Tujadili: About the love life

Tujadili: About the love life

Waoh, hapo juu good for you.

Kwa reacher na settler thing, l think I am a reacher! Lol picky picky typo.

Haha..good for u too!!!

someone said, unapofika mahali ukajiona kwa mtu uliye naye unajiona wewe ni reacher na yeye anajiona ni reacher kwako..then you have a perfect relationship! problem ni pale mmoja anapojiona ni settler kwako...imbalance inatokea!!!

Though in reality kuna settler na reacher lakini hilo jamii ya nje ndo inatakiwa ilione hilo...not the two of u!!!
 
Ndio hasa ninyi nawataka ili mtoe darasa. How did you manage to keep ur man hadi akaapa mpaka kifo kiwatenganishe?

Unajua nini; kuna watu kupata mpenzi sio shida lkn hadumu sana nao.
Na kuna wengine ambao hajawahi kuachwa maishani, yeye ndio mara zote heart breaker.
kuapa till death do us part is one thing and keeping the vow is another thing.......
labda hapa tuongelee wale ambao wanafanikiwa kufikia mwisho wa safari.......
au siyo Dark City, snowhite, gfsonwin?
 
Last edited by a moderator:
Kwa wale KEEPERS how can you be ATTRACTOR too? Jamani wazoefu hapa twawahitaji. Is it beauty enhancement inayohusika? Au the way one talks, will a smile do its magic? FP na snowhite mtusaidie.

Na kwa wale ambao ukimuona tu mapigo yanachange ATTRACTOR, how do you keep your man/woman? Asnam amesemea respect, care na love; ni maneno makubwa, was thinking of small doable and understandable tasks.
Ukweli mimi huwa sijui inakuwaje mpaka mtu anakuwa Attractor.
Wanasema beauty is in the eye of beholder (hii naiamini kabisaaaaaaa)......
lakini unaweza kushangaa mtu unajiona wa kawaida tu lakini hali inakuwa mbaya sana......
kuna siku niliwahi kusema hapa nachukia sana kutokewa wengi hawakunielewa kwa nini.
Kikawaida mimi ni mpole sana, na huwa sio muongeaji sana hasa kwa watu ambao siwafahamu.
naweza kusafiri Dar mpaka Moshi kwa basi nikaishia nikamsalimu tu seat mate wangu, labda awe muongeaji sana na anilazimishe sana kuongea naye......
tabasamu ndo kabisaaaaaa, huwa natabasamu tu nikikutana na mtu ambaye namfahamu. zaidi ya hapo huwa sina tabasamu usoni, lol!
kitu cha ajabu, kuna siku nilikaa na baba mmoja kwenye basi, kumsalimu, na kiuhakika sikuwahi kumwona sehemu, lakini aliniambia kitu ambacho kila mara nakikumbuka, na alikuwa sahihi kabisa
 
Hiyo haina tatizo mkubwa mwenzangu @FP,

Watoto watukutu lazima wawepo duniani na hatuwezi kufanya genocide halafu tukawa salama,

Jambo la msingi ni kuwa na mbinu za kukabiliana nao...na kuwasaidia wajukuuu wanaopata shida.

Ndiyo maana tukawa na msomo kuwa nyani mzee lazima kalamba mishale kibao ila amesurvive...lol!!

Babu DC!!
babu mbinu zinatumika na inachosha sana......
imagine na uzee huu kukariri mistari ya kukwepa mishale, lol!
 
aiseeeeeeeee..... Marahaba mke wangu.....{mke wa kaka ni mke wangu pia}

ahahahahhahhhahahhha mweh!
kuolewa uchagani af nikavumilia haya ujue ni credit nyingie hii!lol
fikiria hilo mixer!bombi hii na shimboni!kaka yako ana kazi i see!:yo::A S-heart-2::yo:
 
Ukweli mimi huwa sijui inakuwaje mpaka mtu anakuwa Attractor.
Wanasema beauty is in the eye of beholder (hii naiamini kabisaaaaaaa)......
lakini unaweza kushangaa mtu unajiona wa kawaida tu lakini hali inakuwa mbaya sana......
kuna siku niliwahi kusema hapa nachukia sana kutokewa wengi hawakunielewa kwa nini.
Kikawaida mimi ni mpole sana, na huwa sio muongeaji sana hasa kwa watu ambao siwafahamu.
naweza kusafiri Dar mpaka Moshi kwa basi nikaishia nikamsalimu tu seat mate wangu, labda awe muongeaji sana na anilazimishe sana kuongea naye......
tabasamu ndo kabisaaaaaa, huwa natabasamu tu nikikutana na mtu ambaye namfahamu. zaidi ya hapo huwa sina tabasamu usoni, lol!
kitu cha ajabu, kuna siku nilikaa na baba mmoja kwenye basi, kumsalimu, na kiuhakika sikuwahi kumwona sehemu, lakini aliniambia kitu ambacho kila mara nakikumbuka, na alikuwa sahihi kabisa

Mbona umekatikiza shosti?
Hivyo naweza sema ni natural attraction uliyonayo (beauty, honesty look na kababy face) waoh! Wengine unapiga lismile kubwa hilo but where! Lol
 
ahahahahhahhhahahhha mweh!
kuolewa uchagani af nikavumilia haya ujue ni credit nyingie hii!lol
fikiria hilo mixer!bombi hii na shimboni!kaka yako ana kazi i see!:yo::A S-heart-2::yo:

unafaa sana wewe mke wetu.
 
Mbona umekatikiza shosti?
Hivyo naweza sema ni natural attraction uliyonayo (beauty, honesty look na kababy face) waoh! Wengine unapiga lismile kubwa hilo but where! Lol
ha haaaa, nilijua tu utalazimisha kumalizia story......
ndo imeishia hapo hapo shosti, lol!
 
Mbona umekatikiza shosti?
Hivyo naweza sema ni natural attraction uliyonayo (beauty, honesty look na kababy face) waoh! Wengine unapiga lismile kubwa hilo but where! Lol
hata mimi nililigundua hili!
lakini nikaona hebu leo (yan sahiz tu kwenye post hii)niache uchokozi kidogo manake nshanusurika sana vifinyo vya dada mkubwa akiwa anaongea na babu Dark City.asanteeee mwaya kwa kuniulizia!lol
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom