Tuisadie CHADEMA -2025

Nipo more than serious, makamandas let's learn from the past..
Wanachofanya ni sawa na kutoa hela kutoka mfuko wa kushoto na kuweka wa kulia wa suruali hiyo hiyo. Wapinzani watanzania kwanza Wanafiki, Waoga, hawa jiamini na wananjaa na ndio maana wote wana nunulika.Nilicho jifunza 2015 Tanzania hamna upinzani.
images (37).jpeg
 
Wanachofanya ni sawa na kutoa hela kutoka mfuko wa kushoto na kuweka wa kulia wa suruali hiyo hiyo. Wapinzani watanzania kwanza Wanafiki, Waoga, hawa jiamini na wananjaa na ndio maana wote wana nunulika.Nilicho jifunza 2015 Tanzania hamna upinzani.
View attachment 2068890
Kwa kweli hamna mpinzani, inasikitisha sana, Kuna tatizo la kutofanya mambo kwa uwazi/transparent , hili nalo walifanyie kazi kama wanataka kuendelea kusavaivu, mpaka hapo tutakapojua kwa nini wanashiriki uchaguzi Ilihali CCM ina washindi wake kwa kila chaguzi? Until then wimbo wa katiba mpya uendelee lol
 
Hello JF,

Nimeshangaa sioni website ya Chadema, ipo ama sio? Yaani kitu simple kama hiki kuonyesha duniani who you are and what you do mmekidharau?

Anyway, leo naomba tusaidiane mawazo ya kukipa chama nguvu kupambana 2025;

Mimi nadhani:
Kuwe na succession plan nzuri, hatuwezi kuona same faces every day ,kila siku Mnyika, Lema,Mbowe, tunashukuru kwa nguvu zao chama kime survive turbulence nyingi but its time new faces should emerge...ni vizuri wakawapisha wengine wao achukue back seats wawe wakiwa coach viongozi wapya...this is important to energize the party.

In this succession plan,pia kuwe na clear guideline jinsi ya ku recruit viongozi wapya . Binafsi nadhani kukiwa na recruitment process nzuri viongozi wapya watapatikana watakao drive chama mbele. Jinsi ya kupata kiongozi Mzuri mpya nahisi position itangazwe kama ajira nyingine yeyote then unafanya sifting kulingana na leadership qualities unazozitaka, sio kweli hakuna watu influential na creative watakao drive chama mbele it's just wajatangaza nafasi zimezibwa na kina Lema,(my guess).

Tuwapongeze CHADEMA kwa kampeni yao ya kidijitali, ila more needs to be done, kwa kutumia digital tools ama approach nyingine CHADEMA iwe na system ya kujua MSIMAMO wa wananchi kuhusu mambo yanaowagusa, wakishajua OPINION then CHADEMA ni rahisi kutunga the best alternative, mfano tozo, unakusanya data then unapinga msimamo wa serikali kutokana na data ulizopata, sio sasa wengine wanasema pinga pinga, mambo yote mfanye Evidence-based.

Sio lazima mpinge serikali mnaweza kuja na mawazo mampya ambayo mnaweza kufanyia research mkaja na mambo mapya kufanyia wepesi maisha ya watanzania. Ninaposema kujua opinion sio ya hawa watumiaji wa social network ambao ni wachache Bali watanzania wote mjini, vijijini,Bara,Visiwani..n.k

Karibuni kwa mawazo: ila nampenda mama Samia lol
Yaani huko hakuna kitu ila kama unataka ubunge,mama atawaachia kidogo mpate wabunge wa kukosoa Serikali na kupunguza mivutano ccm.
 
Yaani huko hakuna kitu ila kama unataka ubunge,mama atawaachia kidogo mpate wabunge wa kukosoa Serikali na kupunguza mivutano ccm.
Mimi nataka ubunge lol, ila sio kwa sababu nataka ugali ,nataka truly kuitumikia Tanzania, mkuu unafanyaje kuupata? Lol
 
"Mimi nadhani:
Kuwe na succession plan nzuri, hatuwezi kuona same faces every day ,kila siku Mnyika, Lema,Mbowe, tunashukuru kwa nguvu zao chama kime survive turbulence nyingi but its time new faces should emerge...ni vizuri wakawapisha wengine wao achukue back seats wawe wakiwa coach viongozi wapya...this is important to energize the party."

____________________________
Subiri waje wakuporomoshee maneno.
Huwa hawashauriki hawa.

Hizi mbinu unaleta ccm wenyewe wametumia na zimefeli kitambo
 
Mrema, Cheyo, Rungwe, Mbatia na wengine ni sawa? Tatizo ni kwa CHADEMA hapa, siyo? CCM mwaka huu mna mapenzi sana na CHADEMA.

Hawa wanatumwa kuleta viguvungu ili chadema ipasuke, washaleta mpaka mmluki wagombee uwenyekiti chadema. Mbinu za kishamba hizi.
 
Mkuu ninaunga mkono hoja!

Kiongozi ukishagaragazwa mara mbili kwenye uchaguuzi mku, lazima ufubae na kukosa mvuto na kuhitajika sura mpya toka miongoni mwa wanachama kindakindaki kuziba pengo.

Mfano wa ving'ang'anizi ni kama kina Lipumba na wengineo kama hao.

Nilivyofuatilia kujua kwa nini kuwe na uking'ang'anizi wa madaraka na sura zile zile miaka nenda rudi, nikaelezwa kuwa viongozi hao huwa wanashiriki kwenye uchaguzi huku wakielewa pasi na shaka kuwa wanaenda kushindwa.

Kinachoendelea baada ya uchaguzi huwa ni manufaa yao(ruzuku) na mema mengine ya nchi.

Na kwamba Uenyekiti wa chama, kwao ni kama uenyekiti wa Sacoss, ukiupoteza mambo yako hayakunyokei kwa kukosa maslahi binafsi.

Na usipoparangana kwenye uchaguzi, chama kinaonekana ni cha kwenye laptop kinafutwa, sasa lazima uonekane kila "term" ya uchaguzi unachakarika kuzugia!

Tungelipata vichwa chipukizi na vyenye vision na misimamo kama ya Dr. Slaa wa Chadema, Sisiem sasa hivi wasingelala usingizi wa pono na kula likizo za kisiasa kama ilivyo sasa.

Chadema hii hii ikibadilisha safu ya uongozi, kinaweza kuitikisa sana Sisiem na kuchukua uongozi wa nchi kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Lakini zikibakia sura zile zile za viongozi waandamizi, waalah piga ua hata wadurufu katiba mpya na kuboresha tume huru ya uchaguzi ili uchaguzi uwe huru na wa haki, lakini Chadema haitashinda aslani.

Wewe ni chadema?
 
Yaani muda huu ndio ulikuwa mzuri kwa CDM kujipanga na kuchukua nchi 2025 maana maccm yashapoteana.

Bahati mbaya hao CDM watakupopoa hapa na kutofuata huo ushauri wako.

Ccm wamepotea kitambo ndio maana wanazima mitandao siku ya uchaguzi
 
Na kuniona mbaya wao..
Wakati nilichofanya ni kuwapa strategies tu...
Sasa mtu mbaya wako anakupa strategies ufaulu au atakutafutia sababu ufeli zaid..lol

Wewe tafuta chama kingine cha kukishauri. Hatuwezi tumia akili zako zimejaa kamasi
 
Mkuu nimetoka kusikiliza hotuba.
Mi CCM ishapoteana na wananchi si kama tunaipenda sana CCM...ni vile tukiangalia upinzani tunaona nao unasuasua tunaona bora tuendelee kukaa kimya na kutawaliwa na guccm.

Ila CDM kwa sababu kina uafadhali kidogo kuliko vyama vingine vinavyochechemea,,, wakichanga karata zao vizuri basi chance ni kubwa sana kwao kushinda maana makundi mengi yasiyoisapoti CCM sasa wataisapoti CDM

Kwa akili zako chadema hawajawahi kushinda kwa idadi ya Kura?
 
Strategy pekee ya kuisaidia CDM ni CCM kuacha kutumia dola kwenye chaguzi hakuna nyingine, infact msikae mkafikiri wale viongozi wa CDM huwa wanafanya kazi nyepesi popote katika wakati wao wote wa uongozi. wale ni "wanaume" na wamepambana kiume siku zote, hakuna wepesi upande wao na hakuna enjoyment upande wao ni vita tu na kuwindwa siku zote.

Kiuchumi, viongozi waliopo CDM wote wapo vizuri na kama hawapo vizuri basi wameridhika na hali yao sababu tumeshuhudia kila ambaye hakuwa na uchumi mzuri au ambaye haridhiki na uchumi wake ameshakimbilia CCM, tumeliona hili na 2020,2021 hali ikawa mbaya zaidi, nyinyi mnadhani waliokimbia wamekimbia nini? kwamba wamekimbia uongozi mbaya wa CDM na wamekimbilia CCM kwenye uongozi mzuri right? A JOKE.

Msifikiri huko CDM kuna mipesa kibao hao viongozi wanalipana zinazowasaidia kusurvive, tena especially sasa hivi ambapo almost hakuna ruzuku, wengi wanatumia pesa zao zinazotokana na vipato vyao vingine, sasa urectruit viongozi wapya si ndio watanunuliwa leo leo baada tu ya uapisho?

Rebeka, kutoa ushauri juu ya uongozi wa CDM ni mpaka uvae viatu vyao kwanza, We jiulize kiongozi mkubwa kama Mbowe anapitia anayoyapitia sasa ambayo ni matokeo tu ya misimamo yake, Je nani mwingine atakua salama? Mbowe sio tu ana heshima nchini kama mpinzani pia hata kihistoria hana historia nyepesi kama mimi na wewe lakini CCM wana audacity ya kumpitisha kwenye tanuru la moto nani mwingine atasurvive? Au mnataka CDM wapate viongozi wepesi ili wawe wanakiss A** za CCM kama alivyo ZZK kwa sasa? Hebu tufikirie vizuri.

Sote tuelewe na tukubaliane kuwa CDM haijawahi kukosa kura wala ushawishi, hata chato CDM ilikuwa na ushawishi, tatizo ni moja tu DOLA. Njia zote za kuieliminate CDM zimeshatumika, mzizi pekee ulioishikilia kwa sasa ni viongozi wake wakubwa na ile asili ya binadamu kuwa na upinzani moyoni (wananchi/wanachama) hakuna kingine bahati mbaya na wewe unashauri mzizi huo ukatwe!

 
Back
Top Bottom