Tuhuma za Pdidy: Diamond platnumz alifanywa nini na Pdiddy ambacho anaona aibu kusema mbele ya kamera??

downloadfile-56.jpg
streetgossipmedia_20240329_1.jpg
streetgossipmedia_20240329_2.jpg
 
Mnateseka saaana. Diddy anakukula kweli ukileta tamaa. Hilo liko wazi. Hao wasanii wa 80’s wanapesa na wanapenda starehe zote.
Na washazifanya.
Hao kufanya party kukuletea mademu, na baadae kukulewesha na kukulawiti ni one time thing. Hiyo inaeleweka,
Ila hakuna binadamu hata shoga anayeweza sema hadharani ya kwamba kalawaitiwa. Hakuna
 
Yuda Eskareote alitumika tu kama sehemu ya kutimiza unabii ulioandikwa miaka mingi kabla yake kwamba lazima 'Kristo' asulubiwe.

Iweje Sasa apewe adhabu ya kumsaliti ?
Kuhusu Yuda iskariote
Mkuu hata yesu Mwenyewe aliwahi kuwaambia wanafunzi wake kuwa..

Mathayo 26:24, Marko 14:21, Luka 22:22

"Mwana wa Adamu aenda zake, kama alivyoandikiwa; lakini ole wake mtu yule ambaye amsaliti Mwana wa Adamu! Ingekuwa heri kwake mtu yule kama asingalizaliwa"

Kwahyo hilo ndivyi lilivyokuwa limeandikwa..

Kuhusu Yuda mwana wa Yakobo

Yuda alifanya Dhambi kubwa sana ya kulala na Mke wa mtoto wake na kumpa ujauzito..

Yeremia 17:1

"Dhambi ya Yuda imeandikwa kwa kalamu ya chuma, na kwa ncha ya almasi; imechorwa katika kibao cha moyo wao, na katika pembe za madhabahu zenu;"
 
Mnataka kusema mond alibunyuliwa mpalangeni? Au tuseme diddy amekataa kufanya kazi za wale jamaa wa dunia hivyo wakaamua kumkomoa kwa kumpakazia kashfa za ulawiti? Maana hawa jamaa wa dunia ukiwakatilia kufanya kazi zao hawaachi kupakaza uchafu
 
Mnateseka saaana. Diddy anakukula kweli ukileta tamaa. Hilo liko wazi. Hao wasanii wa 80’s wanapesa na wanapenda starehe zote.
Na washazifanya.
Hao kufanya party kukuletea mademu, na baadae kukulewesha na kukulawiti ni one time thing. Hiyo inaeleweka,
Ila hakuna binadamu hata shoga anayeweza sema hadharani ya kwamba kalawaitiwa. Hakuna
Wapo wanao sema hadharani hasa Gays real na waliojikubalii.
 
Back
Top Bottom