MtuloBM
JF-Expert Member
- Feb 26, 2020
- 542
- 477
Sawa, sasa kama waamuzi wa matokeo ni CCM, na imekua hivyo miaka nenda rudi nini kinachowafanya mshiriki uchaguzi??? Ni kuna njia mnanufaika na hizo chaguzi , kushinda uchaguzi sio sababu pekee ya nyinyi kushiriki..mna motives nyinginezo za kushiriki uchaguzi ilhali mnajua matokeo, so msipoweka bayana hizi motives au kusukumia ndani ya carpet ndivyo mtakavyoididimiza CHADEMA,sioni sababu ya nyinyi kulia lia mmaonewa,kama majibu ya uchaguzi tayari mnayo msishiriki..simple
Kuhusu Mbowe I agree ni uonevu,yeye sio gaidi,ila mngeweza kulitumia in your advantage....
Mwisho,ni kweli Faces mpya zinahitajika, sio tu waje CHADEMA kuuza sura,bali wawe na BRAINS na CREATIVITY, jinsi ya kupambana na kukipigania chama na kukipeleka mbele hata kwenye au katika climate ambayo ni ngumu(katiba mbovu)
Kama tusingeshiriki nani angejua tumeibiwa? Au nani angeolewa chumba cha kupigia kura. Tuko mbele kiakili sio maboya