Tujadili: About the love life

Tujadili: About the love life

Ukweli mimi huwa sijui inakuwaje mpaka mtu anakuwa Attractor.
Wanasema beauty is in the eye of beholder (hii naiamini kabisaaaaaaa)......
lakini unaweza kushangaa mtu unajiona wa kawaida tu lakini hali inakuwa mbaya sana......
kuna siku niliwahi kusema hapa nachukia sana kutokewa wengi hawakunielewa kwa nini.
Kikawaida mimi ni mpole sana, na huwa sio muongeaji sana hasa kwa watu ambao siwafahamu.
naweza kusafiri Dar mpaka Moshi kwa basi nikaishia nikamsalimu tu seat mate wangu, labda awe muongeaji sana na anilazimishe sana kuongea naye......
tabasamu ndo kabisaaaaaa, huwa natabasamu tu nikikutana na mtu ambaye namfahamu. zaidi ya hapo huwa sina tabasamu usoni, lol!
kitu cha ajabu, kuna siku nilikaa na baba mmoja kwenye basi, kumsalimu, na kiuhakika sikuwahi kumwona sehemu, lakini aliniambia kitu ambacho kila mara nakikumbuka, na alikuwa sahihi kabisa

Alikwambia nini kwani??

Babu DC!!
 
Kujua kama ni keeper labda uwe umedate watu kadhaa, sasa kama umedate 2 au 3 utajua kweli kama ni keeper?
 
Sometimes inategemea na aina ya mtu uliyenaye kuwa keeper

Ila kwa uzoefu wa mtaani, kuwa mkweli, wewe(Yourself), na mhalisia(realistic) inasaidia
Mambo ya kitandani sijui kama yana nafasi kivile kwenye kuwa keeper
 
Na unaposema 'attractor' sijui kama nakupata vilivyo.

Kuna aina ya watu, akiingia tu mahali watu wanajua yupo na wanavutiwa naye.
Kuna aina ya watu ambao watu huvutiwa kwake baada ya muda.

Mfano, Halima akiingia kwenye jamii, sio kila mwanamme humpapatikia
Ila baada ya kuishi na Halima, wanamme wengi kila mmoja kwa wakti wake anaanza kuvutiwa na Halima, si kwa uzuri sana labda naweza sema sababu ya personality yake. Huyu naye ni attractor?
 
Kujua kama ni keeper labda uwe umedate watu kadhaa, sasa kama umedate 2 au 3 utajua kweli kama ni keeper?
Labda kama hujawahi kabisa kudate ndo hutajiuliza.....
ila kama umeshawahi kuwa na angalau mmoja unaweza kujiweka kwenye alama fulani...
kama zaidi ya mmoja ndo kabisaaaaa
 
Halima ni keeper, once ukimjua hutaki aondoke; ila yeye ukimboa anakuacha.
 
Umeona eeh, halafu analalamikia attentions anazozipata. She has kipaji cha kuwaweka kwenye suspense. Lol

rev mother!
dada mkubwa ni KEEPER na ATTRACTOR
for the record
unakumbuka issue ya small boy mwenye miaka 30
unakumbuka issue ya muchumba anasubiri tu mwaka wa 13 huu
babu Dark City NILINDE!
 
Last edited by a moderator:
Kujua kama ni keeper labda uwe umedate watu kadhaa, sasa kama umedate 2 au 3 utajua kweli kama ni keeper?

Kama hujaachwa kwa sababu za msingi, wewe ndio muachaji then you are a keeper. Ila kama impeachwa kwa ajili ya mtu mwingine basi you are not.
So hata kama umedate watu 2 na wote wakakuacha kwa kuwa wamekutana na mwingine then you are not a keeper.
 
rev mother!
dada mkubwa ni KEEPER na ATTRACTOR
for the record
unakumbuka issue ya small boy mwenye miaka 30
unakumbuka issue ya muchumba anasubiri tu mwaka wa 13 huu
babu Dark City NILINDE!
ha haaa, small boy mnamsingizia jamani, mimi sikusema aliniambia mimi, alikuwa anaongea tu na yaliishia hapo..... kweli tena
 
I know, but unajua kuna mtu waweza kaa naye muda mrefu sana sababu yeye ni zombie?

Sio kwamba una quality za maana, na sometimes waweza dhani wewe si keeper kumbe umeangukia kwa 'casanova'?

Labda kama hujawahi kabisa kudate ndo hutajiuliza.....
ila kama umeshawahi kuwa na angalau mmoja unaweza kujiweka kwenye alama fulani...
kama zaidi ya mmoja ndo kabisaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom