rev mother!
dada mkubwa ni KEEPER na ATTRACTOR
for the record
unakumbuka issue ya small boy mwenye miaka 30
unakumbuka issue ya muchumba anasubiri tu mwaka wa 13 huu
babu Dark City NILINDE!
Kama hujaachwa kwa sababu za msingi, wewe ndio muachaji then you are a keeper. Ila kama impeachwa kwa ajili ya mtu mwingine basi you are not.
So hata kama umedate watu 2 na wote wakakuacha kwa kuwa wamekutana na mwingine then you are not a keeper.
kwa nini mtu anaamua kuwa zombie?I know, but unajua kuna mtu waweza kaa naye muda mrefu sana sababu yeye ni zombie?
Sio kwamba una quality za maana, na sometimes waweza dhani wewe si keeper kumbe umeangukia kwa 'casanova'?
Definitely an Attractor as for keeping siwezi jua, huenda she is the one dumping them men.Ok, hii mpya kwangu
Je, players wa mjini ambao no matter how good msichana a-behave, bado anaachwa.
Sasa wema sepetu ni Keeper au Attractor?
kwa nini mtu anaamua kuwa zombie?
ni kwa sababu kazaliwa zombie au sababu wewe ni keeper?
ina maana huyo mtu wewe ni the only one amewahi kuwa naye? au ni tabia yake kung'ang'ania kila aliyewahi kuwa naye?
rev mother!
dada mkubwa ni KEEPER na ATTRACTOR
for the record
unakumbuka issue ya small boy mwenye miaka 30
unakumbuka issue ya muchumba anasubiri tu mwaka wa 13 huu
babu Dark City NILINDE!
hutatamani kuwa in my shoes......How can l forget that?
She has it all, l admire her kiukwelii!
kwa nini mtu anaamua kuwa zombie?
ni kwa sababu kazaliwa zombie au sababu wewe ni keeper?
ina maana huyo mtu wewe ni the only one amewahi kuwa naye? au ni tabia yake kung'ang'ania kila aliyewahi kuwa naye?
Sasa wema sepetu ni Keeper au Attractor?
hutatamani kuwa in my shoes......
nikikupa leo kesho utanirudishia, lol!
utajisikiaje kum-keep mtu ambaye mkewe kila siku halali usingizi anakuwaza wewe?
na hapo wewe huna hata wazo na huyo mumewe........
umeona eeh!I don't know
Am trying very hard to be 'brave' while am NOT :A S angel:
yaani we acha kabisa......Yer, that part kweli nitakurudishia; hasa akiwa a stalker it real sucks.
wema ni attractor and not keeper kwangu mm keeper ni MONALISAOk, hii mpya kwangu
Reply With Quote
Je, players wa mjini ambao no matter how good msichana a-behave, bado anaachwa.
Sasa wema sepetu ni Keeper au Attractor?
Waoh, it must be a beautiful relationship. Hongereni!
Ni nini exactly kuachia hiyo outer beauty kilichokufanya usitake kumpoteza?
umeona eeh!
haiwezekani mtu kukuzombie wewe tu na sio wengine huko kote alikopita.....
naweza kuwa wrong though lakini sipati picha inawezekanaje wewe tu na si mwingine?