SDG
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 7,631
- 8,068
Wewe utakua mchaga tu, tatizo kwenye hii awamu ya 5, JPM amewapiga teke sana watu wa kaskazini na hapo huyu Tundu kawashwa tu kama remote kwa manufaa ya wa kaskazini.Ila kwa ngosha kauvaa mkenge lazima anyee ndoo.watu wameshasahau enzi za TRA ilivokua imejaza wa kaskazini na Bima ilivojaza wa Mbeya..wa kanda ya ziwa hatukulalamika zamu yetu imekuja kelele nyingiiii, nyanoko !!
Sent using Jamii Forums mobile app
HUO NDO UKABILA.
Rudia kusoma ulichoandika
May Allah bless Me and You