Tujadili: About the love life

Tujadili: About the love life

Mbona kuna wadada na wakaka wa kawaida kabisaa, wameng'ang'aniwa na wapenzi wenye pesa? mi nadhani ni bahati tu.au the way you play your cards

playing ur cards it is!
haihitaji kuwa the most gorgeous man kuwa attractor wala the most glamoured girl kuwa keeper i see!
 
playing ur cards it is!
haihitaji kuwa the most gorgeous man kuwa attractor wala the most glamoured girl kuwa keeper i see!
Kweli kabisa, coz naempenda mie nimkeep wala hana mvuto wa muonekano kama anaenipenda, he just luck some man candy flavour,lolest......
 
I guess I am a little bit of both, But I don't have a prescription...
Just be true to yourself and to people around you
listen to the needs of your partner and talk about yours
 
😛layball:jipange labda unatanguliza hizo pesa zako mbele badala mapenzi ndo maana wanaume wanakuogopa au unataka kumtawala mwanaume sabab ya pesa hawez kubal ni bora asepe.utaishia kuchezewa badilika............
 
Nani sasa ajipange, attractor au keeper au mleta mada?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom