwa muundo wa CCM na serikali yake ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura.

Je, tuendelee ku-push kuandikwa kwa katiba mpya kwa njia za amani hadi tuipate?

Je, tu-push Maridhiano ya kitaifa?

Je, tuendeleze maandamano ya MO29 yalipoishia au tuyaboreshe. How.

Je, tu-push foreign intervention?

Je, tuviache vyama vya upinzani vilivyopo viendelee kupambana na CCM au tuvishauri viungane.

Je, tuendelee kusubiri ICC ije na resolution yake.

Je, na sisi wananchi tutafute PR itakayokwenda UN, US, EU kufanya lobbying ili ku-push malalamiko yetu.

Au tutumie teknolojia ya kiafrika, Mshana Jr.

Yote tutakayojadli yalenge kuiondoa CCM madarakani iwe kwa heri au kwa shari, Sababu kuu ni taifa kukosa mwelekeo wa KIJAMII na KIUCHUMI kwa miaka zaidi ya 60 chini ya utawala wa CCM.

Kama tukishauri tutegemee sanduku la kura tuwe tayari kuiona CCM ikiongoza kwa miaka 100 ijayo.

So, nini kifanyike ili lengo litimie.

Tujadili seriously, ignore wote watakaoleta utani.
 
TUJADILI: Mbinu gani sahihi itumike kuiondoa CCM madarakani.

Kwa muundo wa CCM ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura.

Je, tuendelee ku-push kuandikwa kwa katiba mpya kwa njia za amani hadi tuipate.

Je, tu-push Maridhiano ya kitaifa?

Je, tuendeleze maandamano ya MO29 yalipoishia au tuyaboreshe. How.

Je, tu-push foreign intervention?

Je, tuviache vyama vya upinzani vilivyopo viendelea kupambana na CCM au tuvishauri viungane.

Tuiondoe kama ghadafi na mubaraka walivong'olewa na NA TO, hapo ndo unyama, mataifa ya nje yatusaidie
 
Tuombe USAIDIZI wa Nchi zingine ata Tanzania Ilisaidia Ukombozi wa Nchi fulan fulani Afrika..Ko USAIDIZI WA NJE ni Muhimu sana kwa apa tulipo..Kuna mataifa inabidi yatusaidie Kumuondosha mkoloni CCM na kuifanya Tanznaia Iwe Huru kutoka utawla wa KITUMWA utawala wa Kidikteta wa Chama kimoja tokea UHURU.. Chama ambacho kinajali maslai ya MATAJIRI wanaokifadhili na sio SHIDA za RAIA wake, Utawala ambao unaendeshwa na Propaganda za Kulipa MAINFLUENCERS...
 
TUJADILI: Mbinu gani sahihi itumike kuiondoa CCM madarakani.

Kwa muundo wa CCM ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura.

Je, tuendelee ku-push kuandikwa kwa katiba mpya kwa njia za amani hadi tuipate.

Je, tu-push Maridhiano ya kitaifa?

Je, tuendeleze maandamano ya MO29 yalipoishia au tuyaboreshe. How.

Je, tu-push foreign intervention?

Je, tuviache vyama vya upinzani vilivyopo viendelea kupambana na CCM au tuvishauri viungane.

Je, tuendelee kusubiri ICC ije na resolution yake.

Je, na sisi wananchi tutafute PR itakayokwenda UN, US, EU kufanya lobbying ili ku-push malalamiko yetu.

Yote tutakayojadli yalenge kuiondoa CCM madarakani iwe kwa heri au kwa shari, Sababu kuu ni taifa kukosa mwelekeo wa KIJAMII na KIUCHUMI kwa miaka zaidi ya 60 chini ya utawala wa CCM.

Kama tukishauri tutegemee sanduku la kura tuwe tayari kuiona CCM ikiongoza kwa miaka 100 ijayo.

So, nini kifanyike ili lengo litimie.

Tujadili seriously, ignore wote watakaoleta utani.
Ila ccm haipo tena madarakani ujue limebaki kina tuu
 
Sawa ila itachukua muda mrefu.
Inaweza kuchukua muda mfupi pia, inawezekana tukapata Moi wetu ndani ya CCM atakayesema enough is enough kama inabidi chama kufa ili kuokoa nchi basi na iwe hivyo.
Tunaweza kupata Boris Yeltsin ndani ya CCM akakubali system ya de facto monoparty ianguke.
Nani alitegemea kuzukua Arab spring iliyowazoa Gaddafi, Hosni Mubarak na Zine al-Abidine Ben Ali?
 
Ni beberu tu mwenye kuwaza kuitoa CCM Madarakani.Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM na si vinginevyo . .. huwezi ukashiriki meza moja na mabeberu halafu utegemee kuitoa CCM madarakani.
 
ingekua mm nipo upinzani ningefanya ivi, kwanza ningetafuta ushawishi wa watu wote wakubwa nchini, wafanya biashara, wasanii, influencers na media ukishapata support yao basi wao kazi yako wanaifanya kwa wepesi ilatafauti yenu sasa 🤣 🤣 🤣 tugomee wasanii, tu unfollow media na machawa! sasa kaeni ivo ivo

kidogo mbowe alikua ana hio nguvu alikua anaweza kwenda kwa tajiri yoyote akampa muscle ya uchumi ila kwa kua mmechagua muigai basi bye bye kwenu
 
Ni kupambana nayo kiuchumi tukiamua tutaweza tunaweza kususia mambo yote yanayowapa nguvu kiuchumi, kususia habari zao na hata kuwasusia wao wenyewe kama waliua ndugu zetu ili watawale kwa nguvu sio watu wa kushirikiana nao.
tunaweza kuhamasishana tukasusia kutumia vinywaji mwezi mzima wakose mapato ya kodi wanayowapa posho polisi na wanajeshi.
mtu akikosa vinywaji hawezi kufa.
 
Effective way ni MAANDAMANO.

Kuwe na maandamano yasiyo na kikomo, ila awamu hii yaboreshwe kwa namna hii.

Popote ilipo familia ya askari polisi, mwana ccm na wanufaika wote wa serikali basi teketeza familia zao.

Sasa hii itakuja na impact mbili.
1. Vyombo vya ulinzi na usalama kuungana na raia kudai mabadiliko.

2. Vyombo hivyo kukosa utii kwa serikali kwa kuhofia kupotezwa kwa maisha yao na maisha ya familia zao.

Hii italeta mpasuko mkubwa ndani ya serikali, pasipo polisi/jeshi hawawezi kuhodhi dora.
 
Effective way ni MAANDAMANO.

Kuwe na maandamano yasiyo na kikomo, ila awamu hii yaboreshwe kwa namna hii.

Popote ilipo familia ya askari polisi, mwana ccm na wanufaika wote wa serikali basi na familia zao.

Sasa hii itakuja na impact mbili.
1. Vyombo vya ulinzi na usalama kuungana na raia kudai mabadiliko.

2. Vyombo hivyo kukosa utii kwa serikali kwa kuhofia kupotezwa kwa maisha yao na maisha ya familia zao.

Hii italeta mpasuko mkubwa ndani ya serikali, pasipo polisi/jeshi hawawezi kuhodhi dora.
ccm ina mizizi mizito sana huezi kuitoa bila support ya wanaoshikilia mizizi, ccm itakufa pale watakapogombana wenyewe
 
Ni kupambana nayo kiuchumi tukiamua tutaweza tunaweza kususia mambo yote yanayowapa nguvu kiuchumi, kususia habari zao na hata kuwasusia wao wenyewe kama waliua ndugu zetu ili watawale kwa nguvu sio watu wa kushirikiana nao.
tunaweza kuhamasishana tukasusia kutumia vinywaji mwezi mzima wakose mapato ya kodi wanayowapa posho polisi na wanajeshi.
mtu akikosa vinywaji hawezi kufa.
anza kususa
 
Kile chama kuondoka madarakani labda wajambiane wenyewe kwa wenyewe ushuzi unuke, tena warushiane mashonde wachafuane vya kutosha ndio watasambaratika na chama kingine kushika hatamu. Kuna vyama vya uhuru kama KANU na UNIP wala havijulikani kama bado vipo katika siasa za nchi zao. Hii CCM ina mizizi mikubwa na mirefu kuiangusha ni shughuli pevu
 
Solution ni muda tu. Probable estimation ni miaka 15. Globalisation inasambaa kwa kasi sana, mfano hapo juzi my fellow GenZ wa Kenya walijaa uwanjani kumpokea IShowSpeed. I doubt you or the majority of GenX in here would know who that is. But again, a mind can't solve a problem it created.

Currently, vijana wote wa Kiafrika tunaamka na kuona jinsi wenzetu kutoka duniani kote wanaishi, wengi wanajiuliza zamu yetu itafika lini. Zamu yetu ndio hii hapa.

GenZ wa Tanzania ndio watakuwa watawala wakuu ndani ya hiyo miaka 15. Only then will we share a single language, hence vision.
 
Back
Top Bottom