Tujadili: About the love life

Tujadili: About the love life

i see mimi ni mhalisi Kaunga yani hvi unaniona humu na kwingine ndio hivo nilivo!
so huyu bwashee wangu kusema ukweli sidhani kama ana lingine la kuzimika hapa zaidi ya mimi kuwa real me!
kaunga mi ukiniudhi nasema,ukinifurahisha nakwambia,nikitaka kulia nalia,nikiwa na mastress wala hupati kazi ya kutafuta tochi kujua nikostressed,hii inanisaidia na kuniharibia wakati mwingine!i think nipo too transper kuna muda ni kama sitaki kusomeka vile but thts me!

so kuwa hivi kunafanya vitu vingi nafanya for real!nikitaka leo kupaint the room red i see inakuwa scarlet!
nikitaka kumwaga ----- mahalihakukaliki!thts me!

lakini pia mi nayapenda mapenzi Kaunga so kwa mwny akili zake unless unatafuta kuibiwa bas jamaa anajikuta tu anakuwa teja langu!sijui kitu inaitwa kujizuia hisia zangu! pale hasa nimekamatwa,nani hataki a slut in his matrimonial bed so haina mbaya mamii!

kingine mi napenda kupika na kula(tht explains a lot sio enh)bibi yangu aliwahi kunambia njia ya kwenda moyoni kwa mwanaume inaanzia tumboni ,so huwa simwangushi bibuyangu pande hizo!

lol!yanatosha kwa leo
ila pia napena saaaaan kucheka!mi mpka uniudhi ufanye kazi ujue!yani kazi kweli! na ikitokea umefika hapo nakwambia linakurudia!af mi nsashasau siku nyiiiiiiiingi ,YAMEISHA HIVOOO utabaki unahangaika wewe!

so if this is the woman he married then am sure ,HARUKI KAMBA HAPA i see
HESHIMA KWAKO MHESHIMIWA mume wake snowhite!
SHIKAMOO MUME WANGU!:A S-heart-2:
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:

aiseeeeeeeee..... Marahaba mke wangu.....{mke wa kaka ni mke wangu pia}
 
Thanks mwalimu, you have sum up vizuri sana na l am sure many will learn kuna upungufu wapi na watajifunza kuziba hayo mashimo.
Kaunga what makes someone to be A IS ALL ABOUT looks, personality, that sums up to make utu ama wasifu wa nje. mind haya ndio yanayoonekana soon mtu anapokutana na mtu at first sight.

on the other hand K hutokana na utu wa ndani ama wasifu ndani and that is charming, caring, God fearing, honest, kind, economical, mtundu kitandani as for the case ya mavibration na mfyonzo, well mannered etc. these attributes can be noted after long time observation.

however A leads to K always, as K is the outcome of A.
 
Last edited by a moderator:

wow! sijatoka kapa hapa
 
Je kuna ukweli wowote kuwa wale wanaovutia wengi wao huwa wabinafsi sana?

Nafikiri ni ka- attitude fulani kwakuwa unajijua unavutia wengi hujali na unaona maisha yote yanazunguka around you. Matokeo yake hau-keep relationships (angalia mamiss), baadaye unajilaumu na kuanza kusingizia mikosi au kurogwa.
Huenda Uzi huu unaweza wakumbusha maHB na macute babs.
 
respect,confidence,patient,much love,accountability etc etc and prayers bcoz only God knows when and where i will get what i need
Nimependa hii inatia moyo....let's wait for GOD!!!!too bad hakuna shule wa chuo cha mapenzi wala hakuna bingwa au prof wa mambo hayo.
 
me nilikuwa attracted naye, nikajipima if I could keep her, naamin naye alijiridhisha nipo attractive kwake na pia keeper, ndo maana tumeungana for sometime!
 
Waoh, it must be a beautiful relationship. Hongereni!
Ni nini exactly kuachia hiyo outer beauty kilichokufanya usitake kumpoteza?
 
Nafikiri ni ka- attitude fulani kwakuwa unajijua unavutia wengi hujali na unaona maisha yote yanazunguka around you. Matokeo yake hau-keep relationships (angalia mamiss), baadaye unajilaumu na kuanza kusingizia mikosi au kurogwa.
Huenda Uzi huu unaweza wakumbusha maHB na macute babs.

Hapo ndpo tatizo lilipo.
 
A man reserves his true and deepest love not for the species of woman in whose company he finds himself electrified and enkindled, but for that one in whose company he may feel tenderly drowsy!!!
 
i see mimi ni mhalisi Kaunga yani hvi unaniona humu na kwingine ndio hivo nilivo!
so huyu bwashee wangu kusema ukweli sidhani kama ana lingine la kuzimika hapa zaidi ya mimi kuwa real me!
kaunga mi ukiniudhi nasema,ukinifurahisha nakwambia,nikitaka kulia nalia,nikiwa na mastress wala hupati kazi ya kutafuta tochi kujua nikostressed,hii inanisaidia na kuniharibia wakati mwingine!i think nipo too transper kuna muda ni kama sitaki kusomeka vile but thts me!

so kuwa hivi kunafanya vitu vingi nafanya for real!nikitaka leo kupaint the room red i see inakuwa scarlet!
nikitaka kumwaga ----- mahalihakukaliki!thts me!

lakini pia mi nayapenda mapenzi Kaunga so kwa mwny akili zake unless unatafuta kuibiwa bas jamaa anajikuta tu anakuwa teja langu!sijui kitu inaitwa kujizuia hisia zangu! pale hasa nimekamatwa,nani hataki a slut in his matrimonial bed so haina mbaya mamii!

kingine mi napenda kupika na kula(tht explains a lot sio enh)bibi yangu aliwahi kunambia njia ya kwenda moyoni kwa mwanaume inaanzia tumboni ,so huwa simwangushi bibuyangu pande hizo!

lol!yanatosha kwa leo
ila pia napena saaaaan kucheka!mi mpka uniudhi ufanye kazi ujue!yani kazi kweli! na ikitokea umefika hapo nakwambia linakurudia!af mi nsashasau siku nyiiiiiiiingi ,YAMEISHA HIVOOO utabaki unahangaika wewe!

so if this is the woman he married then am sure ,HARUKI KAMBA HAPA i see
HESHIMA KWAKO MHESHIMIWA mume wake snowhite!
SHIKAMOO MUME WANGU!:A S-heart-2:
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:

Hapo umemaliza, mtu akiwa real ananivutia saaaaana, nachukia mtu wa kupretend.
Kama Kaunga alivyosema, sifa za ndani zinahusika sana. Kama naongopa, mpende mtu then uje gundua si mkweli, nakwambia hutataka hata kumuona na upendo wooote wa mwanzo unageuka kuwa chuki.

Be real
 
Last edited by a moderator:
A man reserves his true and deepest love not for the species of woman in whose company he finds himself electrified and enkindled, but for that one in whose company he may feel tenderly drowsy!!!

Waoh asante kwa mchango wako, lkn si there must be se sort of attraction in the first place?
 
Being real and praying you get someone to love the real you!
Vipi kuongezea kamvuto kidogo?
Maana some "real us" ni kununa mtindo mmoja, shabbiness ni cup of tea, uchafu ni asili. etc!
Hapo umemaliza, mtu akiwa real ananivutia saaaaana, nachukia mtu wa kupretend.
Kama Kaunga alivyosema, sifa za ndani zinahusika sana. Kama naongopa, mpende mtu then uje gundua si mkweli, nakwambia hutataka hata kumuona na upendo wooote wa mwanzo unageuka kuwa chuki.

Be real
 
Last edited by a moderator:
Are you an ATTRACTOR (some one whom people get attracted easily)
A KEEPER (some one whom is not easily dumped)
Both A and K au
None of the above.(ni ngumu kumpata mtu na pia kudumu naye).

I think kila mtu hupitia either of those at some point in their social lives.

However kuna qualities zitakazokuzidishia kuwa ATTRACTOR zaidi...kama kuwa mcheshi, msafi, caring plus a good listener!!!

Being a KEEPER inaongezwa na uwezo mkubwa wa kuenzi mawasiliano katika uhusiano wenu.

Na mimi hujiweka kwenye C: Both a keeper n attractor!!!

Eeh, tufafanulie basi.

Nisichakachue thread yako i will answer in brief;

The Reacher: Some one who reaches beyond their looks and dates above their own looks
The Settler: Some one who settles for some one less good looking then themselves

:yo:
 
Being real and praying you get someone to love the real you!
Vipi kuongezea kamvuto kidogo?
Maana some "real us" ni kununa mtindo mmoja, shabbiness ni cup of tea, uchafu ni asili. etc!

Sema huwa siwezi kuelezea kitu kwa ufasaha sana, upo sahihi kabisa, ila kuna watu by default tu ukimuona kabla hajaongea, hajafanya chochote anakuvutia, hapo namaanisha muonekano wa nje ikijumuisha usafi mpangilio wa rangi za mavazi n.k

Licha ya ukweli kwamba vitu vyote hivyo vina mchango kwenye kumvuta mtu, vinakuja kuyeyuka unapopata fursa ya kuwa karibu na huyo mtu na unagundua anataka atawale mazungumzo yeye tu, anadharau, haonyeshi usikivu, hana hata zile basic chembe za uungwana na maanisha utu. Na ndio maana kuna wadada wengi tu wanaovutia kwa nje lakini hutaki kujihusisha nae kwa sababu kilichopo ndani kina mchango mkubwa sana kuliko kinachoonekana kwa nje.
 
Waoh asante kwa mchango wako, lkn si there must be se sort of attraction in the first place?

Sure,attraction comes first. The rules of attraction might drive our initial decisions, for better or worse. But lasting relationships are about much more than what we see and smell.
 
Na mimi hujiweka kwenye C: Both a keeper n attractor!!![/B][/COLOR]
Nisichakachue thread yako i will answer in brief;
The Reacher: Some one who reaches beyond their looks and dates above their own looks
The Settler: Some one who settles for some one less good looking then themselves

:yo:

Waoh, hapo juu good for you.

Kwa reacher na settler thing, l think I am a reacher! Lol picky picky typo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom