Tujadili: About the love life

Tujadili: About the love life

Ok, hii mpya kwangu

Je, players wa mjini ambao no matter how good msichana a-behave, bado anaachwa.

Sasa wema sepetu ni Keeper au Attractor?

Kama hujaachwa kwa sababu za msingi, wewe ndio muachaji then you are a keeper. Ila kama impeachwa kwa ajili ya mtu mwingine basi you are not.
So hata kama umedate watu 2 na wote wakakuacha kwa kuwa wamekutana na mwingine then you are not a keeper.
 
I know, but unajua kuna mtu waweza kaa naye muda mrefu sana sababu yeye ni zombie?

Sio kwamba una quality za maana, na sometimes waweza dhani wewe si keeper kumbe umeangukia kwa 'casanova'?
kwa nini mtu anaamua kuwa zombie?
ni kwa sababu kazaliwa zombie au sababu wewe ni keeper?
ina maana huyo mtu wewe ni the only one amewahi kuwa naye? au ni tabia yake kung'ang'ania kila aliyewahi kuwa naye?
 
Ok, hii mpya kwangu

Je, players wa mjini ambao no matter how good msichana a-behave, bado anaachwa.

Sasa wema sepetu ni Keeper au Attractor?
Definitely an Attractor as for keeping siwezi jua, huenda she is the one dumping them men.
 
kwa nini mtu anaamua kuwa zombie?
ni kwa sababu kazaliwa zombie au sababu wewe ni keeper?
ina maana huyo mtu wewe ni the only one amewahi kuwa naye? au ni tabia yake kung'ang'ania kila aliyewahi kuwa naye?

Good questions.
Sidhani ni tabia yake kuwa Zombie, kwani angewazombia wanawake wote. Lazima awe Zombie kwa keeper.
 
How can l forget that?
She has it all, l admire her kiukwelii!
hutatamani kuwa in my shoes......
nikikupa leo kesho utanirudishia, lol!
utajisikiaje kum-keep mtu ambaye mkewe kila siku halali usingizi anakuwaza wewe?
na hapo wewe huna hata wazo na huyo mumewe........
 
I don't know

Am trying very hard to be 'brave' while am NOT :A S angel:

kwa nini mtu anaamua kuwa zombie?
ni kwa sababu kazaliwa zombie au sababu wewe ni keeper?
ina maana huyo mtu wewe ni the only one amewahi kuwa naye? au ni tabia yake kung'ang'ania kila aliyewahi kuwa naye?
 
hutatamani kuwa in my shoes......
nikikupa leo kesho utanirudishia, lol!
utajisikiaje kum-keep mtu ambaye mkewe kila siku halali usingizi anakuwaza wewe?
na hapo wewe huna hata wazo na huyo mumewe........

Yer, that part kweli nitakurudishia; hasa akiwa a stalker it real sucks.
 
  1. honest
  2. reliable
  3. empathic/compassionate
  4. mcha Mungu
  5. dependable
  6. loyal
  7. muwazi (usibaki na gubu moyoni ukikwazika)
cant think of more atm
update: i cant believe i forgot this
  1. hard working. if nikiumwa/sijiwezi then nyumba haitaanguka
 
still bado mnapata confusion enh!

ngoja nikupeni mfano mmoja hapa, gfsonwin ni nice looking woman, ambaye ana attract attention ya kila mwanaume but yeye hayuko mzuri kama Kongosho ambaye ni very attractive woman na kila akiwa na mtu ama la soko lake lina panda zaid.

gfsonwin yeye kwasabbu ya haiba zake anajua kwake kuolewa na baba klein ndo mwisho to her anakazna kutetea penzi lake kwa baba klein kwa gharama yyte ile ya busara na akili yake. kongosho kwasabbau soko lake lipo juu sana haoni sababu ya kubembeleza mtu once you get out of her life zombie mwingine comes in thru the window and ame get used to it hadi haoni sababu ya kuumiza kichwa juu ya kumake her love alive.

mpaka hapo utagundua kwamba despite wote ni wazuri tu Kongosho anamzii gfsonwin sana kwenye uwezo wa kuvutia, na gfsonwinkwakujua kwamba akimkosa baba klein atakula mbichi basi anajitahd kuvumilia na kuwa very obidient kwake hata kwa yale ambayo ni magumu kwake.

diclaimers------jst an example tu.
 
Last edited by a moderator:
Waoh, it must be a beautiful relationship. Hongereni!
Ni nini exactly kuachia hiyo outer beauty kilichokufanya usitake kumpoteza?

Mrombo wangu Preta is every thing, physical attraction ilikuwa namba wani(yupo white, mnene wastani na sura ya Kirombo, yupo short na mwaya kidogo), nilipomtupia neno alinijibu kwa lugha ya kistaarabu, sauti yake ilikuwa of low tone, ilinitia raha kuisikia. Baada ya muda mchache akawa ameuteka moyo wangu kwani huyu mdada ni mshauri mzuri sana, (kwa masuala ya kijamii na uchumi, siasa hapendi) msaidizi asiyetiliwa shaka(Hodari wa kazi za ndani na nje), Kiongozi mzuri sana pale nilipofyatuka(kuna wakati akili yangu ilitaka kuhamia kwa charminglady lakini huyo mrombo hakuniacha nipotee) na mwisho Preta wangu ni mcha Mungu sana, mie biblia tangu niliposoma skuli enzi za baibo study lakini huyu wangu alikuja na biblia yake na kunanzishia vipindi vya kusoma biblia nyumbani na wiki ijayo nikirudi toka huku Tabora amesema anaenda kunitambulisha kwa kiongozi wa kwaya Nicas Mtei (shemeji) nianze kuimba kwaya!

Kwa sababu hizo nikaona loooh, kitu si ndo hicho, basi bila talalila nikaamua kuwa KEEPER
 
Last edited by a moderator:
umeona eeh!
haiwezekani mtu kukuzombie wewe tu na sio wengine huko kote alikopita.....
naweza kuwa wrong though lakini sipati picha inawezekanaje wewe tu na si mwingine?

Dada Mwonilih! Habari za magono!!

Wifi yako Preta yupo mpweke nimesafiri, uwe unasalimia na kumtembelea maana vagosi vangi vavii ngati makoko!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom