Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,016
- 110,640
Hahah...mkuu jitahidi sana kuwa makini wakati wa hilo zoezi...
Kati ya vitu ambavyo vitakufanya uyafurahie mapenzi, basi jitahidi sana kuujua mwili wa mwanamke na mifumo yake...
Kati ya vitu ambavyo vitakufanya uyafurahie mapenzi, basi jitahidi sana kuujua mwili wa mwanamke na mifumo yake...
Hahahahahaha dokta we noma! sikujua hiii digrii ya gynae uliisomea wapi mkuu!?? upo deep....nimejaribu tu kupata visual image ya ulichoongelea nkacheka sana!!!