Nini ishara ya Kuzingirwa na Nyuki na king'atwa

k-bee

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Posts
1,023
Reaction score
1,184
WanaJamvi natumai mwaendelea vyema...!
Mimi ni mkristo na juzi kati nimeota ndoto nimezingirwa na nyuki wakubwa na wadogo na nikataka kukimbilia ndani nikasema nikiingia ndani naonwataingia ndani so wataleta shida nkarudi nilipokuwepo nikang'atwa na baadhi ya nyuki...!! Nikazinduka usingizini...je? Ndoto hii inamaana gani kiroho na katika maisha kwa ujumla

Mshana Jr
Mzizi Mkavu
 
Usikimbilie kuipa ndoto tafsiri ya moja kwa moja ya kiroho. Ndoto zinaweza kutokana na mawazo, hofu au mambo uliyopitia. Kama wewe ni Mkristo, ichukulie kama sababu ya kutafakari na kumuomba Mungu hekima na ulinzi, si kama hukumu kwamba jambo baya lazima litokee.
 
WanaJamvi natumai mwaendelea vyema...!
Mimi ni mkristo na juzi kati nimeota ndoto nimezingirwa na nyuki wakubwa na wadogo na nikataka kukimbilia ndani nikasema nikiingia ndani naonwataingia ndani so wataleta shida nkarudi nilipokuwepo nikang'atwa na baadhi ya nyuki...!! Nikazinduka usingizini...je? Ndoto hii inamaana gani kiroho na katika maisha kwa ujumla

Mshana Jr
Mzizi Mkavu
Kwa mtazamo wa kiroho, nyuki wanaweza kuashiria changamoto, presha au watu wenye kukusumbua, huku kuumwa kukimaanisha kuna jambo linaweza kukuumiza au kukupa tahadhari. Lakini si lazima iwe ishara ya mabaya yatakayotokea. Chukua kama wito wa kuwa makini, kuomba na kumtegemea Mungu zaidi.
 
Shukrani mkuu ..!!
 
Katika mtazamo wa Kikristo na Kiroho, pamoja na maisha ya kawaida, nyuki wana maana mbili tofauti (chanya na hasi) kulingana na kile kinachotokea kwenye ndoto. Katika ndoto yako, kuna mambo makuu matatu: kuzingirwa na nyuki wakubwa kwa wadogo, kujaribu kukimbia lakini ukasita ili usilete shida ndani, na kung'atwa (kuumwa) nao.
 
Seems your right through my on experience.
 
Katika mtazamo wa Kikristo na Kiroho, pamoja na maisha ya kawaida, nyuki wana maana mbili tofauti (chanya na hasi) kulingana na kile kinachotokea kwenye ndoto. Katika ndoto yako, kuna mambo makuu matatu: kuzingirwa na nyuki wakubwa kwa wadogo, kujaribu kukimbia lakini ukasita ili usilete shida ndani, na kung'atwa (kuumwa) nao.
Unaweza kuidadafua vizuri🤔
 
WanaJamvi natumai mwaendelea vyema...!
Mimi ni mkristo na juzi kati nimeota ndoto nimezingirwa na nyuki wakubwa na wadogo na nikataka kukimbilia ndani nikasema nikiingia ndani naonwataingia ndani so wataleta shida nkarudi nilipokuwepo nikang'atwa na baadhi ya nyuki...!! Nikazinduka usingizini...je? Ndoto hii inamaana gani kiroho na katika maisha kwa ujumla

Mshana Jr
Mzizi Mkavu
Labda umewachokoza!! Kama sivyo huo ni "uchawi" uliokubuhu.
 
WanaJamvi natumai mwaendelea vyema...!
Mimi ni mkristo na juzi kati nimeota ndoto nimezingirwa na nyuki wakubwa na wadogo na nikataka kukimbilia ndani nikasema nikiingia ndani naonwataingia ndani so wataleta shida nkarudi nilipokuwepo nikang'atwa na baadhi ya nyuki...!! Nikazinduka usingizini...je? Ndoto hii inamaana gani kiroho na katika maisha kwa ujumla

Mshana Jr
Mzizi Mkavu
Badilisha jina na profile pic utakuwa sawa.
 
Daaah!! Hiv na profile picture ina nyuki na jina la nyuki.....but haviusian.!! Nimekuwa nkiota ndoto nying na nyingine zimetokea hasa zile positive na negative nimekuwa nikiziombea kufuta matokeo yake ila hii inanitafakarisha sana
 
Bila kupepesa MACHO nyuki ni ROHO CHAFU za kuzimu,kama wachawi kundi la wachawi/mapepo...
KUNG'ATWA ni kushambuliwa kiroho,kudhuru
Ili KUJUA shambulio hilo wamelinga eneo kati katika maisha Yako ,ni mpaka USEME wamekuuma eneo Gani la mwili WAKO?

na mpaka imekuja kuulizia tafsiri yake hapa Ina maana imeku disturb kwa NAMNA moja umekosa amani.

NI NDOTO MBAYA bila kupamba pamba ,Wala SIO NZURI kwa NAMNA YOYOTE.

NINI CHA KUFANYA
Ukitoa ndoto mbaya kama hiyo,unaposhtuka TU usingizini kitu Cha kwanza ni ku SALI kabla hata hujafanya chochote OMBA futa mashambulizi hayo kwa kutumia UPANGA NENO LA MUNGU
Isa 54:17
Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa.

na mingine mingi,KATAA ROHO ya uharibifu.

Kila kiungo Cha mwili WAKO kinawakilisha eneo Fulani katika maisha Yako,JE NYUKI WALIKUUMA SEHEMU GANI YA MWILI?
 
Acha roho mbaya.....

Mkuu experience yako ni ipi tujuze🤔
Usitishike Mkuu,hayo alioyaongea ndio ukweli mtupu tena mimi ndoto ilikuwa ikijirudia,to be honest ktk ndoto nisizozipenda,ila kuna mtu humu aliongelea ndoto ya simba mimi kwangu ilikuwa ndoto nzuri ila simba hakuni attack anakuwa kama paka hana madhara.
 
Unaweza kuidadafua vizuri🤔
Kiimani na kiroho, ndoto ya kuzingirwa na nyuki wakubwa kwa wadogo inaashiria kukabiliwa na maadui au shinikizo la kiroho kutoka vyanzo tofauti, kama inavyolinganishwa na maandiko ya Kumbukumbu la Torati 1:44 ambapo maadui walimfukuza mwanadamu kama wafanyavyo nyuki.

Kimaisha, hali hii inaonyesha jinsi unavyohisi kuzidiwa nguvu na mrundikano wa majukumu, mawazo, au fujo za maisha ya kila siku zinazokukosesha amani ya nafsi.

Hata hivyo, hatua yako ya kujaribu kukimbia lakini ukasita ili usilete shida ndani inadhihirisha ukomavu mkubwa, uaminifu, na moyo wa kipekee wa kujitolea..!

Inaonyesha kuwa wewe ni mtu unayejali ustawi wa wengine na uko tayari kubeba maumivu au mizigo yako peke yako ili kulinda familia au watu wako wa karibu wasiathirike na matatizo yako.

Hatimaye, kung'atwa na nyuki hao hubeba maana mbili..!
kwa upande mmoja ni onyo la kiroho dhidi ya masengenyo, usaliti, au mashambulizi ya maneno yanayoweza kuacha maumivu moyoni,
lakini kwa upande mwingine, ni ishara ya uponyaji na mabadiliko chanya kwani kama ilivyo sumu ya nyuki katika maisha halisi inayotumika kama dawa..
Maumivu unayopitia sasa yatakujenga, yatakupa ukomavu, na kukuacha ukiwa imara zaidi kiroho na kiakili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom