Tujadili: About the love life

Tujadili: About the love life

respect,confidence,patient,much love,accountability etc etc and prayers bcoz only God knows when and where i will get what i need

Waoh thanks, vipi kuhusu ya chumbani? Hayana mchango ktk kumkeep?
 
Ndio hasa ninyi nawataka ili mtoe darasa. How did you manage to keep ur man hadi akaapa mpaka kifo kiwatenganishe?

Unajua nini; kuna watu kupata mpenzi sio shida lkn hadumu sana nao.
Na kuna wengine ambao hajawahi kuachwa maishani, yeye ndio mara zote heart breaker.

Hivi swali lako lina tofauti na kuuliza....how did you manage to become a great mom or dad??

Nadhani kuna mengi sana juu ya hiyo accomplishment,

Ngonja wataalamu watusaidie..... snowhite, @FP, gfsonwin..(mgonjwa lakini huyu)!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Mhhhh! Leo nimekamatika, naona Kaunga umegushwa na roho mtakatifu maana kama ulikua unaniona vile.
Ngoja nikae niangalie sababu zitakazo orodheshwa halafu nifananishe na zangu.
Akitokea mtu aliyepata baasi ataona tu nimempiga "LIKE".
 
Ni kweli kabisa mkubwa mwenzangu,

Nadhani ni muhimu kuwa both, ila pia kutoa ujumbe usie na utata kwamba you not available for hire....

Unakuwa na sifa zote kwa mteule tu...Kwangu mimi huyo ni Bibi tu....lol!!

Babu DC!!

noted babu, lol!
ila kumbuka kuna wasioelewa maana ya not available......
na hawa ni wengi zaidi ya wanaoelewa
 
inawezekana mtu akawa hivyo but akapata mwenza mwenye sifa ya kuwa attractive but not keeper au keeper but not attractive... itakuaje?

Hapo ndipo wazoefu na walioenda all the way watatusaidia. Kwa maoni yangu, uwezekano mkubwa keeper akamdump attractor. Kwa keeper haachwi bali yeye ndio muaachaji pale asiporidhishwa.
 
lakini kumbuka kuwa Keeper havutii.... so inawezekana ata struggle kumkeep anayevutia.... na pia wakati huo yule anayevutia bado ataendelea kuwa na wengine kutokana na alivyo.... ikoje hapo?
 
Nimepata cha kusema dada Kaunga,nilichokiona ni kwamba wapo ambao wamejaaliwa na wana quality zote mbili na wapo ambao wana quality moja tu,mf kuna watu ambao ni maatracters eiza kutokana na muonekano wao au sifa wanazozidisplay na hivyo kujikuta wakiwaatract watu wengi iwezekanavyo,ila mara nyingi mi naona watu wa kwenye hii category huwa sio makeeper wazuri as wanakuwa kama almasi kwani kila aendapo anakubalika.

Kundi jengine ni la makeeper ambao wao sio maatracter sana lakini akipata chance ya kuaatract mtu basi huyo mtu ajue kuwa hata siku akiambiwa it's over na huyo mtu basi ataomba msamaha mara miamia.kutokana na mambo yanayomfanya huyo mtu awe keeper,ambapo ni pamoja na good caring,sweet words na kumfanya mtu ajisikie vizuri awapo naye.

Kundi jengine ni la watu ambao ni magood attracter ila sio makeepers na sio kwa kupenda ila ni kwamba wanalack qualities za kumfanya amkeep aliyemattract.Watu wa aina hii mara nyingi hujitahidi sna kuwa mnyenyekevu ili kumkeep mtu waliyenaye ila ndo hivyo mara nyingi mwisho wa siko huishia kumloose mtu waliyematract.

Kundi jingine ni la watu ambao ni both maatracters na makeepers,hawa mara nyingi wanweza kuattract wengi ila anapoamua kuwa na mtu mmoja anajua namna ya kumkeep hivi kwamba wale wengine anaoendelea kuwaatract wanabaki na maumivu yao moyoni na wivu kwa yule aliyenaye kwani hawa huwa mkeeper haswa,na kwa yule aliynye huwa makini sana aimpoteze.

Ni hayo tu kwa upande wangu.
 
Last edited by a moderator:
Kwa wale KEEPERS how can you be ATTRACTOR too? Jamani wazoefu hapa twawahitaji. Is it beauty enhancement inayohusika? Au the way one talks, will a smile do its magic? FP na snowhite mtusaidie.

Na kwa wale ambao ukimuona tu mapigo yanachange ATTRACTOR, how do you keep your man/woman? Asnam amesemea respect, care na love; ni maneno makubwa, was thinking of small doable and understandable tasks.
 
Last edited by a moderator:
noted babu, lol!
ila kumbuka kuna wasioelewa maana ya not available......
na hawa ni wengi zaidi ya wanaoelewa

Hiyo haina tatizo mkubwa mwenzangu @FP,

Watoto watukutu lazima wawepo duniani na hatuwezi kufanya genocide halafu tukawa salama,

Jambo la msingi ni kuwa na mbinu za kukabiliana nao...na kuwasaidia wajukuuu wanaopata shida.

Ndiyo maana tukawa na msomo kuwa nyani mzee lazima kalamba mishale kibao ila amesurvive...lol!!

Babu DC!!
 
Ndio hasa ninyi nawataka ili mtoe darasa. How did you manage to keep ur man hadi akaapa mpaka kifo kiwatenganishe?

Unajua nini; kuna watu kupata mpenzi sio shida lkn hadumu sana nao.
Na kuna wengine ambao hajawahi kuachwa maishani, yeye ndio mara zote heart breaker.
i see mimi ni mhalisi Kaunga yani hvi unaniona humu na kwingine ndio hivo nilivo!
so huyu bwashee wangu kusema ukweli sidhani kama ana lingine la kuzimika hapa zaidi ya mimi kuwa real me!
kaunga mi ukiniudhi nasema,ukinifurahisha nakwambia,nikitaka kulia nalia,nikiwa na mastress wala hupati kazi ya kutafuta tochi kujua nikostressed,hii inanisaidia na kuniharibia wakati mwingine!i think nipo too transper kuna muda ni kama sitaki kusomeka vile but thts me!

so kuwa hivi kunafanya vitu vingi nafanya for real!nikitaka leo kupaint the room red i see inakuwa scarlet!
nikitaka kumwaga ----- mahalihakukaliki!thts me!

lakini pia mi nayapenda mapenzi Kaunga so kwa mwny akili zake unless unatafuta kuibiwa bas jamaa anajikuta tu anakuwa teja langu!sijui kitu inaitwa kujizuia hisia zangu! pale hasa nimekamatwa,nani hataki a slut in his matrimonial bed so haina mbaya mamii!

kingine mi napenda kupika na kula(tht explains a lot sio enh)bibi yangu aliwahi kunambia njia ya kwenda moyoni kwa mwanaume inaanzia tumboni ,so huwa simwangushi bibuyangu pande hizo!

lol!yanatosha kwa leo
ila pia napena saaaaan kucheka!mi mpka uniudhi ufanye kazi ujue!yani kazi kweli! na ikitokea umefika hapo nakwambia linakurudia!af mi nsashasau siku nyiiiiiiiingi ,YAMEISHA HIVOOO utabaki unahangaika wewe!

so if this is the woman he married then am sure ,HARUKI KAMBA HAPA i see
HESHIMA KWAKO MHESHIMIWA mume wake snowhite!
SHIKAMOO MUME WANGU!:A S-heart-2:
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
 
lakini kumbuka kuwa Keeper havutii.... so inawezekana ata struggle kumkeep anayevutia.... na pia wakati huo yule anayevutia bado ataendelea kuwa na wengine kutokana na alivyo.... ikoje hapo?

Keeper huenda asivutie kwa nje; but when you get to know her/him ana quality ambazo ni ngumu kumuacha na ndio maana nimembatiza hilo jina. Kwa kifupi ni wale ambao you can't do without. Pia kuwa keeper sio lazima usiwe Attractor pia c.f FP na snowhite.

Labda nifafanue hivi Atractor ana outward beauty na keeper ana inner beauty.
 
Last edited by a moderator:
Kwa wale KEEPERS how can you be ATTRACTOR too? Jamani wazoefu hapa twawahitaji. Is it beauty enhancement inayohusika? Au the way one talks, will a smile do its magic? FP na snowhite mtusaidie.

Na kwa wale ambao ukimuona tu mapigo yanachange ATTRACTOR, how do you keep your man/woman? Asnam amesemea respect, care na love; ni maneno makubwa, was thinking of small doable and understandable tasks.

Kaunga,

Kuna majibu unatafuta ila naamini yanaweza kuwawaua wajukuu zangu...

Keeping a man ni kazi zaidi attempt ya kuvuka bahari kwa kuongelea...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa wale KEEPERS how can you be ATTRACTOR too? Jamani wazoefu hapa twawahitaji. Is it beauty enhancement inayohusika? Au the way one talks, will a smile do its magic? FP na snowhite mtusaidie.

Na kwa wale ambao ukimuona tu mapigo yanachange ATTRACTOR, how do you keep your man/woman? Asnam amesemea respect, care na love; ni maneno makubwa, was thinking of small doable and understandable tasks.

upo kundi lipi hapo Kaunga?
 
Last edited by a moderator:
Keeper huenda asivutie kwa nje; but when you get to know her/him ana quality ambazo ni ngumu kumuacha na ndio maana nimembatiza hilo jina. Kwa kifupi ni wale ambao you can't do without. Pia kuwa keeper sio lazima usiwe Attractor pia c.f FP na snowhite.

Labda nifafanue hivi Atractor ana outward beauty na keeper ana inner beauty.
.
una maanisha ni ngumu sana kumgundua keeper until uwe naye? kwa kweli mada yako ya leo ni babu kubwa.... snowhite kanyamaza
 
Last edited by a moderator:
Kaunga what makes someone to be A IS ALL ABOUT looks, personality, that sums up to make utu ama wasifu wa nje. mind haya ndio yanayoonekana soon mtu anapokutana na mtu at first sight.

on the other hand K hutokana na utu wa ndani ama wasifu ndani and that is charming, caring, God fearing, honest, kind, economical, mtundu kitandani as for the case ya mavibration na mfyonzo, well mannered etc. these attributes can be noted after long time observation.

however A leads to K always, as K is the outcome of A.
 
Last edited by a moderator:
Kwa wale KEEPERS how can you be ATTRACTOR too? Jamani wazoefu hapa twawahitaji. Is it beauty enhancement inayohusika? Au the way one talks, will a smile do its magic? FP na snowhite mtusaidie.

Na kwa wale ambao ukimuona tu mapigo yanachange ATTRACTOR, how do you keep your man/woman? Asnam amesemea respect, care na love; ni maneno makubwa, was thinking of small doable and understandable tasks.
asikwambie mtu mamii ji smile ndo mpango mzima!
unaijua sifa ya maua?sifa kuu ya maua ni kucheka na kutabasamu!
ua likichanua linaita ryt?au likichanua linakaribisha!
thts the smile magic!
angalia ukaribu wa watabasamuo na watoto!utaelewa ninachokisema
 
nasubiria neno kutoka kwa dada gfsonwin.... leo nimeandika mada yangu nusu tu. nataka nifuatilie hii ya Kaunga kwa ukaribu..
 
Last edited by a moderator:
Waoh, Asante sana kwa kufunguka na kushare na watu. I am sure wengi wamejifunza kitu. The man got to know you, m she loved the real you. Yako ni ya kuzaliwa, l can tell. Luck Shem wangu!
i see mimi ni mhalisi Kaunga yani hvi unaniona humu na kwingine ndio hivo nilivo!
so huyu bwashee wangu kusema ukweli sidhani kama ana lingine la kuzimika hapa zaidi ya mimi kuwa real me!
kaunga mi ukiniudhi nasema,ukinifurahisha nakwambia,nikitaka kulia nalia,nikiwa na mastress wala hupati kazi ya kutafuta tochi kujua nikostressed,hii inanisaidia na kuniharibia wakati mwingine!i think nipo too transper kuna muda ni kama sitaki kusomeka vile but thts me!

so kuwa hivi kunafanya vitu vingi nafanya for real!nikitaka leo kupaint the room red i see inakuwa scarlet!
nikitaka kumwaga ----- mahalihakukaliki!thts me!

lakini pia mi nayapenda mapenzi Kaunga so kwa mwny akili zake unless unatafuta kuibiwa bas jamaa anajikuta tu anakuwa teja langu!sijui kitu inaitwa kujizuia hisia zangu! pale hasa nimekamatwa,nani hataki a slut in his matrimonial bed so haina mbaya mamii!

kingine mi napenda kupika na kula(tht explains a lot sio enh)bibi yangu aliwahi kunambia njia ya kwenda moyoni kwa mwanaume inaanzia tumboni ,so huwa simwangushi bibuyangu pande hizo!

lol!yanatosha kwa leo
ila pia napena saaaaan kucheka!mi mpka uniudhi ufanye kazi ujue!yani kazi kweli! na ikitokea umefika hapo nakwambia linakurudia!af mi nsashasau siku nyiiiiiiiingi ,YAMEISHA HIVOOO utabaki unahangaika wewe!

so if this is the woman he married then am sure ,HARUKI KAMBA HAPA i see
HESHIMA KWAKO MHESHIMIWA mume wake snowhite!
SHIKAMOO MUME WANGU!:A S-heart-2:
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
 
Waoh, a Smile eeh; hasa ukiwa na mwanya! Lol
asikwambie mtu mamii ji smile ndo mpango mzima!
unaijua sifa ya maua?sifa kuu ya maua ni kucheka na kutabasamu!
ua likichanua linaita ryt?au likichanua linakaribisha!
thts the smile magic!
angalia ukaribu wa watabasamuo na watoto!utaelewa ninachokisema
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom