Tujadili: About the love life

Tujadili: About the love life

why do you think you are neither of them?
what do you want to be?
I just want to be a keeper, to the one i love, most of the time mijitu nisiyoipenda ndo inang'ang'ana na mie.naempenda walaaaaa
 
You want to keep the one you love!
Are you two together?
what is not happening?
Ngoja nijaribu kuchukua kile ambacho keepers wamesema wanawafanyia wapenzi wao huenda ukadaka kitu.

Being oneself/real (snowhite, neggirl, Blaine)
Respecting him/her neggirl, Blaine, gfsonwin)
Cooking for him (snowhite)
Ubunifu aka utundu chumbani (being a bedroom slut) (snowhite, gfsonwin)
Tabasamu na jokes
Understanding na uvumilivu
Caring
Sala, mafungo na kumtegemea Mungu
 
Last edited by a moderator:
I just want to be a keeper, to the one i love, most of the time mijitu nisiyoipenda ndo inang'ang'ana na mie.naempenda walaaaaa

Inawezekana huyo unae mpenda sio keeper si the cycle continue
we unajing'ang'aniza kwake.na wewe wengine wanajing'ang'aniza kwako lol
 
You want to keep the one you love!
Are you two together?
what is not happening?
Ngoja nijaribu kuchukua kile ambacho keepers wamesema wanawafanyia wapenzi wao huenda ukadaka kitu.

Being oneself/real (@Snowhite, neggirl, Blaine)
Respecting him/her neggirl, Blaine, gfsonwin)
Cooking for him (@snowhite)
Ubunifu aka utundu chumbani (being a bedroom slut) (@snowhite, gfsonwin)
Tabasamu na jokes
Understanding na uvumilivu
Caring
Sala, mafungo na kumtegemea Mungu
Yote yanafanyika but hakuna kitu,yupo kama hayupo vile.
 
Inawezekana huyo unae mpenda sio keeper si the cycle continue
we unajing'ang'aniza kwake.na wewe wengine wanajing'ang'aniza kwako lol

Haijalishi kama huyo wa kwake ni keeper or not, if you are a keeper mwenzako hatataka kukuacha hata kama ni player; wewe ndio utamdisqualify.
 
Yote yanafanyika but hakuna kitu,yupo kama hayupo vile.

then kuna mawili au matatu
1: he is not into you that much
2: kuna vitu vingine ni natural ambavyo hatuna uwezo navyo
3: sio mpango wa Mungu ninyi kuwa pamoja
 
Inawezekana huyo unae mpenda sio keeper si the cycle continue
we unajing'ang'aniza kwake.na wewe wengine wanajing'ang'aniza kwako lol
Nampenda japo najikausha kisabuni, coz kila nikijitahidi naambulia madissapointment
 
then kuna mawili au matatu
1: he is not into you that much
2: kuna vitu vingine ni natural ambavyo hatuna uwezo navyo
3: sio mpango wa Mungu ninyi kuwa pamoja
Mbona tukiwa pamoja anajifanya kunambia hajawahi penda kama anavyonipenda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom