Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Mayalla Nyerere wakati anajaribu kuyazuia makabila makubwa alishaona hilo.
Tatizo hapa sio ubaguzi wa msukuma no ni Kwa sababu kabila kubwa litakuwa na wasomi wa kutosha,wanajeshi wa kutosha na usalama wa taifa wa kutosha.
Jiulize kama rais akiwa msandawe anaweza kupendelea wasandawe na kuwajaza serikalini?
Fikiria rais angekuwa mzanaki bashite angependelewa?
Rais angekuwa msafwa uwanja wa ndege ungeenda kujengwa kijijini kwake alimozaliwa?
Brother ukuu wa wilaya utaupata Kwa kuwa msukuma na si vinginevyo.
Niambie Kwa maneno makali ya askofu gwajima angekuwa mchaga au mmasai Leo angekuwa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenifikirisha upya! Imagine Gwajima angekuwa "mkaskazini" kanda laaniwa isiyotakiwa nchini! Looh! Angeona rangi zote mbona!
 
Pascal mayalla jpm sio msukuma sema amekulia kwa wasukuma. Ni mzinza na mama yake ndo msukuma baba yake ni mzinza.kama MIE nimekulia kwa wasukuma au usukumani nikishatoka nje ya mwanza wasiowajuwa wasukuma wananiita msukuma.mengine umeandika kweli ila hilo LA kabila umechemka mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni msukuma tu huyo! Hata lugha anayoongea jukwaani ni kisukuma, na ndivyo anavyotaka afahamike mbele ya wasukuma wenzake.
 
Paskali hapa umechemka. Wasukuma ninyi ni mashemeji zangu nawajua, mnajulikana. Mkipata nafasi mna ukabila mkikosa mnavumilia (au mnajifanya wavumilivu).

Kama tunaitakia mema nchi yetu, kama tunataka umoja na mshikamano wa Kitaifa uwepo, kama hatupendi kuingia kwenye matatizo ya udini na ukabila basi epuka mada kama hizi ambazo zinakinzana na ukweli ulio bayana na zinaweza kuongeza hamasa na chuki.

Nashauri hivi ninyi wenye nafasi au fursa ya kuongea na Mkuu basi mshaurini namna ya kuendesha nchi kisomi na ki-hekima, mambo anayoyafanya hata mtu wa chini kabisa anaweza kuona hakuna usawa, haki na uzalendo bali kuna mambo ambayo yanapewa majina mapya lakini hayo mambo si mema hata kidogo.
Mkuu umeeleza vizuri. Msukuma ni mzuri sana, mpole na mstaarabu anapokuwa na watu wa makabila mengine, lakini akitokea msukuma mwenziwe hata lugha hubadilika, anashikamana naye na kuwaacha wengine solemba! Au wakijiona wachache wanakuwa wapole kinafiki, lakini ukiingia anga zao wako wengi loooh!
 
Pascal mayalla jpm sio msukuma sema amekulia kwa wasukuma. Ni mzinza na mama yake ndo msukuma baba yake ni mzinza.kama MIE nimekulia kwa wasukuma au usukumani nikishatoka nje ya mwanza wasiowajuwa wasukuma wananiita msukuma.mengine umeandika kweli ila hilo LA kabila umechemka mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umesoma vzr historia ya wasukuma vzr, immigration ya wasukuma ilianza mwaka gani katika maeneo ya uzinza ambayo ndo sengerema, pamoja na ulongoni ambayo ndo geita, ikiwemo lusubi ambayo ndo biharamulo, usingesema hayo, babu yangu mimi kizaa mama aliimigrate 1946 akitokea nera kwimba hadi Mganza, Nimesoma rubambangwe s/m naijua familia hiyo vzr, mengine si vema kuyasema, hili ni dokezo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pascal mayalla jpm sio msukuma sema amekulia kwa wasukuma. Ni mzinza na mama yake ndo msukuma baba yake ni mzinza.kama MIE nimekulia kwa wasukuma au usukumani nikishatoka nje ya mwanza wasiowajuwa wasukuma wananiita msukuma.mengine umeandika kweli ila hilo LA kabila umechemka mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

ENHEEE! KUNA WAZINZA WANGAPI SERIKALINI?
 
images

Mbinu zingine za wanasiasa ni hatari sana! Utakuta kiongozi wajuu akiwa dini fulani basi wapinzani watajitahidi sana kumnyang'anya waumini wa dini nyingine kwa kumsingizia kupendelea dini yake, vivyo hivyo kwa ukabila! Hivi sasa wataalam wa mahesabu ya kura wameishaona kuwa wakiwatenga wasukuma na makabila mengine huenda wakaambulia chochote, DUH!
NA MBAYA ZAIDI WANATAKA KUMUACHIA NGOSHA WAKATOLIKI WASUKUMA WACHACHE! MBINU HII IMESHAPITWA NA WAKATI!
 
Pascal mayalla jpm sio msukuma sema amekulia kwa wasukuma. Ni mzinza na mama yake ndo msukuma baba yake ni mzinza.kama MIE nimekulia kwa wasukuma au usukumani nikishatoka nje ya mwanza wasiowajuwa wasukuma wananiita msukuma.mengine umeandika kweli ila hilo LA kabila umechemka mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Pascal ameandika kile Rais alitamka..yeye ni msukuma.
 
Ni kweli paskal wasukuma na wana kanda ya ziwa kwa ujumla ndio wanaoiongoza Tanzania kwa sasa. Ndio vigogo hasa Tanzania. Siwezi kuruhusu mwanangu aoe au aolewe na msukuma au mtu wa kanda ya ziwa. Ni watu wabaya sana? wana dharau wengine kwa kiwango kikubwa sana!
 
englibertm: Kweli kabisa. Nyerer alituasa watanzania tupendane lakini tusimpe uongozi wa nchi mtu toka makabila haya makubwa kama wasukuma na wanyakyusa. Tumedharau wosia wa baba na sasa tunakiona cha moto.
 
Ndo shida ya kukariri mambo kama kasuku..ukubwa uliosemwa ni upi..wa idadi, utajiri, elimu au ukubwa gani..
 
Pascal mayalla jpm sio msukuma sema amekulia kwa wasukuma. Ni [Color= red]mzinza[/color] na mama yake ndo msukuma baba yake ni mzinza.kama MIE nimekulia kwa wasukuma au usukumani nikishatoka nje ya mwanza wasiowajuwa wasukuma wananiita msukuma.mengine umeandika kweli ila hilo LA kabila umechemka mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Umeshawahi kumsikia hata siku moja anasema mimi ni [Color= red]mzinza[/color]

Au hilo kabila lenu lina nini hadi mtu aogope kujitambulisha nalo?!
Yeye ndo anaujua ukoo wake kuliko wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom