Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Mayalla Nyerere wakati anajaribu kuyazuia makabila makubwa alishaona hilo.
Tatizo hapa sio ubaguzi wa msukuma no ni Kwa sababu kabila kubwa litakuwa na wasomi wa kutosha,wanajeshi wa kutosha na usalama wa taifa wa kutosha.
Jiulize kama rais akiwa msandawe anaweza kupendelea wasandawe na kuwajaza serikalini?
Fikiria rais angekuwa mzanaki bashite angependelewa?
Rais angekuwa msafwa uwanja wa ndege ungeenda kujengwa kijijini kwake alimozaliwa?
Brother ukuu wa wilaya utaupata Kwa kuwa msukuma na si vinginevyo.
Niambie Kwa maneno makali ya askofu gwajima angekuwa mchaga au mmasai Leo angekuwa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kuna kabila hapa tz ambalo ni hodari kwa kumiliki vitengo vyote vya mapato serikalini hajasema? Au wao wanajua mno kutunza fedha za serikali kuliko makabila mengine? Mbona polisi wengi nchi hii ni wa kabila fulani au kwasababu chuo kipo huko, je Lissu haya yote hayajui au kwasababu rais wa sasa ni msukuma kabila ambalo mmekalili ni la washamba? Mbona kelele nyingi? Sisi nshomile skuli tumeenda sana lakini Nyerere alitubagua kwa sababu alizozijua yeye, ukatoliki ukawabeba niliowataja hapo juu, Lissu mbona hakuwahi sema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
its unfortunate you are taking this issue as trivial. najua mmelewa tu madaraka, kazi yenu ninyi ilikuwa muendelee kuchunga ng'ombe. sina mengi zaidi ya hayo. pia msisahau kukata magovi.
Stup.d dog you r thieves..ndo mlitaka weak leader muendelee kuiba forget it na ndo miaka miwili tu mnalia, count 8 year on mtafia jela this time!
 
Mbona kuna kabila hapa tz ambalo ni hodari kwa kumiliki vitengo vyote vya mapato serikalini hajasema? Au wao wanajua mno kutunza fedha za serikali kuliko makabila mengine? Mbona polisi wengi nchi hii ni wa kabila fulani au kwasababu chuo kipo huko, je Lissu haya yote hayajui au kwasababu rais wa sasa ni msukuma kabila ambalo mmekalili ni la washamba? Mbona kelele nyingi? Sisi nshomile skuli tumeenda sana lakini Nyerere alitubagua kwa sababu alizozijua yeye, ukatoliki ukawabeba niliowataja hapo juu, Lissu mbona hakuwahi sema?

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya bwana mi yangu macho na masikio,kama kakobe alihamishwa nchini Kwa kuikosoa ccm unawezaje kunibadilisha kuamini kinachomlinda gwajima ni usukuma wake?
Kama kihiyo alikuwa gumzo la nchi Kwa kuwa ofisi za umma bila sifa kinachomlinda bashite ni nini kama sio usukuma wake?

Mambo ya bashite ni siasa hizo, kwanini hakuna shitaka lolote mahakamani? Watu walisema wana ushahidi sasa iweje leo wawe kimya? Sisi wengine tulishaanza kuamini kuwa ile ilikuwa vita dhidi ya madawa ya kulevya, hakuna lolote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusema ukweli hamjayafikia hayo makabila mawili japo mmetawanyika mikoa zaidi ya mitatu aisee
Hicho ndo mnachojua..you r wrong! wasukuma hawana tabia ya mikogo, majivuno na kubeba bango la usomi tumboni ndio maana hujui km wamesoma kuliko hao unaofikiri.
 
Mambo ya bashite ni siasa hizo, kwanini hakuna shitaka lolote mahakamani? Watu walisema wana ushahidi sasa iweje leo wawe kimya? Sisi wengine tulishaanza kuamini kuwa ile ilikuwa vita dhidi ya madawa ya kulevya, hakuna lolote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo Vita kubwa kama madawa ya kulevya revenge yake iwe ni kudai cheti tu ambacho dakika mtu anaweza kukitoa?
Subiri msukuma aondoke ikulu uone kama huyo bashite wako hajanyea debe na kurudisha hela za serikali alizochukua isivyostahili.

Jamani siasa ni shida ndg zangu!! Eti clouds Imevamiwa mara cjui nini, mara ya kwanza niliamini lakini baada ya kuangalia clip ile mara kwa mara nikaona kuna ukweli uliojificha ambao mimi na wewe hatuujui, clip inaonyesha mkuu wa mkoa akiwa na polisi wanaingia, then, kwani kuingia studio na ulinzi ni kosa kisheria? Ukimsikiliza makonda utajua kuna kitu kingine zaidi ya kile tulichoaminishwa. Ushahidi wa shule zilizo semwa si upo watu waende kuuchukua waende mahakamani! Tatizo nini?

Any way Kwa vile na wewe ni msukuma tusubiri 2025 akili zinaweza kukurudia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paskali hapa umechemka. Wasukuma ninyi ni mashemeji zangu nawajua, mnajulikana. Mkipata nafasi mna ukabila mkikosa mnavumilia (au mnajifanya wavumilivu).

Kama tunaitakia mema nchi yetu, kama tunataka umoja na mshikamano wa Kitaifa uwepo, kama hatupendi kuingia kwenye matatizo ya udini na ukabila basi epuka mada kama hizi ambazo zinakinzana na ukweli ulio bayana na zinaweza kuongeza hamasa na chuki.

Nashauri hivi ninyi wenye nafasi au fursa ya kuongea na Mkuu basi mshaurini namna ya kuendesha nchi kisomi na ki-hekima, mambo anayoyafanya hata mtu wa chini kabisa anaweza kuona hakuna usawa, haki na uzalendo bali kuna mambo ambayo yanapewa majina mapya lakini hayo mambo si mema hata kidogo.
 
Wasukuma wapo takribani 10m hao wachache kuwemo tu kwenye serikali mmeanza kupiga kelele, hata uwiano haupo kabisa, jamani watanzania mna mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hawawezi kuhoji tena mambo ya hovyo kisa yanafanywa na mwenzao.
Kwa wingi huo tulitegemea upinzani wa kweli Kwa ajili ya kuiamsha serikali uletwe na wingi wao pia,Leo tabasamu anaomba msamaha jukwaani akilia kisa kabila Kwa kosa ambalo halipo Ila Ilikuwa haki yake kikatiba na kidemokrasia.

Kwa taarifa yako Wasukuma walikipenda sana chadema, kanda ya ziwa chadema ilikita mizizi,shangaa katika nyadhifa za juu za chama hapakuwepo na yeyote ukiachilia mbali uenyekiti wa chama wa mkoa, fuatilia, badae ndo Mashinji kapewa hivi karibuni baada ya wenye chama chao kukimbia, hilo hata Lissu halisemei kuhusu chama chake, sisi wengine tunaamini ni chuki tu dhidi ya Wasukuma walionekana ni wanyonge sana katika nchi hii bali na kwamba ni wengi zaidi, na hii ni kwasababu Wasukuma hawana ubaguzi, ndo maana makabila yanayo miliki ardhi ndani ya ardhi ya Wasukuma ni mengi, usukumani ni changanyikeni sasa hivi tofauti na maeneo fulani fulani nchini, ukiachilia mikoa ya kusini na magharibi mwa tz.
 
Pascal mayalla jpm sio msukuma sema amekulia kwa wasukuma. Ni mzinza na mama yake ndo msukuma baba yake ni mzinza.kama MIE nimekulia kwa wasukuma au usukumani nikishatoka nje ya mwanza wasiowajuwa wasukuma wananiita msukuma.mengine umeandika kweli ila hilo LA kabila umechemka mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom