Tuisadie CHADEMA -2025

Wala kulikuwa hakuna haja ya kumtukana mtu usiyemfahamu. Hoja haijibiwi kwa rungu. Kila siku mnaleta mada za CHADEMA, siyo? Mna ujauzito wa CHADEMA, siyo? Leteni mada za TLP, UDP, NCCR, TADEA pia... Tanzania ina vyama 18. CHADEMA imewajaa moyoni. Nunueni kadi za kidijitali basi.
Punguza bangi.
Si kila anayetoa mawazo yake basi ni CCM.

Wewe mada umeona inahusu NCCR?
Usijitoe ufahamu.
 
Lile ni genge la watu flani flani!

Hehe umtoe Mbowe, Lema na Mnyika hicho chama kitakuwepo?

Kiuhalisia(reality) Chadema si ya watanzania, ila kiukweli(in fact) kinapaswa kua cha watanzania

Ukiangalia muundo wa uongozi wa chama, utakubaliana na uhalisia! na ukisoma makablasha ya chama utakubaliana na ukweli.

Not everyone is loyal
 
Wala kulikuwa hakuna haja ya kumtukana mtu usiyemfahamu. Hoja haijibiwi kwa rungu. Kila siku mnaleta mada za CHADEMA, siyo? Mna ujauzito wa CHADEMA, siyo? Leteni mada za TLP, UDP, NCCR, TADEA pia... Tanzania ina vyama 18. CHADEMA imewajaa moyoni. Nunueni kadi za kidijitali basi.
Hizo za TADEA kaanzishe wewe.
Usimpangie mtu mada ya kuanzisha.
 
Hata ukisema mimba mara bilioni 6,253 (ya Samia) mwanaume natoa mbegu, sipati mimba. Hiyo yako ni ignorance tu. Wewe mwenye vagina, uterus and ovaries ndiye unapata mimba. Na CHADEMA wamekwishakupiga goli hautaki kuongelea TLP, TADEA...
Mimba inakutesa eeh!
Katapike unguze bangi hizo kichwani
 
Mkuu ninaunga mkono hoja!

Kiongozi ukishagaragazwa mara mbili kwenye uchaguuzi mku, lazima ufubae na kukosa mvuto na kuhitajika sura mpya toka miongoni mwa wanachama kindakindaki kuziba pengo.

Mfano wa ving'ang'anizi ni kama kina Lipumba na wengineo kama hao.

Nilivyofuatilia kujua kwa nini kuwe na uking'ang'anizi wa madaraka na sura zile zile miaka nenda rudi, nikaelezwa kuwa viongozi hao huwa wanashiriki kwenye uchaguzi huku wakielewa pasi na shaka kuwa wanaenda kushindwa.

Kinachoendelea baada ya uchaguzi huwa ni manufaa yao(ruzuku) na mema mengine ya nchi.

Na kwamba Uenyekiti wa chama, kwao ni kama uenyekiti wa Sacoss, ukiupoteza mambo yako hayakunyokei kwa kukosa maslahi binafsi.

Na usipoparangana kwenye uchaguzi, chama kinaonekana ni cha kwenye laptop kinafutwa, sasa lazima uonekane kila "term" ya uchaguzi unachakarika kuzugia!

Tungelipata vichwa chipukizi na vyenye vision na misimamo kama ya Dr. Slaa wa Chadema, Sisiem sasa hivi wasingelala usingizi wa pono na kula likizo za kisiasa kama ilivyo sasa.

Chadema hii hii ikibadilisha safu ya uongozi, kinaweza kuitikisa sana Sisiem na kuchukua uongozi wa nchi kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Lakini zikibakia sura zile zile za viongozi waandamizi, waalah piga ua hata wadurufu katiba mpya na kuboresha tume huru ya uchaguzi ili uchaguzi uwe huru na wa haki, lakini Chadema haitashinda aslani.
 
Siyo rahisi hivyo, mwanangu. Waulize CCM kwa nini huwa wanachapisha makaratasi ya ziada ya kura ya kupigia home na baadae kuyaingiza vituoni kwa bunduki za polisi. Kama haujui kifo angalia kaburi basi. Ama waulize kwa nini hawataki Katiba mpya na Tume huru.

1641305677951.png

Wewe ambae hutaki mabadiliko ndani ya CHADEMA ndio cancer yenyewe,mnamtafuna hiki chama taratiiiibu,lol
 
Yaani muda huu ndio ulikuwa mzuri kwa CDM kujipanga na kuchukua nchi 2025 maana maccm yashapoteana.

Bahati mbaya hao CDM watakupopoa hapa na kutofuata huo ushauri wako.
 
Mapenzi yako kwa CHADEMA ni makubwa sana. Ubarikiwe sana. Mahera, Kaijage, Jecha na Mutungi nao wanajipanga hivyo hivyo. Utakuwa na akili sana wewe.

Vipi sisi TLP hautaki tuchukuwe nchi? Mbona tumejipanga au hautuoni?
Yaani muda huu ndio ulikuwa mzuri kwa CDM kujipanga na kuchukua nchi 2025 maana maccm yashapoteana.

Bahati mbaya hao CDM watakupopoa hapa na kutofuata huo ushauri wako.
 
Yaani muda huu ndio ulikuwa mzuri kwa CDM kujipanga na kuchukua nchi 2025 maana maccm yashapoteana.

Bahati mbaya hao CDM watakupopoa hapa na kutofuata huo ushauri wako.

Na kuniona mbaya wao..
Wakati nilichofanya ni kuwapa strategies tu...
Sasa mtu mbaya wako anakupa strategies ufaulu au atakutafutia sababu ufeli zaid..lol
 
Back
Top Bottom