Tuhuma za kutisha za Dr. Munga Askofu KKKT -DKMS

Tuhuma za kutisha za Dr. Munga Askofu KKKT -DKMS

Status
Not open for further replies.
IMG-20211110-WA0169.jpg
 
KKKT nadhani ni dhehebu linaloongoza nchini kwenye migogoro ambayo chimbuko lake ni pesa!

Swali la kujiuliza kwa nini linaongoza kwenye migogoro ya pesa?

Je, viongozi wa kutoka maeneo gani ambao wanakumbwa na migogoro ambayo chimbuko lake ni pesa?

Je, viongozi wake hawa wanajua sana umuhimu wa pesa kuliko wengine?
Ni kwa vile..wenzao Roman Catholic..walijiwekea Kinga ya kutoweka wazi na kuwapa Uhuru waumini wa kuhoji.

Ni kondoo na mchungaji tu..sali ondoka hakuna kuhoji..
 
[emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Ukiona kundi la namna hii linaanza migogoro hapo hakuna Mungu, wamebaki wenyewe wakijiongeza kwa akili zao
 
Katoka Munga wamekuja wengine..

Shekhe ni yule yule bali tofauti ni kanzu tu...


Walituaminisha kuwa Munga akitoka tutaenjoy lkn ndo mambo yanazidi kukaba..

Harambee zinafanyika kutulipa madeni lkn pesa inashia juu KWA juu..

Nimefanya kazi na Hawa watu na mpaka Sasa nawadai na Hawana mipango ya kunilipa..wanakula maisha tu..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom