Tuisadie CHADEMA -2025

Siyo rahisi hivyo, mwanangu. Waulize CCM kwa nini huwa wanachapisha makaratasi ya ziada ya kura ya kupigia home na baadae kuyaingiza vituoni kwa bunduki za polisi. Kama haujui kifo angalia kaburi basi. Ama waulize kwa nini hawataki Katiba mpya na Tume huru.

View attachment 2068375
Nakwambia vizuri tu hata katiba mpya ikija,kama hamtachange faces, mtafeli tu,
 
Mapenzi yako kwa CHADEMA ni makubwa sana. Ubarikiwe sana.
Mkuu nimetoka kusikiliza hotuba.
Mi CCM ishapoteana na wananchi si kama tunaipenda sana CCM...ni vile tukiangalia upinzani tunaona nao unasuasua tunaona bora tuendelee kukaa kimya na kutawaliwa na guccm.

Ila CDM kwa sababu kina uafadhali kidogo kuliko vyama vingine vinavyochechemea,,, wakichanga karata zao vizuri basi chance ni kubwa sana kwao kushinda maana makundi mengi yasiyoisapoti CCM sasa wataisapoti CDM
 
Karibuni TADEA, achana na vyama vya kikabila sijui Chadema na kile chama cha kigoma Act wazalendo
ACT wazalendo hakuna chama pale.

Upinzani wa kweli angalau unaonekana chadema.
Ila bila kijipanga na kuweka mikakati yao vizuri basi wanakwenda kupoteza nafasi nzuri iliyo wazi kabisa 2025 .
 
Wanatuambia tu boycott mitandao ya sim alaf badae wanatuomba mchango kwa Mpesa na Tpesa kwakweli chama chetu msimamo huwa ni 0
 
Tupe strategies TADEA pia basi ama wewe ni wa CHADEMA tu?
CHADEMA nimeona kama chama kikuu cha upinzani kina hitilafu hizo zinazorekebishika, pia nina haki ya kuongea kuhusu chama chochote,hio TADEA unaweza kuandika wewe lol
 
Na kuniona mbaya wao..
Wakati nilichofanya ni kuwapa strategies tu...
Sasa mtu mbaya wako anakuja strategies ufaulu au atakutafutia sababu ufeli zaid..lol
Shida ya CDM huwa hawataki ushauri hasa ukiwakosoa.
Hapa jukwaani sijawahi kuona ukiishabikia serikali...
Ila ukitoa tu mawazo hata kwa nia nzuri ya kuleta maboresho basi hao mashabiki maandazi wa CDM watakuita majina yote wanayoyajua..hovyo kabisa!
 
Mapenzi yako kwa CHADEMA ni makubwa sana. Ubarikiwe sana. Mahera, Kaijage, Jecha na Mutungi nao wanajinga hivyo hivyo. Utakuwa na akili sana wewe.

Vipi sisi TLP hautaki tuchukuwe nchi? Mbona tumejipanga au hautuoni?
Huko kwingine hakuna upinzani.
 
Kama uko serious sasa tujadili hoja. Hebu sema jinsi ya kuchanga karata katika mazingira ambayo:

1) Wagombea wa upinzani wanaenguliwa kwa vile eti wamekosea kujaza fomu. Ukiweka CHADEMA unaambiwa ulitakiwa kuweka "Chama cha Demokrasia na Maendeleo", Ukiweka "Chama cha Demokrasia na Maendeleo" unaambiwa umekosea kwa vile haukuweka CHADEMA?

2) Tume na CCM wanashiriki kuchapa makaratasi ya kura ya ziada, wanajipigia kura nyumbani, halafu polisi wenye bunduki wanayaingiza kwenye vituo vya kura kwa nguvu?

3) Mawakala wa vyama vya upinzani wanafukuzwa ama kukamatwa na kupigwa katika vituo vya kura?

4) Mpinzani akishinda, uchaguzi unafutwa, unaitishwa mwingine (CUF kule Zanzibar 2015)?

5) Na mengine mengi...

Watu wamesema tunataka Katiba mpya na Tume huru ili yule anayechaguliwa na Watanzania ndiye aongoze nchi, matokeo yake mtu yuko jela kwa zaidi ya miezi 3! You do not see the sacrifice, kweli? Unataka nini wewe ambaye uko nyumbani kwako na familia yako ukila sikukuu kwa raha?

Hata mkipiga kura mamilioni kwa mamilioni kwa upinzani, haitasaidia kitu chochote kama anayetangaza matokeo ni Mahera/Kaijage/Jecha ama mtu mwingine wa CCM. Na unajua akishatangaza, hayapingwi mahakamani.

Wanaume wako kazini. Kama hauwezi kushiriki, tulia basi.

Mkuu nimetoka kusikiliza hotuba.
Mi CCM ishapoteana na wananchi si kama tunaipenda sana CCM...ni vile tukiangalia upinzani tunaona nao unasuasua tunaona bora tuendelee kukaa kimya na kutawaliwa na guccm.

Ila CDM kwa sababu kina uafadhali kidogo kuliko vyama vingine vinavyochechemea,,, wakichanga karata zao vizuri basi chance ni kubwa sana kwao kushinda maana makundi mengi yasioisapoti CCM sasa wataisapoti CDM
 
Strategy pekee ya kuisaidia CDM ni CCM kuacha kutumia dola kwenye chaguzi hakuna nyingine, infact msikae mkafikiri wale viongozi wa CDM huwa wanafanya kazi nyepesi popote katika wakati wao wote wa uongozi. wale ni "wanaume" na wamepambana kiume siku zote, hakuna wepesi upande wao na hakuna enjoyment upande wao ni vita tu na kuwindwa siku zote.

Kiuchumi, viongozi waliopo CDM wote wapo vizuri na kama hawapo vizuri basi wameridhika na hali yao sababu tumeshuhudia kila ambaye hakuwa na uchumi mzuri au ambaye haridhiki na uchumi wake ameshakimbilia CCM, tumeliona hili na 2020,2021 hali ikawa mbaya zaidi, nyinyi mnadhani waliokimbia wamekimbia nini? kwamba wamekimbia uongozi mbaya wa CDM na wamekimbilia CCM kwenye uongozi mzuri right? A JOKE.

Msifikiri huko CDM kuna mipesa kibao hao viongozi wanalipana zinazowasaidia kusurvive, tena especially sasa hivi ambapo almost hakuna ruzuku, wengi wanatumia pesa zao zinazotokana na vipato vyao vingine, sasa urectruit viongozi wapya si ndio watanunuliwa leo leo baada tu ya uapisho?

Rebeka, kutoa ushauri juu ya uongozi wa CDM ni mpaka uvae viatu vyao kwanza, We jiulize kiongozi mkubwa kama Mbowe anapitia anayoyapitia sasa ambayo ni matokeo tu ya misimamo yake, Je nani mwingine atakua salama? Mbowe sio tu ana heshima nchini kama mpinzani pia hata kihistoria hana historia nyepesi kama mimi na wewe lakini CCM wana audacity ya kumpitisha kwenye tanuru la moto nani mwingine atasurvive? Au mnataka CDM wapate viongozi wepesi ili wawe wanakiss A** za CCM kama alivyo ZZK kwa sasa? Hebu tufikirie vizuri.

Sote tuelewe na tukubaliane kuwa CDM haijawahi kukosa kura wala ushawishi, hata chato CDM ilikuwa na ushawishi, tatizo ni moja tu DOLA. Njia zote za kuieliminate CDM zimeshatumika, mzizi pekee ulioishikilia kwa sasa ni viongozi wake wakubwa na ile asili ya binadamu kuwa na upinzani moyoni (wananchi/wanachama) hakuna kingine bahati mbaya na wewe unashauri mzizi huo ukatwe!
 
Kama uko serious sasa tujadili hoja. Hebu sema jinsi ya kuchanga karata katika mazingira ambayo:

1) Wagombea wa upinzani wanaenguliwa kwa vile eti wamekosea kujaza fomu. Ukiweka CHADEMA unaambiwa ulitakiwa kuweka "Chama cha Demokrasia na Maendeleo", Ukiweka "Chama cha Demokrasia na Maendeleo" unaambiwa umekosea kwa vile haukuweka CHADEMA?

2) Tume na CCM wanashiriki kuchapa makaratasi ya kura ya ziada, wanajipigia kura nyumbani, halafu polisi wenye bunduki wanayaingiza kwenye vituo vya kura kwa nguvu?

3) Mawakala wa vyama vya upinzani wanafukuzwa ama kukamatwa na kupigwa katika vituo vya kura?

4) Mpinzani akishinda, uchaguzi unafutwa, unaitishwa mwingine (CUF kule Zanzibar 2015)?

5) Na mengine mengi...

Watu wamesema tunakata Katiba mpya na Tume huru ili yule anayechaguliwa na Watanzania ndiye aongoze nchi, matokeo yake mtu yuko jela kwa zaidi ya miezi 3! You do not see the sacrifice, kweli? Unataka nini wewe ambaye uko nyumbani kwako na familia yako ukila sikukuu kwa raha?

Hata mkipiga kura mamilioni kwa mamilioni kwa upinzani, haitasaidia kitu chochote kama anayetangaza matokeo ni Mahera/Kaijage ama mtu mwingine wa CCM. Na unajua akishatangaza, hayapingwi mahakamani.

Wanaume wako kazini. Kama hauwezi kushiriki, tulia basi.
Sawa, sasa kama waamuzi wa matokeo ni CCM, na imekua hivyo miaka nenda rudi nini kinachowafanya mshiriki uchaguzi??? Ni kuna njia mnanufaika na hizo chaguzi , kushinda uchaguzi sio sababu pekee ya nyinyi kushiriki..mna motives nyinginezo za kushiriki uchaguzi ilhali mnajua matokeo, so msipoweka bayana hizi motives au kusukumia ndani ya carpet ndivyo mtakavyoididimiza CHADEMA,sioni sababu ya nyinyi kulia lia mmaonewa,kama majibu ya uchaguzi tayari mnayo msishiriki..simple

Kuhusu Mbowe I agree ni uonevu,yeye sio gaidi,ila mngeweza kulitumia in your advantage....

Mwisho,ni kweli Faces mpya zinahitajika, sio tu waje CHADEMA kuuza sura,bali wawe na BRAINS na CREATIVITY, jinsi ya kupambana na kukipigania chama na kukipeleka mbele hata kwenye au katika climate ambayo ni ngumu(katiba mbovu)
 
FYI, CDM kwa sasa haipambani na CCM inapambana na Dola, njia pekee ya kuishinda dola labda uishauri CDM iunde jeshi lake, iunde TISS yake, itengeneze tume yake na iwe na polisi wake, unaona ilivyo kichekesho? matokeo yake ninini? Nchi kuwa na political instabilities.

CCM itunyooshe hivi hivi mpaka kuna siku tuamke wenyewe wananchi tuwe na uwezo wa kuingia barabarani kwa mwezi mfululizo polisi wauwe watu kwa idadi isiyoelezeka, jeshi lichukue mamlaka then kama itawapendeza turudi kwenye uchaguzi ndipo mbichi na mbivu zitajulikana.
 
Strategy pekee ya kuisaidia CDM ni CCM kuacha kutumia dola kwenye chaguzi hakuna nyingine, infact msikae mkafikiri wale viongozi wa CDM huwa wanafanya kazi nyepesi popote katika wakati wao wote wa uongozi. wale ni "wanaume" na wamepambana kiume siku zote, hakuna wepesi upande wao na hakuna enjoyment upande wao ni vita tu na kuwindwa siku zote.

Kiuchumi, viongozi waliopo CDM wote wapo vizuri na kama hawapo vizuri basi wameridhika na hali yao sababu tumeshuhudia kila ambaye hakuwa na uchumi mzuri au ambaye haridhiki na uchumi wake ameshakimbilia CCM, tumeliona hili na 2020,2021 hali ikawa mbaya zaidi, nyinyi mnadhani waliokimbia wamekimbia nini? kwamba wamekimbia uongozi mbaya wa CDM na wamekimbilia CCM kwenye uongozi mzuri right? A JOKE.

Msifikiri huko CDM kuna mipesa kibao hao viongozi wanalipana zinazowasaidia kusurvive, tena especially sasa hivi ambapo almost hakuna ruzuku, wengi wanatumia pesa zao zinazotokana na vipato vyao vingine, sasa urectruit viongozi wapya si ndio watanunuliwa leo leo baada tu ya uapisho?

Rebeka, kutoa ushauri juu ya uongozi wa CDM ni mpaka uvae viatu vyao kwanza, We jiulize kiongozi mkubwa kama Mbowe anapitia anayoyapitia sasa ambayo ni matokeo tu ya misimamo yake, Je nani mwingine atakua salama? Mbowe sio tu ana heshima nchini kama mpinzani pia hata kihistoria hana historia nyepesi kama mimi na wewe lakini CCM wana audacity ya kumpitisha kwenye tanuru la moto nani mwingine atasurvive? Au mnataka CDM wapate viongozi wepesi ili wawe wanakiss A** za CCM kama alivyo ZZK kwa sasa? Hebu tufikirie vizuri.

Sote tuelewe na tukubaliane kuwa CDM haijawahi kukosa kura wala ushawishi, hata chato CDM ilikuwa na ushawishi, tatizo ni moja tu DOLA. Njia zote za kuieliminate CDM zimeshatumika, mzizi pekee ulioishikilia kwa sasa ni viongozi wake wakubwa na ile asili ya binadamu kuwa na upinzani moyoni (wananchi/wanachama) hakuna kingine bahati mbaya na wewe unashauri mzizi huo ukatwe!
Sawa mkuu,

Unaposema CDM haijawahi kupoteza ushawishi una maana gani, wakati unajua idadi ya wabunge wa CDM waliochaguliwa kuwa bungeni huu uchaguzi iliyopita hawafiki hata kumi compared na chaguzi zilizopita??

Naanza Kuhisi CDM tatizo kingine walilo nalo ni hawataki kuambiwa ukweli, you cant do the same thing over and over expecting different results, Old faces ndizo zinazowaangusha CHADEMA tuongee ukweli, kuwatumia hao wanasiasa wa zamani ni kama ku send messages to the public kuwa hamna jipya, hamuwezi kuwa na innovations wala Dira mpya, hasa kama mmeshindwa kuwa creative kwenye chama Chenu wenyewe kwa nini nikupe kura yangu... chaguzi zilizopita kushinda ama kutoshinda ziwe lessons kutu guide nini inatakiwa kifanyike in the future
 
Kama unaitakia Tanzania na CHADEMA mema, dai Katiba mpya itakayokuwa na Tume Huru. Kwa sababu tu ulifanya kosa 1995, haina maana kuwa ufanye tena kosa 2022.
Sawa, sasa kama waamuzi wa matokeo ni CCM, na imekua hivyo miaka nenda rudi nini kinachowafanya mshiriki uchaguzi??? Ni kuna njia mnanufaika na hizo chaguzi , kushinda uchaguzi sio sababu ya nyinyi kushiriki..so,sioni sababu ya nyinyi kulia lia mmaonewa,kama majibu ya uchaguzi tayari mnayo..........

Kuhusu Mbowe I agree ni uonevu,yeye sio gaidi,ila mngeweza kulitumia in your advantage....

Mwisho,ni kweli Faces mpya zinahitajika, sio tu waje CHADEMA kuuza sura,bali wawe na BRAINS na CREATIVITY, jinsi ya kupambana na kukipigania chama na kukipeleka mbele kwenye climate ambayo ni ngumu(katiba mbovu)
 
FYI, CDM kwa sasa haipambani na CCM inapambana na Dola, njia pekee ya kuishindia dola labda uishauri CDM iunde jeshi lake, iunde TISS yake, itengeneze tume yake na iwe na polisi wake, unaona ilivyo kichekesho? matokeo yake ninini? Nchi kuwa na political instabilities.

CCM itunyooshe hivi hivi mpaka kuna siku tuamke wenyewe wananchi tuwe na uwezo wa kuingia barabarani kwa mwezi mfululizo polisi wauwe watu kwa idadi isiyoelezeka, jeshi lichukue mamlaka then kama itawapendeza turudi kwenye uchaguzi ndipo mbichi na mbivu zitajulikana.
Hizo new faces ndio wangewapa njia mpya sasa za kupambana na Dola, sioni kama sasa mna mbinu mpya ya kupigana na hio dola, by the way sijasema viongozi wafukuzwe bali wachukue back seat wawa coach viongozi wapya, hats sijui Unapinga nini mkuu hata makazini kuna staffs appraisals, performance yako ndio inakuweka, kama wameshindwa ku deliver kama walivyokua wanafanya before then wawapishe wengine
 
Hello JF,

Nimeshangaa sioni website ya Chadema, ipo ama sio? Yaani kitu simple kama hiki kuonyesha duniani who you are and what you do mmekidharau?

Anyway, leo naomba tusaidiane mawazo ya kukipa chama nguvu kupambana 2025;

Mimi nadhani:
Kuwe na succession plan nzuri, hatuwezi kuona same faces every day ,kila siku Mnyika, Lema,Mbowe, tunashukuru kwa nguvu zao chama kime survive turbulence nyingi but its time new faces should emerge...ni vizuri wakawapisha wengine wao achukue back seats wawe wakiwa coach viongozi wapya...this is important to energize the party.

In this succession plan,pia kuwe na clear guideline jinsi ya ku recruit viongozi wapya . Binafsi nadhani kukiwa na recruitment process nzuri viongozi wapya watapatikana watakao drive chama mbele. Jinsi ya kupata kiongozi Mzuri mpya nahisi position itangazwe kama ajira nyingine yeyote then unafanya sifting kulingana na leadership qualities unazozitaka, sio kweli hakuna watu influential na creative watakao drive chama mbele it's just wajatangaza nafasi zimezibwa na kina Lema,(my guess).

Tuwapongeze CHADEMA kwa kampeni yao ya kidijitali, ila more needs to be done, kwa kutumia digital tools ama approach nyingine CHADEMA iwe na system ya kujua MSIMAMO wa wananchi kuhusu mambo yanaowagusa, wakishajua OPINION then CHADEMA ni rahisi kutunga the best alternative, mfano tozo, unakusanya data then unapinga msimamo wa serikali kutokana na data ulizopata, sio sasa wengine wanasema pinga pinga, mambo yote mfanye Evidence-based.

Sio lazima mpinge serikali mnaweza kuja na mawazo mampya ambayo mnaweza kufanyia research mkaja na mambo mapya kufanyia wepesi maisha ya watanzania. Ninaposema kujua opinion sio ya hawa watumiaji wa social network ambao ni wachache Bali watanzania wote mjini, vijijini,Bara,Visiwani..n.k

Karibuni kwa mawazo: ila nampenda mama Samia lol
images (21) (1).jpeg

images (37).jpeg

Haupo serious.
 
Sawa mkuu,

Unaposema CDM haijawahi kupoteza ushawishi una maana gani, wakati unajua idadi ya wabunge wa CDM waliochaguliwa kuwa bungeni huu uchaguzi iliyopita hawafiki hata kumi compared na chaguzi zilizopita??

Naanza Kuhisi CDM tatizo kingine walilo nalo ni hawataki kuambiwa ukweli, you cant do the same thing over and over expecting different results, Old faces ndizo zinazowaangusha CHADEMA tuongee ukweli, kuwatumia hao wanasiasa wa zamani ni kama ku send messages to the public kuwa hamna jipya, hamuwezi kuwa na innovations wala Dira mpya, hasa kama mmeshindwa kuwa creative kwenye chama Chenu wenyewe kwa nini nikupe kura yangu... chaguzi zilizopita kushinda ama kutoshinda ziwe lessons kutu guide nini inatakiwa kifanyike in the future
Rebeka, seriously! Acha masihara basi!
 
Halafu eti wanaota kuchukua nchi!
Hapana unatakiwa ujue,sio kila anaeshupaza shingo humu ni Chadema,wengine ni mamluki wa kuingiza kingi wengine.
Mtu anaweza post jambo la maana la kujenga,wale mamluki wanaanza kumponda na wafata mkumbo nao wanaunga tela kuponda.
Ili mradi tu fikra mpya zenye kustawisha upinzani zisijadiliwe Mwaisa.
Hata kwenye mitandao kuna mamluki wanaojifanya ni wapinzani kumbe sio.
Jamaa awashtuki,CCM wataburuza sana.
 
Back
Top Bottom