Tujadili: About the love life

Tujadili: About the love life

Mbona tukiwa pamoja anajifanya kunambia hajawahi penda kama anavyonipenda

Dinnah my dear, there is less information ambayo itanifanya nikushauri lakini pamoja na hayo; hata mimi sifanyi vizuri kwenye mapenzi hivyo siwezi kukwambia kwa uhakika tatizo ni nini.

But nina imani kama una quality hizo walizo changia wadau then waweza mkeep mtu yule anayetaka mapenzi. Lakini pamoja na yote hayo bado kama Mungu hayalindi hayo mahusiano; shetani halali kwa ajili ya kuharibu mahusiano ya wana ndoa au potential wanandoa so ni bora kumkabidhi Mungu mahusiano yenu.
 
Mie nachoka kabisa, hapa swala ni kujifunza kumpenda anayenipenda maana naempenda nahisi usumbufu sana,thanks kwa kushare xperience yako
 
Kwenye u-keeper I am a victim, kwa dunia ya sasa you will never be a keeper unless you have money or you may be perceived as a frugal in most cases.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mbona kuna wadada na wakaka wa kawaida kabisaa, wameng'ang'aniwa na wapenzi wenye pesa? mi nadhani ni bahati tu.au the way you play your cards
 
Mie nachoka kabisa, hapa swala ni kujifunza kumpenda anayenipenda maana naempenda nahisi usumbufu sana,thanks kwa kushare xperience yako

Sijafanikiwa na nina wasiwasi naweza nishindwe. Bora kaa mwenyewe kwanza, halafu uanze upya huenda ukampenda anayekupenda. Love comes to those who still believe even though they have been hurt before.
 
Yaani, usiombe kujilazimisha kukaa na mtu usiyempenda, daaaaaa, kwa kweli hili nalo neno,ahsante dear,mambo gani haya hadi unywe pombe ndo uweze kunanihii la sivyo ....
 
ha ha! leo naenda 5some na the other 'keepers'. snowhite jiandae, i'll take u to heven and back LOL utamsahau The Boss

ahahaahhahahhahahahhha natamanije sasa niweze kumsahau The Boss ,dyu have the so called the boss antidote!?
ila sasa na yeye ni mkeeeper ujue af an attractor sasa sijui inakuwaje hapo!
 
Last edited by a moderator:
Mbona kuna wadada na wakaka wa kawaida kabisaa, wameng'ang'aniwa na wapenzi wenye pesa? mi nadhani ni bahati tu.au the way you play your cards

I know that ndo maana nikasema in most cases
 
ahahaahhahahhahahahhha natamanije sasa niweze kumsahau The Boss ,dyu have the so called the boss antidote!?
ila sasa na yeye ni mkeeeper ujue af an attractor sasa sijui inakuwaje hapo!
im the antidote to ALL your man problems. hii picha ina maelezo zaidi
mr_right_mr_all_night_t_shirt-p235890079502993623t5tr_400.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom