Tuhuma nzito za uchawi kwa Watanzania Marekani

Tuhuma nzito za uchawi kwa Watanzania Marekani

Uchawi kwa wabongo majuu hupo tena sana tu hasa kwa wanawake kuwaroga wanaume Ili ampate kwasababu ya hela. Kumbuka asilimia98 ya watanzania tunaamin ushirikina hilo alipingiki. Watu hata kabla ya kuja majuu wanampiga juju hadi councillor wa ubalozin wapate visa chezea cc mitanzania wewe.

Yule anayembishia matola humu ni mnafik. Tatizo uzi kama huu mnauleta weekdays tunapiga boksi yani ungepost weekend maamaye ningewashushia data za kufa mtu za tabia za kishirikina za wa
bongo Scandinavian nyambaff zetu

Hahahahaha punguza hasira mkuu utapata time na utashusha nondo za maana jamvi linoge
 
Toka lini Matola akajuwa kujenga hoja vizuri hata leo iwe ya pili? wewe msome kama alivyo tu, kama hujamuelewa mwambie akueleweshe tena, lakini nijuavyo, hapo ndiyo mwisho wa uwezo wake kujenga hoja, tena leo kajitahidi sana.

Mtu akiongea usichopenda au usichokiamini basi hajui kujenga hoja?okay
 
Last edited by a moderator:
I'll pass on that one big hommie.

Kwanza huo upuuzi kikwelikweli haupo.

Na watu wanaoamini hayo mambo mimi nawaona ni wagonjwa wa akili.

Acha tu kila mtu ashughulike na upuuzi wake.

Kama huamini haimaanish haupo!
 
Nakubaliana na Matola. Walinirogea hata chama wangu akalisahau hata jina langu.
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni mchawi namba moja, hamuwezi tena kuwapumbaza watu kama Serikali eti haina pesa huku mahekalu yanaota kama uyoga Masaki. wewe ni mchawi tena uliyekubuhu.
Faiza Fox was right.
"Toka lini Matola akaja na hoja ya maana" by Faiza Fox
 
Mimi Nipo DMV hakuna uchawi,Labda kutopendana,wivu na majungu ndio yapo
 
Kuwepo kwa watu wanaoamini katika uchawi/ushirikina si uthibitisho wa uwepo wa vitu hivyo. Nakubaliana na wale wanaolinganisha imani hizo na ujinga. Wengi "wanaliwa" kwa kuzamisha fikra na nafsi zao katika ujinga huo. Inasikitisha jinsi kama taifa tulivyokwama katika janga hilo pamoja na kujifanya wacha Mungu sana. Shame!
 
Mi bado naamini watu weusi ni kizazi cha yule mtoto wa NUHU aliyelaaniwa baada ya kumchungulia utupu wa baba yake akiwa amelewa.
Alimlaani na akakimbilia upande wa kusini ambako ni Africa ukiwa Middle East
 
Back
Top Bottom