Nimepata cha kusema dada
Kaunga,nilichokiona ni kwamba wapo ambao wamejaaliwa na wana quality zote mbili na wapo ambao wana quality moja tu,mf kuna watu ambao ni maatracters eiza kutokana na muonekano wao au sifa wanazozidisplay na hivyo kujikuta wakiwaatract watu wengi iwezekanavyo,ila mara nyingi mi naona watu wa kwenye hii category huwa sio makeeper wazuri as wanakuwa kama almasi kwani kila aendapo anakubalika.
Kundi jengine ni la makeeper ambao wao sio maatracter sana lakini akipata chance ya kuaatract mtu basi huyo mtu ajue kuwa hata siku akiambiwa it's over na huyo mtu basi ataomba msamaha mara miamia.kutokana na mambo yanayomfanya huyo mtu awe keeper,ambapo ni pamoja na good caring,sweet words na kumfanya mtu ajisikie vizuri awapo naye.
Kundi jengine ni la watu ambao ni
magood attracter ila sio makeepers na sio kwa kupenda ila ni kwamba wanalack qualities za kumfanya amkeep aliyemattract.Watu wa aina hii mara nyingi hujitahidi sna kuwa mnyenyekevu ili kumkeep mtu waliyenaye ila ndo hivyo mara nyingi mwisho wa siko huishia kumloose mtu waliyematract.
Kundi jingine ni la watu ambao ni both maatracters na makeepers,hawa mara nyingi wanweza kuattract wengi ila anapoamua kuwa na mtu mmoja anajua namna ya kumkeep hivi kwamba wale wengine anaoendelea kuwaatract wanabaki na maumivu yao moyoni na wivu kwa yule aliyenaye kwani hawa huwa mkeeper haswa,na kwa yule aliynye huwa makini sana aimpoteze.
Ni hayo tu kwa upande wangu.