Wapi huko Kana au Makorora?Kuna tetesi kuwa leo katika kanisa moja la KKKT lililopo katikati ya mji wa Tanga kulikuwa hakuna ibada ila ilikuwa niugonvi tu wanao mtetea Mchungaji na wanao mtaka Mchungaji kuondoka. Maana wanahisi kuwa Mchungaji alikuwa anakula na Askofu
Makorola walikuwa kwenye toba kutubia hilo. Nakanisa la kati ya mji ni Kana
Askofu Shoo alipokelewa na maandamano makubwa ya wana dayosisi akisindikizwa na tarumbeta kuanzia mombo mpaka makao makuu ya dayosisi..aliambatana na maaskofu wakuu wastaafu kadhaa.
Ameiweka dayosisi chini ya kamati ya watu km sikosei sita ..hao ndio wataandaa mkutano mkuu wa kuchagua askofu mpya...Munga hana chake..katoka kwa haibu
Wiki moja kabla kuna waraka ulitoka redio utume na pia Munga ndio aliuandaa pia usomwe kanisa kuu..vurumai ilipoibuka kanisa kuu kuupinga ikabidi isomwe na barua ya msajili iliyoibua shangwe kanisani ambapo kqnisa lilipewa wiki moja kabla ya munga kuuandaa waraka wake.
Kimsingi hatua za kisheria dhidi ya Munga ziko mikononi mwa waumini baada ya kukusanya ushaidi woote wa ufisadi.
Askofu shoo kaifungua ofisi na kuikabidhi kwa kamatinili ahughuli zisiathirike...
Askofu shoo kashangiliwa kwa maamuzi hayo....
Ijumaaa kwa kweli wachungaji woote walikuja kumpokea shoo na ujumbe wake tunashukuru polisi kwa kudumisha ulinzi wakati wote .
Update itakuja baadae.
Subira inaendelea kuvuta kheri au asaiv inavuta fegi?Kanisa ni la askofu.
Hizi ngebe za wapiga pesa waliokosa mgao
Munga atawaonyesha
...subira yavuta heri.
Hahahah, lazima wewe ndo Munga, ona tulichokufanyaUchaguzi umefika wanataka Mpakwa Mafuta akae kimya.
Munga namjua, ....atawa outsmart wameingia kichwakichwa sana
Munga na mizimu yake ya uchawi kafanya majaribio manne yakuwamaliza wana matengenezo hakufanikiwa, GOGO JIZAKINA [emoji3]Wakati si milele... Mobutu ssesesseko nguku wa zabanga kwishney
Ndiyo Ukweli WenyeweAkalime sasa,akabidhi Joho la uaskofu.
Namfuatilia Shoo hapa akitema madini + cheche.Hatimaye askofu mpya anasimikwa rasmi leo tarehe 9.5.2021 .. Baada ya kupita kwenye bonde la uvuli wa mauti kwa muda mrefu sanaView attachment 1778411
Sent using Jamii Forums mobile app
AaamenMunga alijimilikisha.... akadhani ataongoza milele..... ha ha ha..... kazi ya Mungu inabaki kuwa ya Mungu... hata siku moja haitakuwa ya mtu binafsi... All the best askofu Msafiri Mbilu...
Shoo yupo vizuri sana.... anatema madini ya hatari....Namfuatilia Shoo hapa akitema madini + cheche.
Kazi ya Mungu ni ya Mungu tuu...anampa maonyo + faraja.
Kiongozi... kama vile upo Lushoto live.... big Mr Mshana tupe live.... wengine tupo chaka....